Mataifa Manne hatari kwa usalama wa dunia

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Mataifa manne ambayo ni hatari kwa usalama wa dunia. Uwenda hujuwi ila nataka ujuwe nje ya nguvu za kijeshi kwa taifa kubwa kama marekani nyuma ya pazia kuna kitisho kikubwa cha usalama wa dunia na amani kutoka tawala nne ktk mataifa ma nne duniani. Waiati sisi tuna vaa magunia nakuowa ndoa za mitala na kubadilishana almasi kwa shanga.

Mataifa makubwa kama marekani na Uingereza yalikuwa dunia ya kwanza wakishuhudia vita ya kwanza na ya pili ya dunia while idara zao nyeti za usalama zikitoa taarifa za siri ya vita ya tatu kwa viongozi wao.

Dunia haipo salama na hiki ndio kitisho kikubwa kwa uhai na usalama wakila kiumbe ktk uso wa dunia. Kama utapata nafasi kusoma report nyeti za idara za usalama za mataifa makubwa kama German, UK, USA, Ufaransa, Belgium, Israel na Canada uwenda
Ukapata upofu na uwenda ukajiona kama marehem unaye ishi. Zipo serikali ktk dunia zita watawala ambao sio binadam ila ni wanyama hatari ambao hawakuwahi kutokea.

Ktk files za haya mataifa nimeyataja wanajuwa tawala hizi nne bila kuwa eliminated kamwe dunia haitokuwa salama ila ipo siku itatoweka. Na ndio maana kama hujuwi watu wanahaha kujenga nyumba chini ya ardhi wakijiandaa na siku inaitwa dooms day. Siku ambayo mataifa haya manne uwenda yakafyatua makombora yao hatari Yanayo itwa ICB... Yakiwa na vichwa hatari vya nyuklia.

Nisiku yakutisha na nisiwafiche imekaribia ikiwa idara za usalama mataifa ya magaharibi watashindwa kuwa silence hawa viongozi wanne nakuleta mapinduzi ktk mataifa hayo.

Kwanini USA chini ya CIA wanatumia ma bilion ya dola kutaka democrasia ktk mataifa yote duniani? Siri ni moja tu kuzuwia tawala katili kuongoza kwa muda mrefu. USA chini ya CIA walifanya study ya vita vyote vikubwa dunian vina anzishwa na tawala za kiimla au vyama vya kiimla.

Utasema nasema nini? Kama hujuwi Adolfo Hitler, Musolin, nk hawa ndio walikuwa vinara wa vita za dunia. Kutokana na hilo CIA walipendekeza kuhakikisha dunia hairudi kwenye zama za vita ya kwanza na ya pili kwa kuhakikisha wanayagawa na kupandikiza Democracy ktk mataifa hayo.

Pia ktk vifungu vipo tata lipo swala laku eliminate viongoz wanaona ni hatari kwa uasalama wa dunia.
Mataifa ambayo Maggaribi wana yaangalia kwa jicho la karibu ni China, Russian federation, Iran and North Korea. Haya mataifa ndio kwa sasa yanaleta sintofaham ya kesho ya dunia.

Haya mataifa usiku na mchana wanajenga chumi zao ili wapanue imaya zao. Sio wabaki na mataifa yao ila waongeze ukubwa wa mataifa yao. Imani zao nikuwa wao ndio wanastaili kuwa wa tawala wa mataifa jirani yao.

Mfano China ana amini mataifa yote yamemzunguka ni mataifa ndugu na mataifa ya magharibi ndio wamewatenganisha kwa masilahi yao hivyo wanalenga kurudisha hayo mataifa yawe yake.

Ukienda North Korea yeye ana amini South Korea ni taifa lake na ni marekani wamewatenganisha. Same to Russian and Iran.
 
Mataifa manne ambayo ni hatari kwa usalama wa dunia. Uwenda hujuwi ila nataka ujuwe nje ya nguvu za kijeshi kwa taifa kubwa kama marekani nyuma ya pazia kuna kitisho kikubwa cha usalama wa dunia na amani kutoka tawala nne ktk mataifa ma nne duniani. Waiati sisi tuna vaa magunia nakuowa ndoa za mitala na kubadilishana almasi kwa shanga. Mataifa makubwa kama marekani na Uingereza yalikuwa dunia ya kwanza wakishuhudia vita ya kwanza na ya pili ya dunia while idara zao nyeti za usalama zikitoa taarifa za siri ya vita ya tatu kwa viongozi wao.

