Mataifa ya Marekani, Umoja wa Ulaya, Japan na Mamluki wote msithubutu kuishitaki, kuweka vikwazo na kupandikiza magaidi Tanzania mtajuta

Kwani hayo mataifa ndo waliwatuma mtume majeshi yenu kuua watu Mara, Songwe na Zanzibar kwenye uchaguzi mkuu ulioisha???
Wao ndo waliwatuma mzuie wasimamizi wa uchaguzi wa vyema vya upinzani??? Wao ndo waliwatuma muengue wagombea wa upinzani???
 
Wivu wa Kwa nini Corona haijatusumbua ndio kinachotia wivu, Kama Mungu aiishivyo na Kwa kuwa ndiye aliyetuhuruku Sisi, Yeye anajua pia kututetea!
 
Sio kila mashitaka Icc inayapokea haw wanokuwa na mawazo mgando kama haya ndio huwa wanakurupuka. Kama Tanzania kuna uhalifu dhidi ya binadamu Fatou Bensouda ungemsikia ametamka neno.
Kama madai yao hayana mantiki ni vizuri tusiwaweke vikwazo katika kufile madai yao. Najua wanajisumbua hilo ni tatizo la muda tu inabidi tuwaunge mkono huku tukijua kuwa hawatafanikiwa
 
Mbona 90% ya watanzania wanakubali kuwa JPM amepita kihalali na wanakubali uongozi wake. Hawasemi kuwa kuna shuruti, habari za kushurutishwa unazitoa wapi?
2/3 ya wanaopaswa kupiga kura hawakupiga, hiyo 90% ya watanzania umeitoa wapi? Box la kura ndio lilipaswa liseme mtazamo wa watanzania na sio Tiss, NEC na kura za kwenye mabeg.
 
Vamieni hili li nchi linanatutesa tu na kutuua sisi wapinzani na kutunyanyasa. Aheli tutawaliwe na mzungu kuliko manyanyaso tunayoyapata kutoka kwa hili joka
 
Mtanyooka tuuu umeumiza watu sasa mnataka mlie kivulini dhulma zenu aawapi
 
Siku hizi umetosheka Kwani?

Ule mpango wako wa siku moja lazima mabwana watatu wakuchumishe matembele umechoka?

Mbona ni kama bado binti kijana Sana, au umeanza kulegea huko?

Bado soko lipo, uza tu

Nasema hivi, hiyo huduma unayolazimisha kuileta hapa jukwaani watu hatutumii. Kwanini utulazimishie dhambi?
 
2/3 ya wanaopaswa kupiga kura hawakupiga, hiyo 90% ya watanzania umeitoa wapi? Box la kura ndio lilipaswa liseme mtazamo wa watanzania na sio Tiss, NEC na kura za kwenye mabeg.
Habari za Tiss,Nec na kura za mabegi, hauna ushahidi nazo. Kwamba nusu ya waliojiandikisha kutopiga kura,sio sababu kuwa 90% ya watanzania wanamkubali JPM. Hiyo 90% ni wananchi wote wa Tanzania.
 
Huu ujinga unafanyika huku tu kwenye mamlaka ya jiwe ...ICC mtu anakwenda kwa jina lake
 
Labda hizo nchi za nje wasichukue hatua, lakini wakichukua tutawaunga mkono, hatuko tayari kuongozwa na ccm kwa shuruti.
Mtasubili saaaaana kuingia ikulu. Hao nao watarajia wafungue kesi walishashindwa hata kabla ya kufungua. Wamebaki wanabweka kama jibwa, na sisi hatuwarushii mawe tunasonga mbele. VIVA T2020 JPM KAZI INAENDELEA
 
Pumba tupu maliasili wanachukua toka enzi za mwalimu wewe kajamaa leo unapost huu uchafu gani?
 
Nasema hivi, hiyo huduma unayolazimisha kuileta hapa jukwaani watu hatutumii. Kwanini utulazimishie dhambi?
Kwa hiyo kumbe wewe huchumishwi tembele?
Nia yangu ni kufahamu Hilo Tu dada!
 
Mtasubili saaaaana kuingia ikulu. Hao nao watarajia wafungue kesi walishashindwa hata kabla ya kufungua. Wamebaki wanabweka kama jibwa, na sisi hatuwarushii mawe tunasonga mbele. VIVA T2020 JPM KAZI INAENDELEA
Wakati huo unaingia JF kwa VPN ...mijitu mingine mpo Duniani kwa bahati mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