Wanapenda kuvaa mwilini. Kwa hiyo wamevaa kiasi cha dhahabu chenye thamani hiyofafanua kidogo
mkuu
Kama unavyojua wanawake wa kihindi kila wanapopata hela kidogo, wananunua dhahabu na kujiwekea kama akiba maana dhahabu inapanda bei kila wakatifafanua kidogo mkuu
Namaanisha leo hii kila mwenye nayo aipeleke sokoni, halafu mtu anaweza kuishi bila dhahabu, lakini lazima uishi juu ya ardhi"Kila mtu akisema anauza" anaitoa wapi? upatikanaji wa dhahabu ni sawa na aridhi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Namaanisha kila mwenye nayo aipeleke sokoni kwa mkupuo, pia unaweza kuishi bila dhahabu, ila ni lazima uishi juu ya ardhiKila mtu akisema aiuze? Kila mtu anayo? Unaongea as if wananchi wanayo dhahabu nyumbani kwao wanasubilia ipande bei waiuze! Kuwa serious kidogo basi.
Ila unajua nini kaka, naona hauko sahihi ila sina jibu hasa la kiufundi au kitaaluma la kukujibu. Natamani atokee mtu akupe jibu sahihi. Maana dah!!! Unajua dhahabu ni fedha, yani unaweza kutumia dhahabu kubadilisha na kitu kwa mfano, unaweza badilishana dhahabu kwa mkate, au unga na maharage. Ardhi pia unaweza ukafanyia hivyo lakini haina mantiki. Sijui kidogo tumeelewana hapo?Tatizo mmekuwa brainwashed sana juu ya dhahabu, ila think out of the box, dhahabu kama kila mtu akisema anauza kwa mkupuo basi bei inaweza ikashuka ikawa sawa na kilo ya mchele, lakini Ardhi haina cha unaitaka au huitaki, ni lazima uishi juu ya ardhi, iwe kwa kununua au kukodisha, haina namna, and yes, and no, i am extraordinary (not normal)
Kama mzunguko wa hela ni mdogo kama sasaIla unajua nini kaka, naona hauko sahihi ila sina jibu hasa la kiufundi au kitaaluma la kukujibu. Natamani atokee mtu akupe jibu sahihi. Maana dah!!! Unajua dhahabu ni fedha, yani unaweza kutumia dhahabu kubadilisha na kitu kwa mfano, unaweza badilishana dhahabu kwa mkate, au unga na maharage. Ardhi pia unaweza ukafanyia hivyo lakini haina mantiki. Sijui kidogo tumeelewana hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Assume mimi na wewe tuko peke yetu jangwani, wewe una dhahabu na mimi nina mkate huo unaosema, hivi mimi kwa akil zangu nikupe kabisa mkate kwa kipande cha dhahabu, nimerogwa?Ila unajua nini kaka, naona hauko sahihi ila sina jibu hasa la kiufundi au kitaaluma la kukujibu. Natamani atokee mtu akupe jibu sahihi. Maana dah!!! Unajua dhahabu ni fedha, yani unaweza kutumia dhahabu kubadilisha na kitu kwa mfano, unaweza badilishana dhahabu kwa mkate, au unga na maharage. Ardhi pia unaweza ukafanyia hivyo lakini haina mantiki. Sijui kidogo tumeelewana hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtazamo upo sahihi lkn ki uharisia upo wrongNamaanisha kila mwenye nayo aipeleke sokoni kwa mkupuo, pia unaweza kuishi bila dhahabu, ila ni lazima uishi juu ya ardhi
Hiyo mifano yako haina uhalisia, dhahabu ipo ki world wide.Assume mimi na wewe tuko peke yetu jangwani, wewe una dhahabu na mimi nina mkate huo unaosema, hivi mimi kwa akil zangu nikupe kabisa mkate kwa kipande cha dhahabu, nimerogwa?
Tuwekee in details kila. Nchi hapo inamiliki kiasi gani cha dhahabu kwenye stock yake..#UNAAMBIWA Haya ndio Mataifa yanayotajwa kuongoza Duniani kwa kuwa na Hifadhi kubwa ya Dhahabu;
10.India
9.Uholanzi
8.Japan
7.Switzerland
6.China
5.Urusi
4.France
3.Italy
2.Ujerumani
1.Marekani
Afrika tunafeli wapi, ukizingatia hizo dhahabu zinatoka afrika kwa kiasi kikubwaView attachment 1007689View attachment 1007690
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
I give up [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Assume mimi na wewe tuko peke yetu jangwani, wewe una dhahabu na mimi nina mkate huo unaosema, hivi mimi kwa akil zangu nikupe kabisa mkate kwa kipande cha dhahabu, nimerogwa?
IMF nayo ni inchi mkuu??