Mataifa 10 yanayoongoza kwa kuwa na hifadhi kubwa ya dhahabu.

Mataifa 10 yanayoongoza kwa kuwa na hifadhi kubwa ya dhahabu.

fafanua kidogo mkuu
Kama unavyojua wanawake wa kihindi kila wanapopata hela kidogo, wananunua dhahabu na kujiwekea kama akiba maana dhahabu inapanda bei kila wakati

Sasa hapo kila mwanamke mwenye dhahabu India zikihesabiwa ndio thamani yake hiyo na % yake ni hiyo

Sent from my SM using Tapatalk
 
Kila mtu akisema aiuze? Kila mtu anayo? Unaongea as if wananchi wanayo dhahabu nyumbani kwao wanasubilia ipande bei waiuze! Kuwa serious kidogo basi.
Namaanisha kila mwenye nayo aipeleke sokoni kwa mkupuo, pia unaweza kuishi bila dhahabu, ila ni lazima uishi juu ya ardhi
 
Tatizo mmekuwa brainwashed sana juu ya dhahabu, ila think out of the box, dhahabu kama kila mtu akisema anauza kwa mkupuo basi bei inaweza ikashuka ikawa sawa na kilo ya mchele, lakini Ardhi haina cha unaitaka au huitaki, ni lazima uishi juu ya ardhi, iwe kwa kununua au kukodisha, haina namna, and yes, and no, i am extraordinary (not normal)
Ila unajua nini kaka, naona hauko sahihi ila sina jibu hasa la kiufundi au kitaaluma la kukujibu. Natamani atokee mtu akupe jibu sahihi. Maana dah!!! Unajua dhahabu ni fedha, yani unaweza kutumia dhahabu kubadilisha na kitu kwa mfano, unaweza badilishana dhahabu kwa mkate, au unga na maharage. Ardhi pia unaweza ukafanyia hivyo lakini haina mantiki. Sijui kidogo tumeelewana hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mzunguko wa hela ni mdogo kama sasa
Halafu umepata shida ya dharura na unataka kuuza shamba lako, nakuambia utauza kwa bei ya chini sana maana una dhiki
Lakini kama una dhahabu hata bila ya kusema una shida hela utaipata haraka tena kwa thamani ya leo
Dhahabu acha kabisa bwana

Sent from my SM using Tapatalk
 
Ila unajua nini kaka, naona hauko sahihi ila sina jibu hasa la kiufundi au kitaaluma la kukujibu. Natamani atokee mtu akupe jibu sahihi. Maana dah!!! Unajua dhahabu ni fedha, yani unaweza kutumia dhahabu kubadilisha na kitu kwa mfano, unaweza badilishana dhahabu kwa mkate, au unga na maharage. Ardhi pia unaweza ukafanyia hivyo lakini haina mantiki. Sijui kidogo tumeelewana hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Assume mimi na wewe tuko peke yetu jangwani, wewe una dhahabu na mimi nina mkate huo unaosema, hivi mimi kwa akil zangu nikupe kabisa mkate kwa kipande cha dhahabu, nimerogwa?
 
Tuwekee in details mkuu kila nchi ina akiba kiasi gani cha dhababu??
Uingereza na Urusi hawapo kwenye list yako na ni moja ya nchi zenye reserve kubwa ya dhabahu!
 
Tuwekee
‪#UNAAMBIWA Haya ndio Mataifa yanayotajwa kuongoza Duniani kwa kuwa na Hifadhi kubwa ya Dhahabu;‬
‪10.India‬
‪9.Uholanzi‬
‪8.Japan‬
‪7.Switzerland‬
‪6.China‬
‪5.Urusi‬
‪4.France‬
‪3.Italy‬
‪2.Ujerumani‬
‪1.Marekani‬

Afrika tunafeli wapi, ukizingatia hizo dhahabu zinatoka afrika kwa kiasi kikubwaView attachment 1007689View attachment 1007690

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Tuwekee in details kila. Nchi hapo inamiliki kiasi gani cha dhahabu kwenye stock yake..
Uingereza na Urusi hawapo kwenye list ila ni nchi zenye stok kubwa ya dhahabu duniani
 
Capture 1.PNG
+
 
Back
Top Bottom