Elections 2010 Maswali Yangu Kwa Dr. Wilbrod Slaa

Elections 2010 Maswali Yangu Kwa Dr. Wilbrod Slaa

Kitu kuwa controversial si lazima kiwe kinaongelewa kila pahala.
the issues are not even in the conversation, never mind controversial

you sound funny importing "hot button" issues from a foreign place when they are not even in the conversation within TZ
 
the issues are not even in the conversation, never mind controversial

Aren't abortions taking place in TZ? Aren't there homosexuals in TZ? Don't we have the death penalty in TZ? Yes or no?
 
Taso ungelijua hiyo abortion ilivyotapakaa Tanzania, wala usingesema ni 'irrelevant foreign issue'. Tena ni suala ambalo linahitaji kujadiliwa kwa kina na mapana yake.
 
the issues are not even in the conversation, never mind controversial

you sound funny importing "hot button" issues from a foreign place when they are not even in the conversation within TZ

Bana eee, hebu acha hizo! Unafikiri hatuelewi kile NN alichokusudia kuongea?! Una twist-twist vitu tu na kudiverge attention ili mradi tu uonekane umekosoa... nadhani kuna wakati uangalie huo ukosoaji wako kama unamanufaa yoyote.

NN alisema as an extension of Gaijin point kuwa, iwapo mambo hayo yanaongelewa vile ambavyo Mchambuzi ameleta hii topic; basi hayo mambo ni 'hot button'. Haijalishi kama yanaongelewa kweli au laa. Sasa hapa unataka kutuaminisha kuwa NN na Gaijin ndiyo walikusudia kusema kuwa haya ni hot button issues kwenye social-political scene Bongo. Acha hizo bana! Far too predictable...

Oh yes, those are the hot button issues that I want to know where the candidates stand.....don't you?
 
Aren't abortions taking place in TZ? Aren't there homosexuals in TZ? Don't we have the death penalty in TZ? Yes or no?
The consensus on the subjects is so near unanimous they are not even in the conversation.

Addressing the real issues calls for keener ingenuity than just borrowing foreign issues and labeling them as "hot button" when they don't even cross people's minds in Tanzania.

Sad commentary on the miseducation of the diaspora generation.
 
Aren't abortions taking place in TZ? Aren't there homosexuals in TZ? Don't we have the death penalty in TZ? Yes or no?

The consensus on the subjects is so near near unanimous they are not even in the conversation.

Addressing the real issues calls for keener ingenuity than just borrowing foreign issues and labeling them as "hot button" when they don't even cross people's minds in Tanzania.

Sad commentary on the miseducation of the diaspora generation.

Answer the damn questions I asked you, damn it!!!
 
The consensus on the subjects is so near near unanimous, they are not even in the conversation.
Repetitive. Vague.
Tumia alama ya "mkato" katika maandishi yako. Si kila mmoja anaongea au kusoma kama cherehani.

Sad commentary on the miseducation of the diaspora generation.

There is no such thing as "diaspora generation". There is diaspora and people in the diaspora.
 
d
Hivi waungwana sheria inasemaje katika hali hii "Itokee Dr.Slaa anashinda Uchaguzi wa Rais,Lakini kwa bahati mbaya ana Idadi ndogo mno ya wabunge walioshinda ktk Bunge la Jamhuri...Sheria bado inamruhusu kuunda serikali kutoka miongoni mwa Wabunge wachache wa chama chake?"

Jibu la haraka ni ndiyo. Hata hivyo Katiba iko very simple Waziri Mkuu ni lazima atoke kwa wabunge wa kuchaguliwa na awe anatoka kwenye chama chenye wabunge wengi au anayeonekana kuungwa mkono na wabunge wengi. Mawaziri lazima watoke kwa wabunge (si lazima wawe wa chama cha Rais). So.. hata akipata wabunge wachache bado anaweza kuunda serikali anayotaka yeye, kumbuka bado ana wabunge 10 wa kuteua ambao anaweza kuwapa uwaziri (isipokuwa uwaziri mkuu).
 
