Mataifa majirani wa Kenya wana njaa zaidi yetu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Shirika la kupima masuala ya njaa na uwezo wa nchi kulisha watu wake (Global Hunger Index) wametoa orodha ya janga la njaa duniani.
Kwa wenye elimu wataelewa hii haipimi mambo ya kiangazi, bali uwezo wa nchi kulisha watu wake. Kwamba hata kwa kiangazi, nchi inaweza kushughulikia kwa kununua chakula na kuhakikisha watu wake wana shibe.

Kenya pamoja na kwamba nusu ya nchi yetu ni kame tupu, kwamba tuna eneo ndogo sana la kulima, lakini tumejituma na kuhakikisha watu wetu hawateseki sana. Kuna matukio madogo madogo ambapo chakula cha misaada kinachelewa kuwafikia wahanga ambapo wanaishia aidha kula vitu vya ajabu, lakini tunajaribu sana.

Hivi majuzi serikali imeachia Ksh 5b kwa ajili ya kiangazi kinachotukumbuka.

Kwa majirani wa Kenya, Ethiopia ndio inaoongoza kwa njaa kali ikifuatiwa kwa karibu na Tanzania. Hii hapa orodha 2016 Global Hunger Index

Kenya - 21.9
Uganda - 26.4
Rwanda - 27.4
Tanzania - 28.4
Ethiopia - 33.4
 
Mkuu hiyo ni hatari kwa nchi zote, mmoja wapo wa hizo nchi anapokua na janga hatupo salama.
Mnaweza kuwa na mikakati bora na pesa, ununuzi unaweza ukawa mgumu kama chakula hakipatikani kwa jirani, mchakato utakua mrefu na gharama kubwa. Nafikiri hili ni jambo linalohitaji kuangaliwa kwa ukaribu na sio kujivunia kwamba Nchi moja wako vizuri...
 
Hapa ndo huwa naamini namba nazo hukosea tz hakuna njaa aisee we eat what we want at a time we need karibu cassava, na uji wa mchele mkuu
 
Ndio maanake utafiti kama huu unafanyika, ili kubaini hali ya njaa duniani na mikakati kufanyika. Bila tafiti kama hizi tutakaa tukijidanganya kwamba majirani zetu wana chakula kingi, hivyo tubweteke halafu wakati chetu kinaisha tunapothubutu kununua tunakatazwa ghafla, kumbe na wao wana njaa hatari.

Tatizo ni pale mataifa kwa kiburi yanaanza kubishia taarifa na tafiti kama hizi ambazo zinafanywa kwa kuzingatia sayansi ya hali ya juu. Watu wanafikiria haya ni mahesabu ya mama nitilie wakati anauza ubwabwa.
 
Shirika la kupima masuala ya njaa na uwezo wa nchi kulisha watu wake (Global Hunger Index) wametoa orodha ya janga la njaa duniani.
Kwa wenye elimu wataelewa hii haipimi mambo ya kiangazi, bali uwezo wa nchi kulisha watu wake. Kwamba hata kwa kiangazi, nchi inaweza kushughulikia kwa kununua chakula na kuhakikisha watu wake wana shibe.

Kenya pamoja na kwamba nusu ya nchi yetu ni kame tupu, kwamba tuna eneo ndogo sana la kulima, lakini tumejituma na kuhakikisha watu wetu hawateseki sana. Kuna matukio madogo madogo ambapo chakula cha misaada kinachelewa kuwafikia wahanga ambapo wanaishia aidha kula vitu vya ajabu, lakini tunajaribu sana.

Hivi majuzi serikali imeachia Ksh 5b kwa ajili ya kiangazi kinachotukumbuka.

Kwa majirani wa Kenya, Ethiopia ndio inaoongoza kwa njaa kali ikifuatiwa kwa karibu na Tanzania. Hii hapa orodha 2016 Global Hunger Index

Kenya - 21.9
Uganda - 26.4
Rwanda - 27.4
Tanzania - 28.4
Ethiopia - 33.4
wa-KE bana!
 
Tutakutafutika binti ya kizaromo akupikie mahanjumani ndiyo ujue TZ vizuri MK254

Hehehehe!!! Sky Eclat Hao hawawazidi akina Fatuma na Halima wa pale Unguja, Zanzibar nimekua pale na kuandaliwa Urojo, nusra nikwame huko na kuisahau Kenya yangu. Yaani nilinogewa kwa jinsi walinitunza hadi nikahisi niombe uraia wa Zanzibar.
 
