Uchaguzi 2020 MATAGA jirekebisheni, sio kila msema ukweli ni CHADEMA

CCM haijawahi kuwa na mtu mfano wako, CCM mwaka huu, wanakampeni za raha mstarehe tofauti Kabisa na miaka iliyopita kwani haina upinzani
 
Uchaguzi ukifanyika kesho Rais Magufuli atashinda kwa 89% ukifanyika October 28 Rais Magufuli atashinda kwa 97%

Mtaumia sana huu mwaka
Mimi sitoumia maana hanisaidii kwa chochote kama wewe. Mana akipoteza tu ndio huna kula tena.
 
Ndio kwa sababu waliopo kule wote ni mazezeta NAMI SI ZEZETA KAMA NINYI.
Sasa ulitaka kujipachika u CCM wa kutoka wapi sasa mkuu,

Mbona kila mwanachadema anatumia kusema eti yeye ni mwana CCM badala ya kwenda kwenye hoja Kwa kujitaja moja Kwa moja kama mwanachadema! Mnakuwa mnaogopa nini
 
Jibuni hoja kutoka kwa mwana CCM mwenzenu. Yaani univunjie nyumba bila fidia halafu nikupe kura?????
 
Kawe Alumin na Mwenzake Bia Yetu wanabadilishana shift, hawa wanalipwa kuandika humu na CCM msija shindana nao, Bando lao ni kodi yetu wanatumia.
 
Nadhani thread inajitosheleza na wananchi wanaelewa vizuri. Kwa sasa tuachane na mambo ya vyama. Magufuli hafai kuwa rais wa tanzania. Ametupotezea miaka mitano sasa tusirudie kosa uwe mwana ccM uwe mpinzani
 
Kawe Alumin na Mwenzake Bia Yetu wanabadilishana shift, hawa wanalipwa kuandika humu na CCM msija shindana nao, Bando lao ni kodi yetu wanatumia.
Hata wanavyoposti havieelweki. Wenzao akina Gentamycin wameahakubali gemu la Lissu, TumainEl, kipara kipya, stroke, johnthebaptist, mzalendo2015, GUSSIE wameshaokoka.
 
Mapimbi wa kijani kibichi wanataka wote tuimbe nyimbo na mapambio ya kusifu na kuabudu Mr Mayanga a.k.a Yesu wa ccm.
 
Watanzania 97% wanamkubali Magufuli na CCM, nyie Chadema mtapigwa kura na Wazungu
Achana na mahuni hayo..watu wa bangi na konyagi,chadema ni chama cha wahuni wakubwa na hua wanadhani kila anaye waponda ni mtu wa CCM, tulitaka kama kuiamini chadema lakini kumbe ni bure kabisa na yangeuza nchi yetu haya kwa wazungu
 
Siasa inaupande na unafiki ni sehemu kubwa ya Siasa.
Propaganda na uongo wa wazi vinatumika.
Kwamba kuna Wasema kweli kwenye siasa? Uliwaona wapi?

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Kigogo endelea kugongelea nyundo huko Twitter, habari wanayo.
 
CCM haijawahi kuwa na mtu mfano wako, CCM mwaka huu, wanakampeni za raha mstarehe tofauti Kabisa na miaka iliyopita kwani haina upinzani
Aisee huu ni ushabiki na ushabiki hauzingatii ukweli au uhalisia. Ni nasoma sura za wagombea sikosi kusikiliza hotuba zao huko Youtube naona kuna waloopaniki kupitiliza!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Umepiga mule mule
 
Achana na mahuni hayo..watu wa bangi na konyagi,chadema ni chama cha wahuni wakubwa na hua wanadhani kila anaye waponda ni mtu wa CCM, tulitaka kama kuiamini chadema lakini kumbe ni bure kabisa na yangeuza nchi yetu haya kwa wazungu
Hivi tunapopambana kuinua utalii tunataka nani waje. Sidhani kama ni nyamulenge.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…