Dr. Slaa, nafasi ya uongozi ngazi ya Uraisi ni nafasi nyeti, yenye maamuzi mazito ambayo wakati mwingine yanakinzana na suala la dini. Kwa mfano dini ya kikristo hairuhusu kulipiza visasi – haitakiwi ulipize ubaya kwa ubaya. Kama tukikupa Urais wan chi yetu, ikitokea nchi yetu ya Tanzania ikavamiwa na maaadui, tukikuchagua Dr Slaa kuwa Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, je kama amiri jeshi mkuu wetu, utaweza kutoa ruhusa nchi yetu iende vitani kutetea maslahi, mipaka na haki zetu watanzania?

Mchambuzi,
Je, wewe kweli una dini?
Kama unayo je dini yako inasemaje kwa hili? nukuu ktk Biblia kwa hili inasema ....."msiwe wapole kupita kiasi"...

Hayo maswali yako mengine waweza msubiri atakapo pita kwenye mikutano yake ya kampeni nenda na umuulize kwani, yeye haogopi maswali ya papo kwa papo. Kama upo Dar basi nenda jangwani kesho kutwa na utauliza pale!!
 
Lets not waste this energy to prove ourselve right or wrong! All these are issues that in a diverse society people need/what to know...However, what are our priorities right now ?? For example, homosexuality might be an important issue"hot button" in other parts of the world, but it is not that hot in Tanzania at the moment. In a discuss, ideas come from all corners,there is nothing wrong to talk and relate to other issues outside our borders, afterall. we live in a global society right now....
 
Taso ungelijua hiyo abortion ilivyotapakaa Tanzania, wala usingesema ni 'irrelevant foreign issue'. Tena ni suala ambalo linahitaji kujadiliwa kwa kina na mapana yake.
Gaijin;

Ujambazi nao umetapakaa, sasa tusema ujambazi ni "hot button" issue?

Wote tunakubaliana kwamba ujambazi usihalalishwe kama ambavyo wengi Tanzania bado tunakubaliana kwamba u$enge ni haramu.

Mwanasiasa gani amewahi kurekodi ilani ya "ushoga uhalalishwe"? Kiongozi gani amewahi kusimama rasmi kudai haki zake za kutoa mimba?

Hatuyazungumzii hayo Tanzania, matatizo yamesheheni Tanzania ya kwenye meza ya chakula, we analeta ya kitandani, unaamuuliza Dr. Slaa kuhusu haki yako kutoa mimba na kuhalalishwa u$enge, eti "hot button" issues, sio kituko?
 
"Heavily politicized issues are often called "hot button issues" because almost any position taken is sure to please one group of people and offend another........"(Wiki)

Kwa hiyo hata ufisadi ni hot button issue.....

Halafu ni wewe uliyesema kuwa hayo (abortion, homosexuality, death penalty) ni 'irrelevant foreign' issues....LMAO .......irrelevant foreign issues wakati yamo yametapakaa kwenye jamii.....SMH

Juha kama jiwe wewe.
 
Nina tumai kwamba Jamiiforums inatekeleza dhana yake ya – WE DARE TO TALK OPENLY, kwa vitendio, na kwahiyo basi waratibu wake hawatafuta maswali yangu kwa wagombea Urais wa Chadema, CUF, na CCM. Mimi kama raia na mpiga kura katika nchi yangu nina haki ya kujibiwa maswali na wagombea moja kwa moja au kupitia wasaidizi wao ilimradi hayavunji sheria, kanuni na heshima. Ntaanzia na mgombea wa Chadema, Mheshimiwa Dr. Slaa.

Dr. Slaa, nafasi ya uongozi ngazi ya Uraisi ni nafasi nyeti, yenye maamuzi mazito ambayo wakati mwingine yanakinzana na suala la dini. Kwa mfano dini ya kikristo hairuhusu kulipiza visasi – haitakiwi ulipize ubaya kwa ubaya. Kama tukikupa Urais wan chi yetu, ikitokea nchi yetu ya Tanzania ikavamiwa na maaadui, tukikuchagua Dr Slaa kuwa Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, je kama amiri jeshi mkuu wetu, utaweza kutoa ruhusa nchi yetu iende vitani kutetea maslahi, mipaka na haki zetu watanzania?

