Mataifa majirani wa Kenya wana njaa zaidi yetu

Mataifa majirani wa Kenya wana njaa zaidi yetu

Ukubwa wa Tanzania itabidi uziunganishe Kenya, Rwanda na Uganda. Halafu Kenya nusu ni kame tupu wakati Tanzania kila sehemu rotuba, na ardhi kubwa ilhali uvivu wa kupitiliza maana kuna njaa zaidi ya Kenya kainchi kadogo.
Out of that small arable land of Kenya like u say, if u guys will cultivate only 0.5% of it effectively, trust me u will get rid of this Kenya's traditional enemy (Hunger)
Wacheni kubrag na hizi nonsense excuses.
 
Kumbe majirani njaa inawamaliza tu hamwongei mnapewa propaganda na CCM et kenya kuna njaa...

Nlisema out of JF kuna a real world mahali tanzania na kenya zina julikana

Na Tanzania haiko karibu na kenya hata kwa chochote

Kenya ni nusu ya tanzanoa kwa ukubwa na kenya ni 86% dry and desert lakini View attachment 427115View attachment 427116View attachment 427117

Hahaha bagamoyo wewe ndie ulileta hii topic asubuhi kwa thread nyingine

Njoo sasa utuambie how kenya is ranked among 50 most hungry Nations Na TZ mpo pabaya kutuliko....hakuna urahisi wa kupata information TZ ndio maana mnaweka TV on mnaona wakenya wanakufa njaa....ilhali Tanzania mko worse ni venye media zenu hazina pesa ya kuzunguka nchi hyo kubwa na kuwapa taarifa ya vitu vilivyo mashinani ....njaa na umaskini.....
Mmnh tafiti hii mbona inaonesha Uganda wako juu ya Kenya na ile aliyoweka MK254 inaonesha Kenya ipo juu ya Uganda? Au nimesoma vibaya? Naomba kuelimishwa nadhani nitakuwa sijaelewa.
 
Hamletangi picha mpya mnaleta picha ya 2005 ....

Secondly Kenya media laws ni different na TZ mtajua kila kitu kuihusu kenya lakini hatuna chochote kuwa husu kumbe mnalala njaa tu!![emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo kubwa ya bongo ni ukosefu wa info, data na general research kwa fani nyingi mno. Afu media zao huwezi pata intelligent op ed articles ama discussion on topical issues, zimejaa ujuha tupu. Online presence za Taasisi zao pia duni. Unagonga mwamba kila unapotafuta info/data .
Nitaitafuta uzi moja hapa JF nimesahau wapi, ambapo wabongo walikuwa wanapinga kuzinduliwa bodi ya maziwa(sawa na kenya dairy board ) kisa halina maana. Ukisoma comments pale utashtukizwa na level ya ignorance, na utawachwa hoi. Ndo maana stori kama hizi wakijitokeza types kama geza kujadili mada unalenga tu
 
Jifunze tena, ni nani amekwambia TZ yote ni rutuba tupu? Unaijua Jiografia ya TZ wewe au unaongea tu? Sehemu kubwa sana ya TZ ni misitu minene na Nyika na ndiyo maana nchi yetu iliitwa Tanga- Nyika ambayo hailimiki, kwa mfano zaidi ya nusu nzima ya Mkoa wa Tabora ni misitu tupu, isitoshe nchi ya Kenya haina sababu yoyote ile ya 22% ya Wananchi wake kufa njaa kwa maana Kenya ina Rift valley ambayo ni one of the most fertile Regions in Afrika, hivyo kuwa Rift Valley halafu 22% ya Wananchi wake wanakwenda kulala bila ya kula ni scandalous, isitoshe Kenya ni middle income country hivyo ilipaswa iwe na uwezo wa kuwanunulia wananchi wake chakula hata kama hawawezi kulima, hivyo kwangu mimi kujivunia kwamba 22% ya wananchi wa Kenya wanalala bila ya kula, ni Ujinga mkubwa sana, na watu kama ninyi mnafaa muwe deported kwa nguvu na kupelekwa kuishi Uhamishoni kwani ni toxic hapa Afrika!