Dunia haipo salama na hiki ndio kitisho kikubwa kwa uhai na usalama wakila kiumbe ktk uso wa dunia. Kama utapata nafasi kusoma report nyeti za idara za usalama za mataifa makubwa kama German, UK, USA, Ufaransa, Belgium, Israel na Canada uwenda
Ukapata upofu na uwenda ukajiona kama marehem unaye ishi. Zipo serikali ktk dunia zita watawala ambao sio binadam ila ni wanyama hatari ambao hawakuwahi kutokea.
Ktk files za haya mataifa nimeyataja wanajuwa tawala hizi nne bila kuwa eliminated kamwe dunia haitokuwa salama ila ipo siku itatoweka. Na ndio maana kama hujuwi watu wanahaha kujenga nyumba chini ya ardhi wakijiandaa na siku inaitwa dooms day. Siku ambayo mataifa haya manne uwenda yakafyatua makombora yao hatari Yanayo itwa ICB... Yakiwa na vichwa hatari vya nyuklia.
Nisiku yakutisha na nisiwafiche imekaribia ikiwa idara za usalama mataifa ya magaharibi watashindwa kuwa silence hawa viongozi wanne nakuleta mapinduzi ktk mataifa hayo.

Kwanini USA chini ya CIA wanatumia ma bilion ya dola kutaka democrasia ktk mataifa yote duniani? Siri ni moja tu kuzuwia tawala katili kuongoza kwa muda mrefu. USA chini ya CIA walifanya study ya vita vyote vikubwa dunian vina anzishwa na tawala za kiimla au vyama vya kiimla. Utasema nasema nini? Kama hujuwi Adolfo Hitler, Musolin, nk hawa ndio walikuwa vinara wa vita za dunia. Kutokana na hilo CIA walipendekeza kuhakikisha dunia hairudi kwenye zama za vita ya kwanza na ya pili kwa kuhakikisha wanayagawa na kupandikiza Democracy ktk mataifa hayo. Pia ktk vifungu vipo tata lipo swala laku eliminate viongoz wanaona ni hatari kwa uasalama wa dunia.
Mataifa ambayo Maggaribi wana yaangalia kwa jicho la karibu ni China, Russian federation, Iran and North Korea. Haya mataifa ndio kwa sasa yanaleta sintofaham ya kesho ya dunia.
Haya mataifa usiku na mchana wanajenga chumi zao ili wapanue imaya zao. Sio wabaki na mataifa yao ila waongeze ukubwa wa mataifa yao. Imani zao nikuwa wao ndio wanastaili kuwa wa tawala wa mataifa jirani yao. Mfano China ana amini mataifa yote yamemzunguka ni mataifa ndugu na mataifa ya magharibi ndio wamewatenganisha kwa masilahi yao hivyo wanalenga kurudisha hayo mataifa yawe yake. Ukienda North Korea yeye ana amini South Korea ni taifa lake na ni marekani wamewatenganisha. Same to Russian and Iran.
Inashangaza sana kuona jinsi mmarekani na washirika wake wanavyoweza kuwaaminisha hadi wamatumbi waone adui wa marekani ndiye adui wa dunia. Kwamba wanaweza hata kutusahaulisha historia kuwa nchi pekee ambayo ishawahi tumia mabomu ya nuklia kushambulia nchi nyingine ni Marekani na wala si Russia, si China, si Iran na si Korea Kaskazini.

