Maswali yaliyonitesa kichwa kwenye 'written interview' Utumishi

Wazazi wako wamepata khasara kubwa mno na hela waliotumia kukusomesha ni kama yai viza 😎 kijana maswali nyanya hayo yakubonda kabisa.

Ipo siku mtihani wa utumishi utavuma zaid ya kusaka vyeti kisa umburula😁
Ufahamu wako ndipo ulipoishia?
 
Ahsante kwa kunipa mwanga,
 
Level yako ya elimu ni ipi?

Kama umefika level ya chuo kikuu,na hujui components za research design, na hujui hata jinsi ya kutafuta maana yake kwa kupitia educational sites mbalimbali mitandaoni, basi kama taifa, TUMEKWISHA!
acha kulalama wewe, jibu maswali kama haujui pita kushoto usinitoe nje ya reli
 
Utumishi wanakula rushwa wana watu wao ambao wametoa rushwa ya milioni mbili mbili kwa nafasi ya kazi,hivyo ukiomba kazi ajira portal jua wanafanya formalities tu lkn wana watu wao tayri hata kama utajibu maswali yao kwa ufasaha.
 
Naikumbuka hii, hivi matokeo yalitoka? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona maswali rahisi sasa? Watoto wa IFM vichwa vigumu
 
Utumishi wanakula rushwa wana watu wao ambao wametoa rushwa ya milioni mbili mbili kwa nafasi ya kazi,hivyo ukiomba kazi ajira portal jua wanafanya formalities tu lkn wana watu wao tayri hata kama utajibu maswali yao kwa ufasaha.
mbona na sisi masikini tunapata bila hongo. Ukishindwa au ukiona ulijibu vizuri jua kuna waliojibu vizuri zaidi yako.
 
wale wajuzi wa resarch naombeni majibu kwa haya maswali

1. Mention components of research design

2. Analysis of data in research is done in stages. Explain
Asa mbona ndo maswali mepesi kuliko yote kwenye interviews [emoji1] au kwa sababu nimefundisha sana research
 
Hizi sio component,hizi ni steps involved in Research design
 
wale wajuzi wa resarch naombeni majibu kwa haya maswali

1. Mention components of research design

2. Analysis of data in research is done in stages. Explain
components of research design-hapa anataka umention ila sio mbaya ukajua na maelezo ya point moja moja

1. Research study’s questions
2. Study propositions
3. Unit(s) of analysis
4. Linking data to propositions
5. Interpreting a study’s findings

stages of data analysis- hapa anataka utoe maelezo jazia nyama mkuu

  • Ask The Right Questions.
  • Data Collection.
  • Data Cleaning.
  • Analyzing The Data.
  • Interpreting The Results
NB: maswali haya sio marahis kama kula tunda kimasihara kama swali la pili lipo very tricky na kama hukupitia pitia huwez pata majibu…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…