MATAGA nayo yanaisoma namba 😂

MATAGA nayo yanaisoma namba 😂

Soma kwa kituo ili uelewe kilichoandikwa badala ya KUKURUPUKA! Huyo ni MATAGA mwenzio sasa analia kilio cha mbwa mdomo juu!
Nimeelewa na ndiyo maana nimekujibu vile....soma alama za nyakati dogo.
 
Ufinyu wa akili unakusumbua dogo. Siku ukitia akili kichwani UTAELEWA TU! MATAGA mwenzio analia sasa kaka yuko lupango bank accounts zote wamezifreeze tayari kumpora VIJISENTI vyake. Eti Serikali ya wanyonge 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimeelewa na ndiyo maana nimekujibu vile....soma alama za nyakati dogo.
 
Cha ajabu walimu hamuwalipi malimbikizo yao mishahara hamuwaongezi mafuta mtaani Lita moja ya kula ni 4800 bado makato ya helsb ila walimu mnawamudu Sana.
Kwani mkopo wa chuokikuuu ulilazimishwaa kuchukua au uliomba mwenyeweee?? Fikilia ungenyimwa huo mkopo kama Leo hiii ungeitwa msomii, dawa ya deni nikulipaaa. Lips deni LA mkopo ilinawengine wanufaikeee. Sawaa??
 
Aliekuambia hataki kulipa Nani? Nadhani hujui kilio Cha wanufaika wa heslb kaa kimya tu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ni ujinga kuamini Lissu angeleta maendeleo ya kutisha.
 
Ndio maana kila linalonasibishwa na CCM linageuka laughing stock kwasababu wengi ni wapumbavu.
 
Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Na wewe utakuja kuelewa ikifika zamu yako
[emoji1787]
 
Na wewe utakuja kuelewa ikifika zamu yako
[emoji1787]
Sisi viongozi wa CCM Kwa sababu ya uadilifu wetu yaani wala hayo makali ya maisha hutayahisi
Unaijua vieite wewe!!
Sisi tunatembelea vieitee!!
 
Attachments

  • IMG_20210101_160453.jpg
    IMG_20210101_160453.jpg
    73.6 KB · Views: 1
  • IMG_20210112_150518.jpg
    IMG_20210112_150518.jpg
    86.3 KB · Views: 1
Ndio maana kila linalonasibishwa na CCM linageuka laughing stock kwasababu wengi ni wapumbavu.
Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
 
Makao makuu ya nchi; Chato.
Jiji kuu la kibiashara; Chato.
 
Back
Top Bottom