the issues are not even in the conversation, never mind controversialKitu kuwa controversial si lazima kiwe kinaongelewa kila pahala.
the issues are not even in the conversation, never mind controversial
the issues are not even in the conversation, never mind controversial
you sound funny importing "hot button" issues from a foreign place when they are not even in the conversation within TZ
Oh yes, those are the hot button issues that I want to know where the candidates stand.....don't you?
The consensus on the subjects is so near unanimous they are not even in the conversation.Aren't abortions taking place in TZ? Aren't there homosexuals in TZ? Don't we have the death penalty in TZ? Yes or no?
Aren't abortions taking place in TZ? Aren't there homosexuals in TZ? Don't we have the death penalty in TZ? Yes or no?
The consensus on the subjects is so near near unanimous they are not even in the conversation.
Addressing the real issues calls for keener ingenuity than just borrowing foreign issues and labeling them as "hot button" when they don't even cross people's minds in Tanzania.
Sad commentary on the miseducation of the diaspora generation.
Repetitive. Vague.The consensus on the subjects is so near near unanimous, they are not even in the conversation.
Sad commentary on the miseducation of the diaspora generation.
Hivi waungwana sheria inasemaje katika hali hii "Itokee Dr.Slaa anashinda Uchaguzi wa Rais,Lakini kwa bahati mbaya ana Idadi ndogo mno ya wabunge walioshinda ktk Bunge la Jamhuri...Sheria bado inamruhusu kuunda serikali kutoka miongoni mwa Wabunge wachache wa chama chake?"
Dr. Slaa, nafasi ya uongozi ngazi ya Uraisi ni nafasi nyeti, yenye maamuzi mazito ambayo wakati mwingine yanakinzana na suala la dini. Kwa mfano dini ya kikristo hairuhusu kulipiza visasi haitakiwi ulipize ubaya kwa ubaya. Kama tukikupa Urais wan chi yetu, ikitokea nchi yetu ya Tanzania ikavamiwa na maaadui, tukikuchagua Dr Slaa kuwa Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, je kama amiri jeshi mkuu wetu, utaweza kutoa ruhusa nchi yetu iende vitani kutetea maslahi, mipaka na haki zetu watanzania?
Gaijin;Taso ungelijua hiyo abortion ilivyotapakaa Tanzania, wala usingesema ni 'irrelevant foreign issue'. Tena ni suala ambalo linahitaji kujadiliwa kwa kina na mapana yake.
Gaijin;
Ujambazi nao umetapakaa, sasa tusema ujambazi ni "hot button" issue?
Wote tunakubaliana kwamba ujambazi usihalalishwe kama ambavyo wengi Tanzania bado tunakubaliana kwamba u$enge ni haramu.
Mwanasiasa gani amewahi kurekodi ilani ya "ushoga uhalalishwe"? Kiongozi gani amewahi kusimama rasmi kudai haki zake za kutoa mimba?
Hatuyazungumzii hayo Tanzania, matatizo yamesheheni Tanzania ya kwenye meza ya chakula, we analeta ya kitandani, unaamuuliza Dr. Slaa kuhusu haki yako kutoa mimba na kuhalalishwa u$enge, eti "hot button" issues, sio kituko?
Nina tumai kwamba Jamiiforums inatekeleza dhana yake ya – WE DARE TO TALK OPENLY, kwa vitendio, na kwahiyo basi waratibu wake hawatafuta maswali yangu kwa wagombea Urais wa Chadema, CUF, na CCM. Mimi kama raia na mpiga kura katika nchi yangu nina haki ya kujibiwa maswali na wagombea moja kwa moja au kupitia wasaidizi wao ilimradi hayavunji sheria, kanuni na heshima. Ntaanzia na mgombea wa Chadema, Mheshimiwa Dr. Slaa.
Dr. Slaa, nafasi ya uongozi ngazi ya Uraisi ni nafasi nyeti, yenye maamuzi mazito ambayo wakati mwingine yanakinzana na suala la dini. Kwa mfano dini ya kikristo hairuhusu kulipiza visasi – haitakiwi ulipize ubaya kwa ubaya. Kama tukikupa Urais wan chi yetu, ikitokea nchi yetu ya Tanzania ikavamiwa na maaadui, tukikuchagua Dr Slaa kuwa Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, je kama amiri jeshi mkuu wetu, utaweza kutoa ruhusa nchi yetu iende vitani kutetea maslahi, mipaka na haki zetu watanzania?
