mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Maji maji rebellion is a good example.The "west" turn to science and techology to solve their problems, Africa turns to prayers and witchcraft to solve her problems.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji maji rebellion is a good example.The "west" turn to science and techology to solve their problems, Africa turns to prayers and witchcraft to solve her problems.
Nakwambia Kila siku wewe ni Low IQ. Wacha kutumia kichwa Kama kabati ya meno.Kipimo muhimu kuliko vyote katika kupambana na kuenea kwa Corona na Ebola ni "Temperature screening", kipimo cha kupima virusi ni mpaka mtu aonyeshe dalili ndio vipimo vya damu vinachukuliwa kwa ajili ya kufanya "Confirmatory test", wakati huo mgonjwa ameshatengwa na jamii kusubiri matokeo ya vipimo vyake.
Kwa kifupi ni kwamba, kipimo cha joto ndio "Primary test yenye uwezo wa kukinga zaidi ya 80% ya maambukizi katika nchi, wakati laboratory test ni muhimu tu pale mtu abapoonyesha dalili au kama kuna wasiwasi ya huyo mtu kwamba anauwezekano wa kuwa na Corona, na wakati kikifanywa, huyo mtu lazima atengwe akisubiri majibu yake.
Muhimu ni nchi kuimarisha uwezo wake katika "Screening" sio katika laboratory testing", hiyo haisaidii katika kupambana na maambukizi ya Corona, pamoja na uwezo mkubwa wa kuweza kupima Virusi, lakini bado US na Europe wameamua kuzuia wasafiri kwenda ktk nchi zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi uwezo wenu ni mdogo sana, hakuna mtu anayefanyiwa "testing" bila kuwa na dalili za Corona infection", kumbuka hiyo testing haipimi kuwepo kwa virusi mwilini, bali inapima "antibodies", hivyo kama mtu hajaonyesha dalili yoyote ya maambukizi, hata hizo antibodies pia haziwezi kuonekana, Kwahiyo utapata " false negative".Hii ndio nimejaribu kuwaelimisha ila walivo hovyoo kuelewa hata vitu vidogo ni shida.
Ulimsuhudia wapi mkuuNimeshuhudia mgonjwa wa corona virus, inashambulia mapafu, mgonjwa anakosa hewa. Ni ugonjwa mbaya sana.
Hakuna nchi ambayo airport wanakupima Corona, nchi zote ni temperature screening tu,hata kwa nchi ambazo wana mandatory quarantine pia hazimpimi kila mtu ila ni yule anaye onyesha dalili au yule aliyekuwa na contact na muathirika.
Umeeleza vizuri sana, na kwa kuongezea, kuna watu inawachukua muda sana kabla kuonyesha dalili, ikitokea hujamfanya quarantine kisa hujaona joto, atapita na kuwaambukiza wengi huko nje.
Kwahiyo unashauri wakenya na wanyarwanda wasiruhusiwe kuingia Tanzania?Umeeleza vizuri sana, na kwa kuongezea, kuna watu inawachukua muda sana kabla kuonyesha dalili, ikitokea hujamfanya quarantine kisa hujaona joto, atapita na kuwaambukiza wengi huko nje.
Hamuna jeuri ya kusitisha safari yoyote kwa mlivyo maskini mnategemea sana visenti vya wageni.Serikal isitishe safari zote za Kenya Airways; hawa nyang'au tayari wameshakwaa virusi vya corona.
Hamuna jeuri ya kusitisha safari yoyote kwa mlivyo maskini mnategemea sana visenti vya wageni.
Nimesoma sehemu kirusi kimetua kwenu kutoka Ubelgiji, niliwashauri mfunge ila mkasema mna vipima joto hivyo mpo salama.
Ulimshauri nani? Unadhani kuna wa kusikiliza huo ushauri wako kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mkenya huna lolote. Kila siku kuranda randa kwenye hili jukawaa na vijistori vyako visivyo na mbele wala nyuma. Unafikiri utamtisha nani?Hamuna jeuri ya kusitisha safari yoyote kwa mlivyo maskini mnategemea sana visenti vya wageni.
Nimesoma sehemu kirusi kimetua kwenu kutoka Ubelgiji, niliwashauri mfunge ila mkasema mna vipima joto hivyo mpo salama.
Ukiona uzi umeanzishwa na jamaa jua unahusu kenya