OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Gazeti la serikali kwanini lidanganye? Waziri Mwakyembe Fungia miezi 6.View attachment 1428927
Gazeti kada la Habari Leo lilitoa propaganda kuwa madaktari wameridhishwa na utolewaji wa vifaa-kinga kwa wahudumu wa afya. Propaganda hiyo imekanushwa na rais wa MAT Dr. Elisha.
Tunaisisitiza serikali na wadau kuelekeza nguvu kwa wahudumu maana wameanza kukimbia wagonjwa. Wahudumu wanahitaji zaidi ya barakoa
Kwa hiyo mkuu tunaposema usione kama tuna chuki