Kenya tunazo nyika pia, ila eneo kubwa ni kame tupu na haliwezi kulimwa bila ukulima wa unyunyizaji. Ni kainchi kadogo na nusu yake kame tupu. Tanzania nchi kubwa yenye kila eneo lenye rotuba, hamjalima maeneo mengi tatizo uvivu, sasa hadi mnakua nyuma ya Kenya kwa njaa.
 
Tunajisifia kwa kujaribu pakubwa kuhakikisha pamoja na kwamba kainchi ketu kadogo halafu kame, lakini likija suala la lishe tumezidi giants kama Tanzania yenye ardhi kubwa ambayo kila mahali ni rotuba.

Tumeizidi hata India ambayo ni industrialized na wana nishati ya nyuklia.

Nafikiri bado mada yako haijabadilika kuwa ni uwezo wa nchi kushughulikia matatizo ya njaa, kama ni hivyo, Tanzania haiwezi kuishinda Kenya kwa sasa, kwa sababu ambazo zinafahamika.

Lakini kama ni upatikanaji wa chakula, maeneo mengi Tanzania chakula kinaoza bila kutumika sababu ya utaratibu mbovu wa kuyauza.

Watu wajirejeshe kwenye maudhui ya uzi
 
Kenya hawawezi kutofautisha njaa ya kulala tumbo tupu na ukame, kwetu kunatokea ukame lakini siyo njaa ya kulala tumbo tu kama ripoti ya GHI ambayo jinsi ninavyojua takwimu zitakuwa zimetengenezwa jijini Nairobi, Kenya badala ya watafiti-takwimu kuja field Tanzania kujionea hali halisi !

Tumeona leo ziara ya Magufuli huko Kenya, mwandishi wa habari ''aliyebobea'' akisema Waziri wa mambo ya Nje wa Tanzania ni Bernard Membe na habari hiyo hiyo kunukuliwa na media kubwa za habari Kenya kama ''habari'' live za ''kina'' toka Nairobi.

Mje Tanzania jijini Dar-es-Salaam kupata data kamili kutoka vyombo vinavyoheshimika kimataifa kama REPOA Policy Research for Development, REPOA au ESRF Home | Economic and Social Research Foundation - Tanzania n.k badala ya kujifungia Nairobi na kusuka ripoti zisizo sahihi kuhusu hali ya uchumi na ukame Tanzania.
 
Hehehehe!!! Sky Eclat Hao hawawazidi akina Fatuma na Halima wa pale Unguja, Zanzibar nimekua pale na kuandaliwa Urojo, nusra nikwame huko na kuisahau Kenya yangu. Yaani nilinogewa kwa jinsi walinitunza hadi nikahisi niombe uraia wa Zanzibar.
Uraia wa Zanzibar wat do u mean????
 
Uraia wa Zanzibar wat do u mean????

Kwa jinsi huwa mnaendesha huo muungano hakika ni kama nchi mbili tofauti. Yaani unakuta Mtanzania wa kutokea bara hakubaliwi kutumia leseni ya kuendesha gari ya bara, lazima aombe nyingine Zanzibar. Nililiona hilo nikashangaa. Kuna vitu vingi nilivishangaa hadi nikaona kama nchi mbili tofauti kabisa, hata kama mnaambizana kwamba nchi moja. Anyway mtajua wenyewe, turudi kwenye mada.
 
Kenya tunazo nyika pia, ila eneo kubwa ni kame tupu na haliwezi kulimwa bila ukulima wa unyunyizaji. Ni kainchi kadogo na nusu yake kame tupu. Tanzania nchi kubwa yenye kila eneo lenye rotuba, hamjalima maeneo mengi tatizo uvivu, sasa hadi mnakua nyuma ya Kenya kwa njaa.
Hebu nambie mkuu, unadhani ni ardhi kiasi gani inahitajika kuwapa wakenya uhakika wa Milo walau miwili kwa siku?
Labda tuanzie hapo.
 
