Mataifa 10 tajiri sana duniani kwa mwaka 2024.

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Marekani, China, Ujerumani, Japan na India ndizo nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani kwa mwaka wa 2024, kulingana na data zao za Pato la Taifa.

Pato la Taifa hutumika kama kipimo muhimu cha kutathmini ukubwa wa uchumi wa taifa. Mbinu ya kawaida ya kupima Pato la Taifa la nchi inahusisha mbinu ya matumizi, ambapo jumla yake hutolewa kwa kujumlisha matumizi ya bidhaa mpya za walaji, uwekezaji mpya, gharama za serikali, na thamani halisi ya mauzo ya nje.

The Top 10 Largest Economies In The World In 2024 - Forbes India
 
Kwa ulichozungumzia kwenye uzi na heading ni vitu viwili tofauti

Ni vyema ungetumia maneno mataifa yenye uchumi mkubwa na sio mataifa tajiri

Kuna tofauti kubwa kati ya taifa tajiri na taifa lenye uchumi mkubwa
 
USA ina vizazi kadhaa vya kuendelea kuitawala dunia.

Per capita income ya Mchina bado ndogo sana, ili aweze kuifikia ilipo USA itamhitaji miaka mingi wakati USA naye atakuwa anapaa.

Kigezo bora cha kupima maisha na uchumi wa Taifa ni per capita income kuliko kuangalia figure itokanayo na GNI au GDP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…