Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Kwani mkuu wewe huishi mtaani? Maana uko pia jfWe jamaa bana, hivi huwa unazuguka mitaani na kupata maoni ya watu? Au huwa unashinda JF ukiandika porojo? Wewe na nani ambao mnaongozwa kwa shurti? Au unadhani siasa ni kama footbal,kwamba ukiwa Simba hata kama Yanga ipo vizuri unaiponda?
Kama unaingia JF kwa kutumia VPN, elewa hata kufikiri kwako kuna ulakiniWakati huo unaingia JF kwa VPN ...mijitu mingine mpo Duniani kwa bahati mbaya
Mkuu, sina faida kabisa na haya niliyoandika, najuta, naomba unisamehe mkuu, naomba tuyafute, nitaanza mimi kufuta kila pahala nilpo Ku Quote, samahani Sana, staweka utani tena huu WA kijinga usio na faida yoyoteNasema hivi, hiyo huduma unayolazimisha kuileta hapa jukwaani watu hatutumii. Kwanini utulazimishie dhambi?
Wamerogwa si bure hawaWakati huo unaingia JF kwa VPN ...mijitu mingine mpo Duniani kwa bahati mbaya
Je wajua kuwa kura halali hazikuhesabiwa??Mbona 90% ya watanzania wanakubali kuwa JPM amepita kihalali na wanakubali uongozi wake. Hawasemi kuwa kuna shuruti, habari za kushurutishwa unazitoa wapi?
Mkuu huyo jamaa anajua kuwa kwa sababu jiwe ni dikteta basi anaweza amka asubuhi na kusema kuanzia leo tumejitoa ICC kwa sababu wanataka madini yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Nimeona mada nikafungua haraka kuisoma nikijua imetolewa na mtu anaejitambua au kufahamu masuala ya kimataifa nikakuta hola!
hakuna mtu mwenye akili timamu wa kuzingatia hili, ni ugoro mno., shauri vitu vinavyowezekana.
Kabisa mkuuHii ndo solutioni,,hatuyumbishwi.
Soma niliandika nini? Usiwe na kizabizabina.Kwani mkuu wewe huishi mtaani? Maana uko pia jf
Umejiunga jf 23 oct 2020 jf inawatu ambao wako very intelligent maoni yako ni mazuri sana 'kuna walinda tonge VS watafuta tonge'"Wakuu,
Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa kutumia mamluki, wasaliti na vibaraka wao.
Mataifa tajwa hapo juu hawana maslahi yoyote na madai ya 'Purported Crimes Against Humanity' ila wanalenga kutufarakanisha wapate upenyo kuingia kwa nia ya kusaidia ila ni kwa ajili ya kuvuna maliasili zetu bila kizuizi.
Kwa kuwa mgombea mmojawapo wa Urais aliyepoteza ushindi kwenda huko ughaibuni na kujiunga na wanyonyaji wakubwa kutaka kuanzishisha mashitaka dhidi ya Rais na Serikali yake amechagua njia mbaya ambayo kwa vyovyote vile hana hadhi tena ya kurudi Tanzania kwa sababu ya kugombania madaraka ya kuongoza huyo sio ndugu yetu wala sehemu ya WaTanzania tena.
Ni bora Tanzania ijitoe sasa hivi uanachama na mahakama hiyo ya ICC kwa kuwa inaonekana ipo kwa ajili ya kulipiza visasi sio kurekebisha makosa ya kiutawala. That guy is a curse to be entertained anymore including his hypocite allies.
Wapambe wote na watoa taarifa kwa hao watu wakitokea hapa Tanzania kuanzia sasa wanaombwa wajiondoe nchini haraka ili mapambano yafanyike mkiwa nje ya Tanzania.
Tanzania ni huru, ni ya Haki, in mahusiano mazuri na nchi waungwana lakini yeyote inayejiunga na wahuni walioamua kubadilisha Taswira ya nchi kwa maslahi binafsi na visasi.
Hiyo vita mnayotaka kuianzisha dhidi ya Tanzania kupitia uchochezi kwenye mitandao, vitisho vya kufungua kesi ICC, Dunia tatambua kwamba walifanya makosa kuiweka kwenye kundi la nchi za dunia ya tatu. Hakuna wa kuwagawanya WaTanzania kwa chochote wako tayari kwa chochote na mashitaka wanatakiwa kuorodhesha majina ya raia milioni 60 sio hao mnaopigia kelele Tsu-nami (Tetemeko la Bahari) halitazuiwa na nguvu ya makaratasi eti mashitaka dhidi ya binadamu are you foxes really serious or you are just ridiculing to decieve teh elites funding the evil inetnt-it won't make it, we are strong in all cycles be it on international levels, locally, socially, economically etc.
So,, immediately denounce these malicious threats or risk teh dead corpse
TANZANIA JITIOENI HARAKA
Aliekutuma utusemee kwamba Lissu sio ndugu yetu ni nani?Wakuu,

tutawawekea wakijaribu kutuwekea.Kwanini na sisi tusiwawekee vikwazo hao Marekani na Ulaya?
Sawa mzee Sumayitutawawekea wakijaribu kutuwekea.
Kama jiwe hana hatia anaogopa nini kwenda huko? Au anadhani huko hawatendi haki kama Tanzania?Mtasubili saaaaana kuingia ikulu. Hao nao watarajia wafungue kesi walishashindwa hata kabla ya kufungua. Wamebaki wanabweka kama jibwa, na sisi hatuwarushii mawe tunasonga mbele. VIVA T2020 JPM KAZI INAENDELEA
Umemaanisha watu wa Jf ni tofauti na watu wa mtaani, swali je wewe hauishi mtaani? Matusi siyo hoja mkuuSoma niliandika nini? Usiwe na kizabizabina.