Pili, hakuna shaka kabisa kwamba serikali ya Jakaya Kikwete imesimamia kwa mafanikio makubwa sana suala la mauaji ya walemavu wa ngozi yani ALBINO. Dr. Slaa, je, tukikuchagua uwe Rais wetu wa Tanzania, ikija fikia suala la kufanya maamuzi ya kuizinisha wauaji wanyongwe, utakuwa tayari kusimamia death penalty, mfano kuizinisha wauaji wa albino wanyongwe? Utaziteteaje Haki za ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi yani Albino? utazisimamiaje?

Mwisho tunafahamu fika ni jinsi gani Jakaya Kikwete alivyoweza kuwa kiongozi mvumilivu na asiye hamaki. JK ni mvumilivu sana, kwa mfano likija suala la vyombo vya Habari ambapo tumeona jinsi gani magazeti mbali mbali yanavyomchafua, ameyapa uhuru sana licha ya kuwa na uwezo wa kuyabana kikatiba. Je, Dr. Slaa wewe ni mvumilivu na usie na hamaki? Kuna mifano dhairi kutoka kwa wajumbe wa kamati yako ya Bunge jinsi gani ulivyokuwa mtu wa kuhamaki, hasira, kuzira na kung'ang'ania mawazo yako ndiyo yasikilizwe na yawe ya mwisho. Je, unatuelezea nini juu ya suala hili? Kuna ukweli kuhusu suala hili?

Haya ni baadhi tu ya maswali ambayo mimi na watanzania wengine nadhani katika kipindi hiki tutakuwa tunakuuliza wewe na wagombea wa vyama vingine mara kwa mara ili tujiridhie kabla hatujafanya maamuzi mgumu ya kumpigia mgombea katika nafasi ya Urais Rais wa Jamhuri ya muungano Tanzania. Nina matumaini makubwa sana kwamba waratibu wa Jamiiforums hawatafuta maswali haya. Naomba kutoa hoja.

Ni haki yako kupata hayo majibu kutoka kwa hao viongozi, kila mtu anadukuduku na maswali na majibu angependa kujua kutoka kwa hao viongozi...
 
What might be irrelevant to you, might be relevant to others...so lets move on guys
 
Ukiona watu kama mchambuzi wanafikia kuandika utumbo kama huu basi ujue ccm wameshikwa pabaya. Yaani kama mkatoliki na mkristo Julius Nyerere (the real JK) aliamrisha watu kupigana ndio itakuwa vigumu kwa wakristo wengine kufanya hivyo?

Bange tu hizo mchambuzi and you know it

Mwafirika hapo nilipobold umenigusa sana,kweli tupu,huyo ndio the real JK,wengine wadandiaji tu.
 
Gaijin;

Ujambazi nao umetapakaa, sasa tusema ujambazi ni "hot button" issue?

Wote tunakubaliana kwamba ujambazi usihalalishwe kama ambavyo wengi Tanzania bado tunakubaliana kwamba u$enge ni haramu.

Mwanasiasa gani amewahi kurekodi ilani ya "ushoga uhalalishwe"? Kiongozi gani amewahi kusimama rasmi kudai haki zake za kutoa mimba?

Hatuyazungumzii hayo Tanzania, matatizo yamesheheni Tanzania ya kwenye meza ya chakula, we analeta ya kitandani, unaamuuliza Dr. Slaa kuhusu haki yako kutoa mimba na kuhalalishwa u$enge, eti "hot button" issues, sio kituko?

kwa hiyo tumeshakubaliana kama haya masuala si 'irrelevant foreign' issues madhali yametapakaa kwenye jamii ya Tanzania.

unataka kunambia kwa sababu kuna matatizo mengi ya kwenye meza ya chakula, ya kitandani yanakosa hadhi ya kuwa ni matatizo pia?

ushakaa ukajiuliza wanafunzi wangapi ambao sheria inawazuwia kushiriki kwenye mambo ya kitandani wanatoa mimba? ushajiuliza wangapi wanatoa mimba kwa madaktari wa vichochoroni bila ya familia zao kujua?

haya masuala yataendelea kuwa hot button issues kwa sababu yakijadiliwa yataibua hisia kubwa kwa wananchi.

niambie Tanzania sasa hatutaki kujadili hayo kwa sababu tunajitahidi kuondokana na njaa tu kwanza ............nitakuelewa, lakini kusema ni irrelevent and foreign nakataa
 
"Heavily politicized issues are often called "hot button issues" because almost any position taken is sure to please one group of people and offend another........"(Wiki)

Kwa hiyo hata ufisadi ni hot button issue.....
Kwa definition yako hiyo hiyoya wiki, ufisadi nao ukiwa "hot button" issue, nani anafurahia na kutetea ufisadi Tanzania? hahhahahahahhaahahaaa

.....irrelevant foreign issues wakati yamo yametapakaa kwenye jamii.....SMH
yametapakaa haimaanishi yako controversial. Kuleta issues za nchi nyingine hapa kwetu na kuziita "hot button" ni kulimbuka kwa kizazi kilichohama nchi. The real issues need not be framed with concepts borrowed from other countries.