Dah na nyie wamatumbi muwe mnajiongeza. Leo hii Iran ni threat kwa dunia kisa ana ugomvi na Israel? Kwako wewe mtanzania una sababu gani za kumwona Iran kama tishio la dunia? (Na hapo simaanishi kwamba naikubali Iran na siasa zake, but nikiwa mtanzania sioni sababu ya kulishwa na kuamini propaganda za Israel, Marekani na washirika wao kwamba adui yao lazima awe adui wa dunia yote)
 
Mambo ya Dunia nzima yanakuhusu nini wewe mmatumbi , kabiliana na magumu yanayokuhusu wewe , Magumu ya Dunia hata ukiyajua huna lolote utaweza fanya
Huyu jamaa si ni yule muhusika katika issue ya Saa8?
Anadhani mashirika ya kijasusi ya huko nje yanafanya kazi kama hii idara yao iliyoko chini ya ccm
 
Duh!! umekuwa brainwashed na propaganda za kimagharibi ambazo zimekupa upofu wa kuona mbali na kukupa mahaba yao!!!!

Hizi propaganda zipo kimkakati ambao ni kudumisha na kuimarisha utawala kimagharibi katika ulimwengu huu katika nyanja muhimu mfano uchumi,kisiasa, utamaduni na kijamii.

Kinapoonekena kwamba kuna kitisho dhidi ya mfumo wa kimagharibi hapa ndipo nguvu ya propaganda inavyoonekana. Kupitia filamu,muziki,mavazi,michezo n.k watu wengi wameaminishwa kuwa dunia ni lazima iendeshwe kimagharibi jambo ambalo siyo kweli na upotofu mkubwa.

Swali : Je, unaamini kuwa mfumo wa kimagharibi ni lazima ufuatwe na watu wote duniani??.
Jibu kwa kutumia fikra tunduizi .

Mwisho
: Tujifunze kuutafuta ukweli kwa kutumia fikra tunduizi na siyo kumezeshwa kila kitu.Russia,China,Iran na Wamagharibi wote wanatumia Propaganda kueneza na kuimarisha Mifumo yao!!!! Je, sisi tupo wapi????
 
Mataifa manne ambayo ni hatari kwa usalama wa dunia. Uwenda hujuwi ila nataka ujuwe nje ya nguvu za kijeshi kwa taifa kubwa kama marekani nyuma ya pazia kuna kitisho kikubwa cha usalama wa dunia na amani kutoka tawala nne ktk mataifa ma nne duniani. Waiati sisi tuna vaa magunia nakuowa ndoa za mitala na kubadilishana almasi kwa shanga. Mataifa makubwa kama marekani na Uingereza yalikuwa dunia ya kwanza wakishuhudia vita ya kwanza na ya pili ya dunia while idara zao nyeti za usalama zikitoa taarifa za siri ya vita ya tatu kwa viongozi wao.

Dunia haipo salama na hiki ndio kitisho kikubwa kwa uhai na usalama wakila kiumbe ktk uso wa dunia. Kama utapata nafasi kusoma report nyeti za idara za usalama za mataifa makubwa kama German, UK, USA, Ufaransa, Belgium, Israel na Canada uwenda
Ukapata upofu na uwenda ukajiona kama marehem unaye ishi. Zipo serikali ktk dunia zita watawala ambao sio binadam ila ni wanyama hatari ambao hawakuwahi kutokea.
Ktk files za haya mataifa nimeyataja wanajuwa tawala hizi nne bila kuwa eliminated kamwe dunia haitokuwa salama ila ipo siku itatoweka. Na ndio maana kama hujuwi watu wanahaha kujenga nyumba chini ya ardhi wakijiandaa na siku inaitwa dooms day. Siku ambayo mataifa haya manne uwenda yakafyatua makombora yao hatari Yanayo itwa ICB... Yakiwa na vichwa hatari vya nyuklia.
Nisiku yakutisha na nisiwafiche imekaribia ikiwa idara za usalama mataifa ya magaharibi watashindwa kuwa silence hawa viongozi wanne nakuleta mapinduzi ktk mataifa hayo.

