Mataifa kumi Afrika yenye barabara bora, nchi yako kama haiko koma ubishi

Mataifa kumi Afrika yenye barabara bora, nchi yako kama haiko koma ubishi

Pesa ya kujenga daraja moja tu la Kigamboni inatosha kujenga bara bara zote za nchi ya Rwanda na chenji ikabaki!
Acheni kufananisha Tz a vast country with some other tiny countries such as Kenya! Tanzania by size is nearly twice the size of Kenya!

Cha kushangaza, Kenya ni nchi ndogo ukilinganisha na Tanzania lakini inaizidi Tanzania kwa urefu, mtandao na ubora wa barabara.
 
Hahaha sio mimi
Screenshot_2019-08-15-10-45-45.png
 
Mapicha mapicha na video sio kigezo, hapa tunazungumza kuhusu taarifa ya kitaalam iliyofanywa kwenye mataifa yote duniani. Hata mimi naweza nikapiga mapicha ya Kenya na kuyaweka huku ila haitaashiria uhalisia. Kuna siku tulwafunika humu kwa picha za barabara za Kenya hadi mkatoweka.
 
Nani huyo mumshinde?
Hiyo research ilifanyika 2004, una habari kwamba barabara nyingi za Tanzania zimejengwa 2013 - 2019? Kwa ufupi saivi tu kuna zaidi ya kilometres 4000 zipo under construction nchi nzima, hii old report inakuwaje valid hapo?

After all wanaozisifia barabara za Tanzania na kuzilaumu za Kenya ni Wakenya wenzenu sisi Watanzania tunareport tu hapa ila ninyi ndio vinara wa kutumwagia misifa sasa sisi tufanyaje?, 😅😅😅😅
 
Huyo jamaa alishawahi kusema hatokaa aongee mazuri ya Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23] Msamehe bure tu maana sio kupenda kwake

After all wanaozisifia barabara za Tanzania na kuzilaumu za Kenya ni Wakenya wenzenu sisi Watanzania tunareport tu hapa ila ninyi ndio vinara wa kutumwagia misifa sasa sisi tufanyaje?, [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nani huyo mumshinde?
Hiyo research ilifanyika 2004, una habari kwamba barabara nyingi za Tanzania zimejengwa 2013 - 2019? Kwa ufupi saivi tu kuna zaidi ya kilometres 4000 zipo under construction nchi nzima, hii old report inakuwaje valid hapo?

After all wanaozisifia barabara za Tanzania na kuzilaumu za Kenya ni Wakenya wenzenu sisi Watanzania tunareport tu hapa ila ninyi ndio vinara wa kutumwagia misifa sasa sisi tufanyaje?, 😅😅😅😅

Research ya 2018, itawachukua muda mrefu sana kufikia level yetu kwa mlivyo wavivu

Quality of roads, 1(low) - 7(high), 2018
(points, Source: World Economic Forum, TheGlobalEconomy.com)
 
Tanzania ni nchi kubwa sana (ukichukua Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda) bado hufikii size ya Tanzania. Hivyo hatutarajii kuwa na barabara nzuri kama wenzetu kwa sasa.

Facts
tanzania ina ukubwa wa 945,087Sq. Km
wakati Kenya 580,336Sq. Km,
Uganda 241,037 sq.km
Burundi 27,834Sq.Km na
Rwanda 26,338Sq.Km

Ukijumlisha wote unapata 875,545 sq.km

Hivyo bado zinabakia 69,542sq. Km sawa na Mbuga yote ya Selou, na mkoa wa Kilimanjaro

Ukiiangalia Rwanda Ukichukua Mkoa wa Kilimanjaro 13,250Sq. Km ukilinganisha Mkoa utaibuka kidedea kwa mbali sana

kuna wakati watu walinganishe Mbuzi na mbuzi au kondoo na kondoo sio Kondoo na Mbwa hata kama wote wanaweza kuwa chakula
 
Endelea na statistic uchwara [emoji23][emoji23][emoji23]

Research ya 2018, itawachukua muda mrefu sana kufikia level yetu kwa mlivyo wavivu

Quality of roads, 1(low) - 7(high), 2018
(points, Source: World Economic Forum, TheGlobalEconomy.com)
 
Poleni ila MUST READ
Misbehaving in Dar es Salaam: A Kenyan journalist’s experience in Tanzania
Last week, I took a trip from my work routine at Pulse Live Kenya to cool off in Tanzania.