Kwa jinsi huwa mnaendesha huo muungano hakika ni kama nchi mbili tofauti. Yaani unakuta Mtanzania wa kutokea bara hakubaliwi kutumia leseni ya kuendesha gari ya bara, lazima aombe nyingine Zanzibar. Nililiona hilo nikashangaa. Kuna vitu vingi nilivishangaa hadi nikaona kama nchi mbili tofauti kabisa, hata kama mnaambizana kwamba nchi moja. Anyway mtajua wenyewe, turudi kwenye mada.
Ujamsikia mkuu huko amesema Uhuru wa Tanzania
 
Kenya hawawezi kutofautisha njaa ya kulala tumbo tupu na ukame, kwetu kunatokea ukame lakini siyo njaa ya kulala tumbo tu kama ripoti ya GHI ambayo jinsi ninavyojua takwimu zitakuwa zimetengenezwa jijini Nairobi, Kenya badala ya watafiti-takwimu kuja field Tanzania kujionea hali halisi !

Tumeona leo ziara ya Magufuli huko Kenya, mwandishi wa habari ''aliyebobea'' akisema Waziri wa mambo ya Nje wa Tanzania ni Bernard Membe na habari hiyo hiyo kunukuliwa na media kubwa za habari Kenya kama ''habari'' live za ''kina'' toka Nairobi.

Mje Tanzania jijini Dar-es-Salaam kupata data kamili kutoka vyombo vinavyoheshimika kimataifa kama REPOA Policy Research for Development, REPOA au ESRF Home | Economic and Social Research Foundation - Tanzania n.k badala ya kujifungia Nairobi na kusuka ripoti zisizo sahihi kuhusu hali ya uchumi na ukame Tanzania.

When the same reports report Kenya as hungry you run here to make threads about it. When they report Tz as hungry you say ni ripoti zisizo sahihi. lol.
 
Kumbe wakenya ndio wanashiba kuliko wengine wote EA na mitanzania na propaganda yao kumbe njaa tu....naskia Dar kwa vibanda utaweza kununua Intestines za kuku na Virenge-tule tumguu!!!...ni ukweli ????[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] why would i eat that??? [emoji55]
Wanashiba sana hasahasa wale wakenya wanaoishi mathare
 
Shirika la kupima masuala ya njaa na uwezo wa nchi kulisha watu wake (Global Hunger Index) wametoa orodha ya janga la njaa duniani.
Kwa wenye elimu wataelewa hii haipimi mambo ya kiangazi, bali uwezo wa nchi kulisha watu wake. Kwamba hata kwa kiangazi, nchi inaweza kushughulikia kwa kununua chakula na kuhakikisha watu wake wana shibe.

Kenya pamoja na kwamba nusu ya nchi yetu ni kame tupu, kwamba tuna eneo ndogo sana la kulima, lakini tumejituma na kuhakikisha watu wetu hawateseki sana. Kuna matukio madogo madogo ambapo chakula cha misaada kinachelewa kuwafikia wahanga ambapo wanaishia aidha kula vitu vya ajabu, lakini tunajaribu sana.

Hivi majuzi serikali imeachia Ksh 5b kwa ajili ya kiangazi kinachotukumbuka.

Kwa majirani wa Kenya, Ethiopia ndio inaoongoza kwa njaa kali ikifuatiwa kwa karibu na Tanzania. Hii hapa orodha 2016 Global Hunger Index

Kenya - 21.9
Uganda - 26.4
Rwanda - 27.4
Tanzania - 28.4
Ethiopia - 33.4
Annael ameona hii?
 
Nafikiri ningekuwa mimi ningejisikia vibaya sana na aibu kubwa hata kuweka hili bandiko, Kenya ni middle income country at least officially hivyo kuwa na 22% ya Wananchi wake wanalala njaa ni scandalous lkn nashangaa kuna Binadamu wanaona ni jambo la kujisifia na wako proud kabisa kwamba heee man loook 22% of our people go to bed hungry ... !
Kukuwa middle income hakumaniishi nchi imeweza kujikomoa kabisa kutokana na matatizo yote ya kijamii.
Hebu tazama kwa mfano kwenye mataifa haya tajiri maradufu zaidi ya Kenya.......

Association for Asia Research- 30 million people are starving in China

Are there 13, 14 or 15 million hungry people in South Africa? - Africa Check

13 million Nigerians suffer from hunger- Agriculture Minister - Premium Times Nigeria

Hunger in India | India FoodBanking Network
 
Back
Top Bottom