Nimeelewa na ndiyo maana nimekujibu vile....soma alama za nyakati dogo.Soma kwa kituo ili uelewe kilichoandikwa badala ya KUKURUPUKA! Huyo ni MATAGA mwenzio sasa analia kilio cha mbwa mdomo juu!
Kwanini msiwashitaki huko kwa vibaraka wenu mabeberu??Washukuruni walimu polisi na tis
Nimeelewa na ndiyo maana nimekujibu vile....soma alama za nyakati dogo.
Kwani mkopo wa chuokikuuu ulilazimishwaa kuchukua au uliomba mwenyeweee?? Fikilia ungenyimwa huo mkopo kama Leo hiii ungeitwa msomii, dawa ya deni nikulipaaa. Lips deni LA mkopo ilinawengine wanufaikeee. Sawaa??Cha ajabu walimu hamuwalipi malimbikizo yao mishahara hamuwaongezi mafuta mtaani Lita moja ya kula ni 4800 bado makato ya helsb ila walimu mnawamudu Sana.
Aliekuambia hataki kulipa Nani? Nadhani hujui kilio Cha wanufaika wa heslb kaa kimya tu.Kwani mkopo wa chuokikuuu ulilazimishwaa kuchukua au uliomba mwenyeweee?? Fikilia ungenyimwa huo mkopo kama Leo hiii ungeitwa msomii, dawa ya deni nikulipaaa. Lips deni LA mkopo ilinawengine wanufaikeee. Sawaa??
Mabeberu wanaokupa msaada wa arv ili baba yako mdogo kule makete asife kwa ukimwi.Kwanini msiwashitaki huko kwa vibaraka wenu mabeberu??
Ila ni werevu kuyaamini maajabu ya magufuli.Ni ujinga kuamini Lissu angeleta maendeleo ya kutisha.
Mnalia nini sasa nawakati mlikopa wenyeweee?? Lipeni madeni yawatuu. Ulishangilia kula boom sasa unahaha kukatwa 15% kwa kila mweziii??Aliekuambia hataki kulipa Nani? Nadhani hujui kilio Cha wanufaika wa heslb kaa kimya tu.
Kumbe we we bado unaishi na ngoma? Baki njia kuuuMabeberu wanaokupa msaada wa arv ili baba yako mdogo kule makete asife kwa ukimwi.
Mbona umepanic mwanaufipa?Ndio maana kila linalonasibishwa na CCM linageuka laughing stock kwasababu wengi ni wapumbavu.
Na wewe utakuja kuelewa ikifika zamu yakoTatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Sisi viongozi wa CCM Kwa sababu ya uadilifu wetu yaani wala hayo makali ya maisha hutayahisiNa wewe utakuja kuelewa ikifika zamu yako
[emoji1787]
Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumiaNdio maana kila linalonasibishwa na CCM linageuka laughing stock kwasababu wengi ni wapumbavu.
KhaaaTunalipa kodi ya kujenga Chatto!!!