A close friend has been working as an expatriate in Dar es Salaam for a couple of months and we decided to surprise him with a visit as we took time to recharge from our respective work stations.

It was meant to be a week of what we call boys being boys, exporting our Nairobi “misbehavior” to a foreign city.

The trip turned up just fine but it also offered many points of reflection, some of which I wish to share with Kenyans.

Growing up in Kenya, I would occasionally hear of the low opinion Kenyans had towards their southern neighbor.

Public infrastructure

“A Tanzanian coming to Nairobi is more excited than a Kenyan visiting London,” I would hear.

It was therefore a surprise that Tanzania has much better quality of roads than Kenya.

The Nairobi Namanga highway is perhaps one of the best roads in Kenya but it does not match the quality that has been put up on the Tanzania side (Namanga to Arusha).

The two roads are just as smooth but unlike Kenya, the Tanzanian side is well marked with appropriate headlight illuminated markings.

A file photo of Kigamboni Bridge one of the major infrastructure development projects in Dar es Salaam

Beyond Arusha, we moved further south to Moshi, to Lushoto, and eventually to Dar es Salaam – with the same experience of smooth, well-marked roads with very bumps.

While moving from Dar, we decided to use a different route via Bagamoyo and Tanga, and entered Kenya via the Lunga Lunga.

In all the nearly 1500 kilometres of highways in Tanzania, we had not witnessed a single pothole and not even a minor road accident.

The return to Kenya was a painful reminder of the numerous potholes that dot our roads but also something we had not yet put a finger on.

Roads in Kenya are very rough and rugged even when they are fully tarmacked – mainly because corrupt officials allow overloaded trucks to the detriment of the roads and safety of road users.

The highlight, for me, was the Bus Rapid Transit (BRT) system in Dar es Salaam, popularly known as Mwendo wa Kasi.

Unlike the shoddy planning of BRT in Kenya, the Tanzanian one has picked up well and has well-designed and dedicated lane which other motorists cannot join - complete with several termini that connects the suburbs to the CBD.

The BRT project in Dar es Salaam makes a joke of the red line that was introduced here in Kenya
The BRT project in Dar es Salaam makes a joke of the red line that was introduced here in Kenya
Social Values

Beyond the infrastructure, perhaps the greatest lesson was on the Tanzanian shared national culture.

While heading out of Bagamoyo towards Tanga, our bus stopped for passengers to buy provisions but left before a hawker could refund Tsh6000 (about Ksh300) change.

As we relayed our sorries to the affected passengers, we noticed the hawker atop a boda boda, signaling for our attention.

The boda boda overtook us and proceeded to wait for our bus at the next weigh bridge (yes even buses are subjected to a weight check!). He returned the change minus the boda boda fare – much to the shock of my friend and I who were sure the man had closed his kiosk early!

Of course, it was a non-event to the Tanzanians who have inculcated a culture of high integrity in all the spheres of their life.

In the streets, we observed all motorists were stopping at a zebra-crossing even when there was no pedestrian crossing, and stopping at every red light even when the road was clear.

Unlike in Kenya where the sight of an emaciated drunkard has become normal, there was none in Tanzania.

This is perhaps because most Tanzanians are able to afford quality beer – a bottle goes for as low as Sh70 compared to Kenya where government taxation have pushed beer prices to between Sh160 and Sh300.

There is also Konyagi - the Tanzanian national drink that is manufactured through hygienic production of what is referred to as chang’aa in Kenya.

Quality of life

In terms of private-sector infrastructure, Kenya is far ahead of Tanzania.

There are little or no maisonettes in their city estates, their malls are a far cry from what we have here in Kenya – the Garden Citys and Two Rivers of this world.

However, I realized that there is a very small gap between the rich and the poor. If you ask me, there is little that a man in Kibera benefits from the Hub Mall in Karen – or in the big mansions that surround his ramshackle.

