paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
CCM haijawahi kuwa na mtu mfano wako, CCM mwaka huu, wanakampeni za raha mstarehe tofauti Kabisa na miaka iliyopita kwani haina upinzaniAmani iwe juu yenu.
Uchaguzi ni ushawishi, Sera na misimamo ya mtu. Ili uchaguliwe inabidi uwe unauwezo wa kumshawishi mtu kupitia Sera zako na vipaumbele vyako. Waambie wananchi umefanya nini kama ulipewa dhamana ya uongozi na utafanya nini kuboresha zaidi kama unaomba tena upewe ridhaa ya uongozi kwa Mara nyingine...