Pili, hakuna shaka kabisa kwamba serikali ya Jakaya Kikwete imesimamia kwa mafanikio makubwa sana suala la mauaji ya walemavu wa ngozi yani ALBINO. Dr. Slaa, je, tukikuchagua uwe Rais wetu wa Tanzania, ikija fikia suala la kufanya maamuzi ya kuizinisha wauaji wanyongwe, utakuwa tayari kusimamia death penalty, mfano kuizinisha wauaji wa albino wanyongwe? Utaziteteaje Haki za ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi yani Albino? utazisimamiaje?
Mwisho tunafahamu fika ni jinsi gani Jakaya Kikwete alivyoweza kuwa kiongozi mvumilivu na asiye hamaki. JK ni mvumilivu sana, kwa mfano likija suala la vyombo vya Habari ambapo tumeona jinsi gani magazeti mbali mbali yanavyomchafua, ameyapa uhuru sana licha ya kuwa na uwezo wa kuyabana kikatiba. Je, Dr. Slaa wewe ni mvumilivu na usie na hamaki? Kuna mifano dhairi kutoka kwa wajumbe wa kamati yako ya Bunge jinsi gani ulivyokuwa mtu wa kuhamaki, hasira, kuzira na kung'ang'ania mawazo yako ndiyo yasikilizwe na yawe ya mwisho. Je, unatuelezea nini juu ya suala hili? Kuna ukweli kuhusu suala hili?
Haya ni baadhi tu ya maswali ambayo mimi na watanzania wengine nadhani katika kipindi hiki tutakuwa tunakuuliza wewe na wagombea wa vyama vingine mara kwa mara ili tujiridhie kabla hatujafanya maamuzi mgumu ya kumpigia mgombea katika nafasi ya Urais Rais wa Jamhuri ya muungano Tanzania. Nina matumaini makubwa sana kwamba waratibu wa Jamiiforums hawatafuta maswali haya. Naomba kutoa hoja.
Ukiona watu kama mchambuzi wanafikia kuandika utumbo kama huu basi ujue ccm wameshikwa pabaya. Yaani kama mkatoliki na mkristo Julius Nyerere (the real JK) aliamrisha watu kupigana ndio itakuwa vigumu kwa wakristo wengine kufanya hivyo?
Bange tu hizo mchambuzi and you know it
Gaijin;
Ujambazi nao umetapakaa, sasa tusema ujambazi ni "hot button" issue?
Wote tunakubaliana kwamba ujambazi usihalalishwe kama ambavyo wengi Tanzania bado tunakubaliana kwamba u$enge ni haramu.
Mwanasiasa gani amewahi kurekodi ilani ya "ushoga uhalalishwe"? Kiongozi gani amewahi kusimama rasmi kudai haki zake za kutoa mimba?
Hatuyazungumzii hayo Tanzania, matatizo yamesheheni Tanzania ya kwenye meza ya chakula, we analeta ya kitandani, unaamuuliza Dr. Slaa kuhusu haki yako kutoa mimba na kuhalalishwa u$enge, eti "hot button" issues, sio kituko?
Kwa definition yako hiyo hiyoya wiki, ufisadi nao ukiwa "hot button" issue, nani anafurahia na kutetea ufisadi Tanzania? hahhahahahahhaahahaaa"Heavily politicized issues are often called "hot button issues" because almost any position taken is sure to please one group of people and offend another........"(Wiki)
Kwa hiyo hata ufisadi ni hot button issue.....
yametapakaa haimaanishi yako controversial. Kuleta issues za nchi nyingine hapa kwetu na kuziita "hot button" ni kulimbuka kwa kizazi kilichohama nchi. The real issues need not be framed with concepts borrowed from other countries......irrelevant foreign issues wakati yamo yametapakaa kwenye jamii.....SMH
hahahahahaha....Juha kama jiwe wewe.
Lets not waste this energy to prove ourselve right or wrong! All these are issues that in a diverse society people need/what to know...However, what are our priorities right now ?? For example, homosexuality might be an important issue"hot button" in other parts of the world, but it is not that hot in Tanzania at the moment. In a discuss, ideas come from all corners,there is nothing wrong to talk and relate to other issues outside our borders, afterall. we live in a global society right now....
Yes Mapambano, I don't think there's any question there. You can discuss any issues you want from any corner of the globe.What might be irrelevant to you, might be relevant to others...so lets move on guys