Amri kuu ni Upendo
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 789
- 489
Habari wadau, nataka kufanya business ya kuprint vitu mbalimbali, kuna hii machine naihitaji sana katika kutimiza business yangu.
Kwa wenye duka lenye nalo hii Machine hapa Dar Tafadhali ni PM tumalize biashara chapchap!
Kwa wenye duka lenye nalo hii Machine hapa Dar Tafadhali ni PM tumalize biashara chapchap!