Nakaribisha picha za hali halisi ya njaa Kenya. Maana naona u-Jubilee umeingia mpaka kwenye taasisi ya global hunger index. Yaani nchi Kenya tunayoilisha yenye watu zaidi ya milioni wanakabiliwa na njaa iwe na percent ndogo kuliko donor wake Tanzania?
 
Hapa ndo huwa naamini namba nazo hukosea tz hakuna njaa aisee we eat what we want at a time we need karibu cassava, na uji wa mchele mkuu

Ndio hapo kiongozi, mahesabu yanafanywa kisayansi, sio mihemko ya kijiweni. Wewe hapo unabahatika kupata ubwabwa kutoka kwa mama nitilie hadi unawasahau Watanzania wengine nchi yote.
Ni muhimu kwa taifa kuwa na uwezo wa kulisha watu wake, iwe kwa kununua chakula au vinginevyo. Sisi Kenya tuna kiangazi hadi mifugo wanakufa, kuna maeneo jua limepiga kwa muda mrefu bila mvua, hali imekaa kihatari hatari, lakini pamoja na hayo, serikali inajizatiti kuwafikishia lishe. Kuna matatizo madogo madogo ya usaidizi kuchelewa kuwafikishia, lakini hatimaye inawafikia.
 
Shirika la kupima masuala ya njaa na uwezo wa nchi kulisha watu wake (Global Hunger Index) wametoa orodha ya janga la njaa duniani.
Kwa wenye elimu wataelewa hii haipimi mambo ya kiangazi, bali uwezo wa nchi kulisha watu wake. Kwamba hata kwa kiangazi, nchi inaweza kushughulikia kwa kununua chakula na kuhakikisha watu wake wana shibe.

Kenya pamoja na kwamba nusu ya nchi yetu ni kame tupu, kwamba tuna eneo ndogo sana la kulima, lakini tumejituma na kuhakikisha watu wetu hawateseki sana. Kuna matukio madogo madogo ambapo chakula cha misaada kinachelewa kuwafikia wahanga ambapo wanaishia aidha kula vitu vya ajabu, lakini tunajaribu sana.

Hivi majuzi serikali imeachia Ksh 5b kwa ajili ya kiangazi kinachotukumbuka.

Kwa majirani wa Kenya, Ethiopia ndio inaoongoza kwa njaa kali ikifuatiwa kwa karibu na Tanzania. Hii hapa orodha 2016 Global Hunger Index

Kenya - 21.9
Uganda - 26.4
Rwanda - 27.4
Tanzania - 28.4
Ethiopia - 33.4
Annael na bagamoyo na geza kumbe mko njaa tu mnasema kenya tuna njaa ilhali nyie ndio mnakufa njaa.....

bagamoyo mbona ukaleta habari nusu???
 
Kumbe wakenya ndio wanashiba kuliko wengine wote EA na mitanzania na propaganda yao kumbe njaa tu....naskia Dar kwa vibanda utaweza kununua Intestines za kuku na Virenge-tule tumguu!!!...ni ukweli ????[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] why would i eat that??? [emoji55]
 
Nakaribisha picha za hali halisi ya njaa Kenya. Maana naona u-Jubilee umeingia mpaka kwenye taasisi ya global hunger index. Yaani nchi Kenya tunayoilisha yenye watu zaidi ya milioni wanakabiliwa na njaa iwe na percent ndogo kuliko donor wake Tanzania?
Hamletangi picha mpya mnaleta picha ya 2005 ....

Secondly Kenya media laws ni different na TZ mtajua kila kitu kuihusu kenya lakini hatuna chochote kuwa husu kumbe mnalala njaa tu!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe majirani njaa inawamaliza tu hamwongei mnapewa propaganda na CCM et kenya kuna njaa...

Nlisema out of JF kuna a real world mahali tanzania na kenya zina julikana

Na Tanzania haiko karibu na kenya hata kwa chochote

Kenya ni nusu ya tanzanoa kwa ukubwa na kenya ni 86% dry and desert lakini
1477904644701.png
1477904648206.png
1477904651156.png

Hahaha bagamoyo wewe ndie ulileta hii topic asubuhi kwa thread nyingine

Njoo sasa utuambie how kenya is ranked among 50 most hungry Nations Na TZ mpo pabaya kutuliko....hakuna urahisi wa kupata information TZ ndio maana mnaweka TV on mnaona wakenya wanakufa njaa....ilhali Tanzania mko worse ni venye media zenu hazina pesa ya kuzunguka nchi hyo kubwa na kuwapa taarifa ya vitu vilivyo mashinani ....njaa na umaskini.....
 