Juha kama jiwe wewe.
hahahahahaha....

sasa watafunga thread hii sasa hivi...you see, nikiwa kwenye discussion often times post/thread zinafutwa maana mtu anahitaji clutches za lugha kama hizo kuni address. Jitahidi kidogo, utakomaa.
 
Mchambuzi bana kaa! Yaani pamoja na 'usomi, na weledi' wako wote umeona hayo maswali ndo ya msingi kabisa kabisa? Naomba ujibu yafuatayo pengine utapata nafasi ya kujitambua:-

1. Je, Dk Slaa anagombea Urasi kama Mkatoliki au Mkiristo?
2. Je, Tanzania kwa mujibu wa Katiba; ni Nchi ya Kikristo, Kikatoliki au?
3. Kama si nchi ya Kidini, suala la Imani ya Mgombea kuwa wa dini fulani linahusiana vipi na haki yake ya kugombea au kupata Urais?
4. Je, JMT inaongozwa na Biblia, Msahafu au sheria ambazo si za Kidini?
5. Je, Rais wa JMT anaakiwa aongoze kwa kufuata sheria zipi? Katiba na sheria nyinginezo au za Biblia na Misahafu mingineyo?

Kwa kumalizia Mchambuzi nio vema ujue kuwa Urasi ni Taasisi, tofauti ni kuwa Rais ndiye anayejulikana zaid lakini haina maana kuwa Rais anaweza kukurupuka tu na kuamua kufanya/kutekeleza jambo kwa mujibu wa Sheria na si nje ya Sheria za Nchi. Kwa hiyo kwa kufanya yaliyo ndani ya Katiba na Sheria, Rais hatahukumiwa maana hafanyi mambo kwamujibu wa Imani yake bali Sheria za nchi.

Mchambuzi umeniboa na kunihuzunisha sana na I can conclude that you have come back with a specia mission and not new vision.
 
Lets not waste this energy to prove ourselve right or wrong! All these are issues that in a diverse society people need/what to know...However, what are our priorities right now ?? For example, homosexuality might be an important issue"hot button" in other parts of the world, but it is not that hot in Tanzania at the moment. In a discuss, ideas come from all corners,there is nothing wrong to talk and relate to other issues outside our borders, afterall. we live in a global society right now....

What might be irrelevant to you, might be relevant to others...so lets move on guys
Yes Mapambano, I don't think there's any question there. You can discuss any issues you want from any corner of the globe.

Just don't call them "hot button" issues in Tanzania when they are not even in the conversation.
 
Maswali yako mtoa mada ni mazuri ila kwa mtazamo wa haraka majibu yake ni dhahiri. Swali la kwanza....Soma Katiba kuhusu majukumu ya rais....zaidi aliyekuwa Rais wa Kwanza wa JMT ...Mwl JK alipigana vita ya Uganda...Je JKN alikuwa dini gani?

Swali la pili: Mafanikio katika kuwanyonga wauaji wa albino katika serikali ya awamu ya nne sina takwimu...Labda ungetoa mfano hai...ukitoa mfano ningeweza kuwa na cha kujadili hapa

Swali la tatu: Hapa nimeachwa ...JK kuwa mvumilivu kwa wandandishi wanao mchafua maana yake nini? Hata kama asingekuwa Rais si kuna sheria inapotokea gazeti linaandika mambo unaona hujatendewa haki? Sasa unamtaka Dkt Slaa kutofuata sheria au ? haijatulia mzazi

Kumbuka: Misingi mingi ya Utawala imeanzia kwenye kwenye madhehebu ya dini...Mfano tazama Dola la Kirumi lilikuwa na bado ni ...
 
Back
Top Bottom