Kwanini USA chini ya CIA wanatumia ma bilion ya dola kutaka democrasia ktk mataifa yote duniani? Siri ni moja tu kuzuwia tawala katili kuongoza kwa muda mrefu. USA chini ya CIA walifanya study ya vita vyote vikubwa dunian vina anzishwa na tawala za kiimla au vyama vya kiimla. Utasema nasema nini? Kama hujuwi Adolfo Hitler, Musolin, nk hawa ndio walikuwa vinara wa vita za dunia. Kutokana na hilo CIA walipendekeza kuhakikisha dunia hairudi kwenye zama za vita ya kwanza na ya pili kwa kuhakikisha wanayagawa na kupandikiza Democracy ktk mataifa hayo. Pia ktk vifungu vipo tata lipo swala laku eliminate viongoz wanaona ni hatari kwa uasalama wa dunia.
Mataifa ambayo Maggaribi wana yaangalia kwa jicho la karibu ni China, Russian federation, Iran and North Korea. Haya mataifa ndio kwa sasa yanaleta sintofaham ya kesho ya dunia.
Haya mataifa usiku na mchana wanajenga chumi zao ili wapanue imaya zao. Sio wabaki na mataifa yao ila waongeze ukubwa wa mataifa yao. Imani zao nikuwa wao ndio wanastaili kuwa wa tawala wa mataifa jirani yao. Mfano China ana amini mataifa yote yamemzunguka ni mataifa ndugu na mataifa ya magharibi ndio wamewatenganisha kwa masilahi yao hivyo wanalenga kurudisha hayo mataifa yawe yake. Ukienda North Korea yeye ana amini South Korea ni taifa lake na ni marekani wamewatenganisha. Same to Russian and Iran.
Haya mataifa manne unayasingizia. Hayahatarishi usalama wa dunia, yenyewe yana mikakati ya kumvimbia marekani!! Yanagomea ubabe wa Marekani na Marekani analazimika kukubali kuwa ubabe wake ni nje ya mipaka yao!! Hayakubali kuburuzwa kama mataifa ya ulaya yanavyoburuzwa na marekani!! Hayakubali kutishiwa na Marekani.
Tishio la dunia ni marekani basi!! Marekani ina vituo vya kijeshi kila kona ya dunia!! Ina manowari za kivita kwenye kila bahari unayoijua duniani!! Kama hiyo haitoshi ameweka kikosi kabisa cha kijeshi kwa ajili ya anga za juu!!
 
Mambo ya Dunia nzima yanakuhusu nini wewe mmatumbi , kabiliana na magumu yanayokuhusu wewe , Magumu ya Dunia hata ukiyajua huna lolote utaweza fanya
Umeonaeeeee?
 
Huyu jamaa si ni yule muhusika katika issue ya Saa8?
Anadhani mashirika ya kijasusi ya huko nje yanafanya kazi kama hii idara yao iliyoko chini ya ccm
Dah watu hamsahau kabisa huyu jamaa inasemekana anajua alipo Ben saa8..
 
Mataifa manne ambayo ni hatari kwa usalama wa dunia ni China, Russian federation, Iran and North Korea. Haya mataifa ndio kwa sasa yanaleta sintofaham ya kesho ya dunia.
Hili ni Bandiko la kibeberu!. Taifa hatari kabisa kwa usalama wa Dunia, ni lile taifa Baba la Baba, kubwa la maadui, magaidi na kinara wa maangamizi, the one and only... naomba nisimalizie, ili nisihatarishe kunywimwa visa, sisi wengine familia zetu ziko huko kwa Baba la Baba, kubwa la maadui, kubwa la terrorism na ma terrorists.
P
 
Inashangaza sana kuona jinsi mmarekani na washirika wake wanavyoweza kuwaaminisha hadi wamatumbi waone adui wa marekani ndiye adui wa dunia. Kwamba wanaweza hata kutusahaulisha historia kuwa nchi pekee ambayo ishawahi tumia mabomu ya nuklia kushambulia nchi nyingine ni Marekani na wala si Russia, si China, si Iran na si Korea Kaskazini.

Dah na nyie wamatumbi muwe mnajiongeza. Leo hii Iran ni threat kwa dunia kisa ana ugomvi na Israel? Kwako wewe mtanzania una sababu gani za kumwona Iran kama tishio la dunia? (Na hapo simaanishi kwamba naikubali Iran na siasa zake, but nikiwa mtanzania sioni sababu ya kulishwa na kuamini propaganda za Israel, Marekani na washirika wao kwamba adui yao lazima awe adui wa dunia yote)
Kuna mimbumbumbu inaamini propaganda za wagharibi na israel. Ikipewa pipi tu na wazungu wanatumika kueneza propaganda zao.
 
Kweli kabisa

Kweli kabisa 👍
 
Back
Top Bottom