Mataifa Manne hatari kwa usalama wa dunia

Swali zuri 👍
 
Unajuwa unapo kabiliana na kiumbe hatari lazima uwe na kiumbe hatari zaidi. Nia niku paralyzed nguvu ya hayo mataifa hatari. Nia yao wala sio USA ila wana agenda yao.
 
Hilo taifa ni mhisani wa maendeleo yetu na humwaga madolari kwa miradi mingi iliyopo hapa nchini, acha kuwapaka matope.
 
Ngoja nikusaidie tu maana mimi sitegemei kwenda huko hata siku moja! Taifa hilo ni Marekani!
 
Hakuna tulicholazimishwa kufanya kati ya hayo, hata huo msaada au mkopo sio lazima kuchukua.
 
Hizi movie muangaliage usiku.
Giza lipunguze ukali wa script.
#MkuuWamekushikaHao.
 
Bandiko nzuri sana hili ukilisoma bila hisia kali hususan za kidini.
 
Mambo ya Dunia nzima yanakuhusu nini wewe mmatumbi , kabiliana na magumu yanayokuhusu wewe , Magumu ya Dunia hata ukiyajua huna lolote utaweza fanya
Kwa hiyo ugumu unao sababishwa na hiyo vita kwako haujakugusa?
Au wewe ni wale wahuni mnaokula mema ya nchi kwa sasa hivyo hamjui kama kuna kupanda hata kwa bei ya mafuta?
 
100% Truth !! ( Tafakari chukua hatua ) !!
 
Umeongea ukweli uliochanganyika na mahaba. Watu hapa wanamlaum marekan wanasahau jamaa anajitahid kutumia nafas yake. Ambayo ni fursa kwa taifa lolote
 
Bado mpo kweli na mtakuwepo tu kwa sababu nyinyi bado mpo chini ya miaka 60 !! Lakini pia mtaendelea kubaki humu humu Tz ! Hakuna kutoka nje ya mipaka !! Salaaleeh!! Wazungu Shikamoo !!!
 
Vichekesho , Yaani taifa ambalo mpaka familia umeihifadhi huko lakini una chuki nalo?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Dogo naona umeoteshwa unajidai mwamposa
 
Mambo ya Dunia nzima yanakuhusu nini wewe mmatumbi , kabiliana na magumu yanayokuhusu wewe , Magumu ya Dunia hata ukiyajua huna lolote utaweza fanya
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]! Watu mna maneno humu Jf nyie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…