Sammuel999, mnalinganishwa na Iraq ati!

Kenya ranks among 50 hungriest countries in new global food index
Monday October 31 2016

email print

cow.jpg

A livestock owner assisted to remove a cow stuck in a drying swamp in Bandari village at the Coast. PHOTO | FILE

In Summary
  • Nairobi marginally ahead of conflict-prone Iraq among nations whose citizens are on the brink of starvation.
Advertisement

By BRIAN NGUGI
As parts of the country grapple with famine a new report has ranked Kenya as among the worst nations in feeding its citizens.

Published last week, the Global Hunger Index (GHI), a report from Welthungerhilfe, the International Food Policy Research Institute and Concern Worldwide, shows that Kenya has serious levels of hunger, even as malnutrition is declining around the world.

With a score of 21.9 in Global Hunger Index, Kenya is ranked among the top 50 countries failing to provide their people with enough food.

Kenya is ranked marginally ahead of conflict-prone Iraq which has a score of 22 and is outpaced by Egypt with a score of 13.7 which has in recent years been faced by conflict.

The level of hunger globally is still high despite the progress made since 2000, says the report.

It shows that hunger in developing countries has dropped by 29 per cent since the year 2000, but there are still at least 800 million people worldwide who do not have enough food.

“Ending global hunger is certainly possible, but it’s up to all of us that we set the priorities right to ensure that governments, the private sector and civil society devote the time and resources necessary to meet this important goal,” said Shenggen Fan, director-general of the International Food Policy Research Institute (IFPRI), who calculated the scores.

The report shows that progress in the fight against hunger was unstable and uneven, with some regions improving at a faster rate than others.
It highlights that 20 countries, including Rwanda, Cambodia, and Myanmar, had a strong reduction in their hunger levels, in part due to stabilisation following conflicts.

However, 50 countries still had alarming hunger levels, with places such as the Central African Republic having shown scarce progress.

The IFPRI’s aim is to eradicate world hunger by 2030, an initiative that is being worked on by many NGOs across the globe.

“We have the technology, knowledge and resources to achieve that vision. What is missing is both the urgency and the political will to turn commitments into action,” says Dominic MacSorley, chief executive, Concern Worldwide , an NGO that works with the IFPRI.

The GHI looks at four parameters to calculate its figures: the proportion of the population that is undernourished, the number of children suffering from wasting (low weight for their age), the number of children suffering from stunting (low height for their age) as well as the mortality rate for children under five.

The report corroborates recent reports which show many Kenyans face starvation for lack of food. Drought in various parts of the country has left hundreds of thousands of people on the brink of starvation.

READ: Kenya close to ending drought crises, says scientist

Locals in affected areas have called for the government to do more as residents have been forced to move to other counties in search of food.

About 1.3 million Kenyans are facing famine following inadequate rains this year, the government has said recently. “There is a water shortage and increased risk of malnutrition.

As a result, 1.3 million people in Asal (arid and semi-arid lands) counties are in need of relief food,” Devolution and National Planning Cabinet secretary Mwangi Kiunjuri told a press conference at the Treasury.

According to a government situation report, all the 23 Asal counties are adversely affected. The most affected include four in the Coast region — Kilifi, Kwale, Tana River and Taita-Taveta. Others are Garissa, Wajir, Mandera, Isiolo, Marsabit, Makueni, Kitui and Samburu. Both Mr Kiunjuri and his Treasury counterpart Henry Rotich played down the alarm over the famine.

“There is no report of any Kenyan who has died of hunger. We would like to assure all Kenyans that the government is on top of the situation and will ensure that the necessary help reaches the most needy on time,” Mr Kiunjuri said.

The threat of famine has prompted the government to form a committee composed of officials from the National Treasury, Interior, Devolution, Health, Education, Agriculture, Environment and Water ministries.

Overall, the report says the world is getting better at addressing the issue of extreme poverty-driven hunger, which is usually understood to refer to the distress associated with lack of food.

The Food and Agriculture Organisation (FAO), a United Nations agency, defines food deprivation, or undernourishment, as the consumption of fewer than about 1,800 kilocalories a day — the minimum that most people require to live a healthy and productive life.
Undernutrition goes beyond calories and signifies deficiencies in any or all of the following: energy, protein, or essential vitamins and minerals.