There are poor people in Tanzania but their relative quality in life is much better than their Kenyan counterparts.

Most f the rural folk have access to electricity and although there are slums in Dar es Salaam – they are significantly less populated than what we have here in Nairobi.

Tanzania has invested in its people’s healthcare and I observed several public hospitals in my safari – most admirable being the Ocean Road Cancer Institute – next to State House Dar es Salaam.

I was pleasantly surprised to learn that Cancer patients in Tanzania have a right to be treated for free, once they are diagnosed.

I hope Kenya will rise up to the challenge and take up its leadership role in the region, not just in enabling the private sector, but also uplifting citizen welfare by investing in the soft elements of public well-being. ipo siku mtafikia level ya kutajwa wanapotajwa wengine.
 
Huyo jamaa alishawahi kusema hatokaa aongee mazuri ya Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23] Msamehe bure tu maana sio kupenda kwake
HALAFU jamaa ufisadi ndio unawafanya wapate barabara mbovu, check huu ufisadi mpya kwenye barabara mpaka Wamarekani wameshtuka.

HALAFU pesa zote hizo zinapelekwa kwenye route ambayo tayari ina SGR, then hapo unaona hawa jamaa sijui wanatumia nini kufikiria

SGR imewafanya bankrupted bado wanapeleka very expensive road project on the same place na yenyewe highly expensive
 
Hizi takwimu zimefanywa kitaalam, sio kwa ajili ya Kenya tu, Singapore ndio inaongoza duniani.
Hapa EAC Rwanda inaongoza, dah hongera sana Kagame, ungepewa nchi kubwa yenye raslimali tungekukoma.

1. Namibia
2. South Africa
3. Rwanda
4. Cote d'Ivoire
5. Mauritius
6. Morocco
7. Kenya
8. Botswana
9. Cape Verde
10. Senegal
Takwimu zingine uwe na weww unafanya utafiti pia....

Visit rwanda hata mitandaoni utagundua....

Nchi nzima urefu wa bara bara ukiziunganisha hazifiki hata 1000miles. Na zimetengenezwa kwa kiwango cha chini kabisa kuanzia technolojia hadi mwonekano...

Hizi takwimu zinapikwa tu kuweka mambo sawa.

Tuje kenya.

Nitajie road zipi zilichunguzwa kuhusu uo utafiti....

Road zoote kuu ni za kifala.
Nairobi, eldoret, kisumu to busia... Road mbovu..

Nairobi, mombasa to horohoro hakuna kitu.
Nairobi to namanga... Pumba.

Lift valley ndio vumbi kabisaa...

Fanyia evaluation hizi vitu kabla haujapest.. Watu watakuchukulia hauna akili vizuur kumbe ni ushabiki tu
 
Research ya 2018, itawachukua muda mrefu sana kufikia level yetu kwa mlivyo wavivu

Quality of roads, 1(low) - 7(high), 2018
(points, Source: World Economic Forum, TheGlobalEconomy.com)
Me naomba unipe tafsiri ya hili

Sasa kulikuwa na ulazima gani wa SGR Mombasa to Nairobi? Two massive loans in one course.?

Naomba maelezo tafadhali.
 
Punguza hasira bro...iko siku mtafika tu n nyinyi..manake sio kw povu hili

Hahahaaaaaaaaaaa,kuwa na barabara nzuri huku tukifukua makaburi ya marehemu???.

Bora tuanze kwa kustaarabika kwanza vitu vizuri vitakuja tu baadae bila ya kuforce ili image ya nje ionekane mko vizuri kumbe siri ya mtungi aijuae ni...
 
Duuh ila hawa majirani zetu nao
Dada ni huu uzi hapa chini ndo umempa mawenge [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Me naomba unipe tafsiri ya hili

Sasa kulikuwa na ulazima gani wa SGR Mombasa to Nairobi? Two massive loans in one course.?

Naomba maelezo tafadhali.
hata yeye jibu hana ni viuno tu anakatika.
 
Hahahaha dah asee

Back
Top Bottom