game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Out of that small arable land of Kenya like u say, if u guys will cultivate only 0.5% of it effectively, trust me u will get rid of this Kenya's traditional enemy (Hunger)Ukubwa wa Tanzania itabidi uziunganishe Kenya, Rwanda na Uganda. Halafu Kenya nusu ni kame tupu wakati Tanzania kila sehemu rotuba, na ardhi kubwa ilhali uvivu wa kupitiliza maana kuna njaa zaidi ya Kenya kainchi kadogo.
Wacheni kubrag na hizi nonsense excuses.