Undernutrition is the result of inadequate intake of food in terms of either quantity or quality, poor utilisation of nutrients due to infections or other illnesses, or a combination of these factors.

These, in turn, are caused by a range of factors including household food insecurity, inadequate maternal health or childcare practices or inadequate access to health services, safe water, and sanitation.

Malnutrition refers more broadly to both undernutrition (problems of deficiencies) and overnutrition (problems of unbalanced diets, which include consuming too many calories in relation to energy requirements, with or without low intake of micronutrient-rich foods).

In the report, “hunger” refers to the index based on the four component indicators. Taken together, the component indicators (undernourishment, child stunting, child wasting, and child mortality) reflect deficiencies in calories as well as in micronutrients. Thus, the GHI reflects both aspects of hunger.

The report calls for more action to reduce hunger levels.

“Simply put, countries must accelerate the pace at which they are reducing hunger or we will fail to achieve the second Sustainable Development Goal [of ending global hunger by 2030],” said Shenggen Fan, the director general of IFPRI, which has been producing the index annually for the last 11 years.

Africa accounts for six of the worst 10 countries in the ranking this year, with three — Central African Republic, Chad and Zambia — coming in the last three places. Fifty countries have “serious” or “alarming” levels of hunger, and most of the seven countries with “alarming” scores are in sub-Saharan Africa.

Kenya ranks among 50 hungriest countries in new global food

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee,waltham, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Tanzania inaongoza kwa stunted growth (ambayo inasababishwa na mulnutrition), kama kweli mgekua na vyakula vya kutosha mngekua mnakua kawaida...
mkilitewa data mnasema mnataka picha... mara zengine mkiletewa picha mnasema mnataka data official..nyi watu mmjipaka mafuta mengi kwa mwili hamshikiki
 
Tou dont seem to get it ...mko inclusive kwa hyo list

Pili iraq Ni richer than TZ ina 93bn barrels reservs za mafuta

3 iraq military budget is 7bn$ Tanzanias entire budget is 10bn$
 
Mbona unakua kama kombamwiko...
hio ripoti imeandikwa from kenyan perspective, as usual media ya tz imelala... the same source ambayo data ya hio article imetolewa inasema tanzania iko worse than hizo kina iraq

2016 Global Hunger Index
 
Kumbe majirani njaa inawamaliza tu hamwongei mnapewa propaganda na CCM et kenya kuna njaa...

Nlisema out of JF kuna a real world mahali tanzania na kenya zina julikana

Na Tanzania haiko karibu na kenya hata kwa chochote

Kenya ni nusu ya tanzanoa kwa ukubwa na kenya ni 86% dry and desert lakini View attachment 427115View attachment 427116View attachment 427117

Hahaha bagamoyo wewe ndie ulileta hii topic asubuhi kwa thread nyingine

Njoo sasa utuambie how kenya is ranked among 50 most hungry Nations Na TZ mpo pabaya kutuliko....hakuna urahisi wa kupata information TZ ndio maana mnaweka TV on mnaona wakenya wanakufa njaa....ilhali Tanzania mko worse ni venye media zenu hazina pesa ya kuzunguka nchi hyo kubwa na kuwapa taarifa ya vitu vilivyo mashinani ....njaa na umaskini.....

Eti wanajisifia taarifa za kwamba Kenya ipo ndani ya nchi 50 zenye matatizo ya chakula, wanajisahau ndani ya hizo 50 wao wapo pabaya sana zaidi. Nafikiri bagamoyo wakati aliona hizo taarifa akaja mbio bila kuchukua muda kusoma orodha yote kwanza.
Kwamba kitakwimu Wakenya milioni 1 wakiwa na tatizo la njaa, inawiana na Watanzania milioni 7 wenye njaa.
 
Mbona unakua kama kombamwiko...
hio ripoti imeandikwa from kenyan perspective, as usual media ya tz imelala... the same source ambayo data ya hio article imetolewa inasema tanzania iko worse than hizo kina iraq

2016 Global Hunger Index
Ndio naambia hawa watu kenya ikitoa news wako haraka kushare lakini hata hawaoni mahala TZ iko hehehe Iraq and Nigeria Rank higher than TZ

TZ IS BELOW KENYA
1477906408676.png
1477906412154.png

Leo si siku yako geza Unaleta tu ripoti bila kuona mahali mpo kwanza!
 
Back
Top Bottom