OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Gazeti kada la Habari Leo lilitoa propaganda kuwa madaktari wameridhishwa na utolewaji wa vifaa-kinga kwa wahudumu wa afya. Propaganda hiyo imekanushwa na rais wa MAT Dr. Elisha.
Tunaisisitiza serikali na wadau kuelekeza nguvu kwa wahudumu maana wameanza kukimbia wagonjwa. Wahudumu wanahitaji zaidi ya barakoa.
Tunaisisitiza serikali na wadau kuelekeza nguvu kwa wahudumu maana wameanza kukimbia wagonjwa. Wahudumu wanahitaji zaidi ya barakoa.