Mataifa ya Marekani, Umoja wa Ulaya, Japan na Mamluki wote msithubutu kuishitaki, kuweka vikwazo na kupandikiza magaidi Tanzania mtajuta


watanzania hawakushirikiana na kikundi chenu cha kigaidi cha ccm mpya kuiba kura, kumkamata,kutesa na kuua watu ili nyie mbaki madarakani
 
Bingwa prof. Palamaganda Kabudi na Andrew Chenge aka chuma cha pua
Mzee wa family law thubutuuuu..kule kuna mijitu ina akili kama mashetani...ataulizwa swali moja tu ataomba maji
 
1. Mbona unaongea kwa jazba sana eti
2. Uliwhi zungukia vituo vya wapiga kura na kuongea na mawakala wa CCM, CDM na ACT Wazalendo waliopo vituoni au kuchunguza uchaguzi unavyoendeshwa?
3. Ulishawahi kuwa wakala kwenye uchaguzi wowote ule, ulishuhudia uchaguzi wa tar 27 na 28 kama wakala au kutoka kwenye vituo kadhaa vya kura?
4. Kujiondoa ICC kuna utaratibu wake unaujua, soma vizuri uelewe, lazima utaratibu huo ufuatwe.
5.Kwanini una wasiwasi kuwa kuna wavamizi wanakuja nchini tupe sababu kwanini.
6. Kuna majeruhi kwenye kata yako au kata za jirani na siajabu vifo hujauliza ufuatilie ni kwanini na serikali imesemaje kuhusu hao watu.
7. Hivi unajua tamaa zetu wenyewe ndio ndio zinataka kutgawanya, kama ww sio ccm usitegemee kupata chochote.
8. Nitajie vituo 15-20 ulivyo shuhudia vilifanya majumuisho ya kura na mawakala wote wakishuhudia, ukitaja na kama ulikuwepo njoo nikupe sh 100,000 ya hongera kuhudhuria najua hukuweza kwa sababu askari walikuwa na silaha kali na hakuna aliyehudhuria majumuisho.
 
Mahakama ya ICC haimshtaki mwanasheria wa Serikali huwa inamshtaki aliye husika na aliyetoa komandi si vinginevyo.
 
Una wasiwasi ya nini, mkuu wa majeshi, IGP Sirro wana take control ya kila kitu unashida gani wewe, kura za rais 84.4% kura za kishindo watu wako salama tulia wewe unajitekenya.
 
Hapana mkuu, hsinifaidii chochote kutukana watu aisee, naomba mkuu unisaidie na wewe kufuta hizo ulizoni Quote, tafadhari nakuomba mkuu

Sioni faida ya matausi

Waache yakae hivyo hivyo mkuu ili ukose nishani ya Nobel kwa kutukana mitandaoni. Mimi sina cha kupoteza maana sina, wala sitafuti heshima yoyote hapa jf wala serikalini.
 
Habari mbaya kwa CCM ..daftari la wapiga kura Uganda limepelekwa The Hague kuhakikiwa...maweee hawa jamaa hawataki Dictators bado sisi maweeee
 
Waache yakae hivyo hivyo mkuu ili ukose nishani ya Nobel kwa kutukana mitandaoni. Mimi sina cha kupoteza maana sina, wala sitafuti heshima yoyote hapa jf wala serikalini.
Ila kama umenisamehe, Hilo ndilo la maana
 
TATIZO WANACHADEMA WANAJUA ETI DEMOKRASIA NI KUSHINDA KWA VYAMA VYA UPINZAN[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona wakati mnapewa misaaada na mikopo na hao hao hamuwaiti wanyonyaji wala mabeberu..hamuulizagi kama pesa za misaaada ni za mashoga ssa mmebanwa korodani mnahaha
 
Sasa Utaifanyaje Marekani kwa mfano nyau wewe
 
Ijitoe ili kumlinda nani..hujitambiu ww
 
We jamaa bana, hivi huwa unazuguka mitaani na kupata maoni ya watu? Au huwa unashinda JF ukiandika porojo? Wewe na nani ambao mnaongozwa kwa shurti? Au unadhani siasa ni kama footbal,kwamba ukiwa Simba hata kama Yanga ipo vizuri unaiponda?
Mtaani wamejaa wazalendo wanaipenda nchi yao na kuiamini serikali yao, huko mitandaoni haswa twita idadi kubwa ni wale madalali vibaraka waabuduo wazungu, ndio maana kuanzishwa maandamano kukashindikana.
 
Yan unaipiga bit marekan na japan kwamba itajuta ? ivi bangi mnavutiaga wapi ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…