Wewe mkenya huna lolote. Kila siku kuranda randa kwenye hili jukawaa na vijistori vyako visivyo na mbele wala nyuma. Unafikiri utamtisha nani?
Acha kuweweseka wewe nyang'au. Tulia, hakuna mtu anayekupapatikia na huu upuuzi wako. Unaelewa?Hivi mbona huwa unalialia Mkenya akiitaja Tanzania, ilhali wewe hukesha humu ukituambia mambo ya sijui akina Ole Sakina na Kenya, mkuki kwa binadamu mchungu ila kwa nguruwe mtamu.
Hawa watanzania wana za ovyo sana,when kq plane was diverted to KIA coz of visibility wameongea shit sana kuhusu Kenyans,kumbe ni mwenzao amewaletea corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatambuaje kwamba huyu alikuwa na contact ?Hakuna nchi ambayo airport wanakupima Corona, nchi zote ni temperature screening tu,hata kwa nchi ambazo wana mandatory quarantine pia hazimpimi kila mtu ila ni yule anaye onyesha dalili au yule aliyekuwa na contact na muathirika.
Unatutia aibu kilaza weweWewe mkenya huna lolote. Kila siku kuranda randa kwenye hili jukawaa na vijistori vyako visivyo na mbele wala nyuma. Unafikiri utamtisha nani?
Ha ha ha, unafikiri ninajali? Endelea tu kujikomba komba kwa manyang'au. Sina shida na hilo.Unatutia aibu kilaza wewe
bongo ni sheedah .[emoji23]...uharo wa corona pamoja na lile li ebola lao, ongeza joyo la dar!!sipati licha mazeee, poleni waswahiliii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mbona huwa unalialia Mkenya akiitaja Tanzania, ilhali wewe hukesha humu ukituambia mambo ya sijui akina Ole Sakina na Kenya, mkuki kwa binadamu mchungu ila kwa nguruwe mtamu.
Sasa hapo muathirika ndio atahojiwa watu wote ambao alikutana nao kwa siku chache zilizopita, hao ndio ndio contact yake inabidi wawekwe isolation pia.Unatambuaje kwamba huyu alikuwa na contact ?
Sio namaanisha, ndivyo inafanywa na baadhi ya mataifa, kila mgeni unakua quarantined kwa siku kadhaa hadi itokee kabisa huna dalili zozote.
Kuna nchi zimefunga. Total lockdown, hamna cha quarantine wala kupima, haingii mtu wala kutoka. Na hizo ni zile ambazo hamna mgonjwa aliyegundulika miongoni mwao, ili kubaki wasafi, wamefunga vyote.
Hivi unajuaa kwamba kwenye huduma za afya ukiacha afrika kusini Tanzania tuko vizuri ndo maana hatukuhitaji msaada wa nchi yoyote kumtambua mgonjwa wa corona na anaendelea vizuri means huduma zetu za afya ziko vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Parokiani kwetu maji ya baraka milangoni yaliondolewa na padre hakusema tupeane amani wakati wa ibada ya misa ya Jumapili!!Ijumaa tutakesha kwenye maombi kwa sisi wakatoliki na itakuwa ni historia corona itakuwa umepotea, hatutegemei tena vifaa wala madaktari tumeamua kumkabidhi yesu kristo atupiganie karibu kwenye maombi tumsifu yesu kristo
Hawawezi kuleta Tanzania, wanaona wivu kuona tunawazidi katika kila eneo, watawaambia nini wakenya ambao kila siku wanawadanganya kuwaonyesha kwamba Kenya ipo mbele hapa EA.Sisi Kunyaland tunapeleka sample zetu Sout Africa
Na mbona tusipeleke Tanzania?
CC: Teargass Nicxie mwaswast Zigi Rizla sevenup Depay komora096 pingli-nywee Matrixx
jana walileta ndege yao KIAHawawezi kuleta Tanzania, wanaona wivu kuona tunawazidi katika kila eneo, watawaambia nini wakenya ambao kila siku wanawadanganya kuwaonyesha kwamba Kenya ipo mbele hapa EA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi uwezo wenu ni mdogo sana, hakuna mtu anayefanyiwa "testing" bila kuwa na dalili za Corona infection", kumbuka hiyo testing haipimi kuwepo kwa virusi mwilini, bali inapima "antibodies", hivyo kama mtu hajaonyesha dalili yoyote ya maambukizi, hata hizo antibodies pia haziwezi kuonekana, Kwahiyo utapata " false negative".
Hivi mnadhani kwanini GoK iliwaachia wale wachina waingie nchini lakini wajiweke wenyewe chini ya karantini majumbani mwao kwa siku 14?, kwanini wasingewapima moja kwa moja maabara na kujua kama wana virusi au hapana?
Hii mada inahitaji elimu ya "Microbiology&Virology", sasa msilazimishe kuchangia mada ambazo ni nje ya uwezo wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app