Enzi za utawala wa kisahunga haya makundi mawili yalikuwa active kama nyuki. Ukigusa mmoja wao basi ujiandae kupata mashambulizi kutoka kila kona.
Pengine kwa sababu tulikuwa uchumi wa kati na huenda walikuwa wanalipwa vizuri. Si unajua CCM maslahi?
Sasa awamu hii joka walilolifuga limewageukia. Linatafuna mmoja baada ya mwingine. Wametawanyika.
Wale ccm Mpya na Mataga chini ya Polepole, Kabudi, Mwigulu, makonda mko wapi mbona mnawaacha wenzenu wanapopolewa nyie mkitazama tu? Si mlikuwa mkiamini katika siasa za chuki kwa pamoja huku mkidanganya umma ni wazalendo? Onyesheni uzalendo kwa kumuunga mkono na kumtetea mwenzenu. Sasa mmeitwa viroboto Mmenywea.
Pambaneni na hali zenu
Kwanza Gwajiboy yuko wapi?? naye kashakuwa kunguni?