ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Vuguvugu la Uhuru barani Africa lilianza baada ya ww2.
Mwishoni mwa miaka ya 50s, tayari baadhi ya mataifa yakaanza kupata Uhuru tena kwa njia rahisi sana.
By 1980, tayari karibia mataifa yote yalikuwa huru
Nchi za Asia na Latin America, ni Hivyohivyo.
Kwa utajili wa Africa, wazungu wasingetupa Uhuru kirahisi hivyo.
Bara la Africa ni tajili kupitiliza kwa maliasili, lakini hakuna nguvu kubwa ilitumika kupata Uhuru.
Wazungu wangeng'ang'ana Africa lakini hali haikuwa hivyo.
Wa Palestine Wanakwama wapi? Mbona hali inakuwa mbaya siku Hadi siku. Hakuna kabisa matumaini ya kupata Uhuru wa taifa Lao.
MAONI: Wa Palestine wanalamisha tu eneo lile. Ile ardhi sio Yao. Ingekuwa ni haki Yao, wangepata taifa lao muda tu