Matafuta 3d vacuum heat press kama hii hapa

Amri kuu ni Upendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
789
Reaction score
489
Habari wadau, nataka kufanya business ya kuprint vitu mbalimbali, kuna hii machine naihitaji sana katika kutimiza business yangu.

Kwa wenye duka lenye nalo hii Machine hapa Dar Tafadhali ni PM tumalize biashara chapchap!
 
Ofisini kwetu tunayo ila jamaa alitoka nayo cina sasa sijajua kwa hapa mjini wapi unaweza pata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…