antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Huo utafiti umeufanyia wapi?Habari za Tiss,Nec na kura za mabegi, hauna ushahidi nazo. Kwamba nusu ya waliojiandikisha kutopiga kura,sio sababu kuwa 90% ya watanzania wanamkubali JPM. Hiyo 90% ni wananchi wote wa Tanzania.
Wacha uongo.. wanashtakiwa watu binafsi.Anashitakiwa mwanasheria mkuu kwa niaba ya serikali
Ingia mtaani chukua sampuli ya watu 10, tisa wanamkubali JPM.Huo utafiti umeufanyia wapi?
Hiyo ingekuwa kweli wizi wa kura usingefanywa
Labda pale Lumumba kwa mataga tupu..Ingia mtaani chukua sampuli ya watu 10, tisa wanamkubali JPM.
Labda wajinga kama wewe chagua malunde. Hata Magufuli mwenyewe Hana furaha kwani anajua mziki unao fuata. Sisi Tupone tayari kushirikiana hata na shetani ili mradi tumtoe Magufuli na CCM yake. Mtajuta kwa wizi mlio ufanya !Mbona 90% ya watanzania wanakubali kuwa JPM amepita kihalali na wanakubali uongozi wake. Hawasemi kuwa kuna shuruti, habari za kushurutishwa unazitoa wapi?
Kibaraka mjinga wewe.Hata mkiwekewa vikwazo kuna shida gani na wakati nyie ni dona kantirii?
Mawazo mufilsi. Kiingereza cha hovyo. Lazima muasisi wa huu utopolo atakuwa bonge la popoma!Wakuu,
Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa kutumia mamluki, wasaliti na vibaraka wao.
Mataifa tajwa hapo juu hawana maslahi yoyote na madai ya 'Purported Crimes Against Humanity' ila wanalenga kutufarakanisha wapate upenyo kuingia kwa nia ya kusaidia ila ni kwa ajili ya kuvuna maliasili zetu bila kizuizi.
Kwa kuwa mgombea mmojawapo wa Urais aliyepoteza ushindi kwenda huko ughaibuni na kujiunga na wanyonyaji wakubwa kutaka kuanzishisha mashitaka dhidi ya Rais na Serikali yake amechagua njia mbaya ambayo kwa vyovyote vile hana hadhi tena ya kurudi Tanzania kwa sababu ya kugombania madaraka ya kuongoza huyo sio ndugu yetu wala sehemu ya WaTanzania tena.
Ni bora Tanzania ijitoe sasa hivi uanachama na mahakama hiyo ya ICC kwa kuwa inaonekana ipo kwa ajili ya kulipiza visasi sio kurekebisha makosa ya kiutawala. That guy is a curse to be entertained anymore including his hypocite allies.
Wapambe wote na watoa taarifa kwa hao watu wakitokea hapa Tanzania kuanzia sasa wanaombwa wajiondoe nchini haraka ili mapambano yafanyike mkiwa nje ya Tanzania.
Tanzania ni huru, ni ya Haki, in mahusiano mazuri na nchi waungwana lakini yeyote inayejiunga na wahuni walioamua kubadilisha Taswira ya nchi kwa maslahi binafsi na visasi.
Hiyo vita mnayotaka kuianzisha dhidi ya Tanzania kupitia uchochezi kwenye mitandao, vitisho vya kufungua kesi ICC, Dunia tatambua kwamba walifanya makosa kuiweka kwenye kundi la nchi za dunia ya tatu. Hakuna wa kuwagawanya WaTanzania kwa chochote wako tayari kwa chochote na mashitaka wanatakiwa kuorodhesha majina ya raia milioni 60 sio hao mnaopigia kelele Tsu-nami (Tetemeko la Bahari) halitazuiwa na nguvu ya makaratasi eti mashitaka dhidi ya binadamu are you foxes really serious or you are just ridiculing to decieve teh elites funding the evil inetnt-it won't make it, we are strong in all cycles be it on international levels, locally, socially, economically etc.
So,, immediately denounce these malicious threats or risk teh dead corpse
TANZANIA JITIOENI HARAKA
Usitishe watu lofa mkubwa wewe umtwange mtu risasi 16 halafu usitegemee alipe kisasi shenzi kabisa you are bunch of evils .Angepigwa risasi moja mpaka tatu sawa ingevumilika na kusameheka 16 bullets means there were an intention to kill.Wakuu,
Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa kutumia mamluki, wasaliti na vibaraka wao.
Mataifa tajwa hapo juu hawana maslahi yoyote na madai ya 'Purported Crimes Against Humanity' ila wanalenga kutufarakanisha wapate upenyo kuingia kwa nia ya kusaidia ila ni kwa ajili ya kuvuna maliasili zetu bila kizuizi.
Kwa kuwa mgombea mmojawapo wa Urais aliyepoteza ushindi kwenda huko ughaibuni na kujiunga na wanyonyaji wakubwa kutaka kuanzishisha mashitaka dhidi ya Rais na Serikali yake amechagua njia mbaya ambayo kwa vyovyote vile hana hadhi tena ya kurudi Tanzania kwa sababu ya kugombania madaraka ya kuongoza huyo sio ndugu yetu wala sehemu ya WaTanzania tena.
Ni bora Tanzania ijitoe sasa hivi uanachama na mahakama hiyo ya ICC kwa kuwa inaonekana ipo kwa ajili ya kulipiza visasi sio kurekebisha makosa ya kiutawala. That guy is a curse to be entertained anymore including his hypocite allies.
Wapambe wote na watoa taarifa kwa hao watu wakitokea hapa Tanzania kuanzia sasa wanaombwa wajiondoe nchini haraka ili mapambano yafanyike mkiwa nje ya Tanzania.
Tanzania ni huru, ni ya Haki, in mahusiano mazuri na nchi waungwana lakini yeyote inayejiunga na wahuni walioamua kubadilisha Taswira ya nchi kwa maslahi binafsi na visasi.
Hiyo vita mnayotaka kuianzisha dhidi ya Tanzania kupitia uchochezi kwenye mitandao, vitisho vya kufungua kesi ICC, Dunia tatambua kwamba walifanya makosa kuiweka kwenye kundi la nchi za dunia ya tatu. Hakuna wa kuwagawanya WaTanzania kwa chochote wako tayari kwa chochote na mashitaka wanatakiwa kuorodhesha majina ya raia milioni 60 sio hao mnaopigia kelele Tsu-nami (Tetemeko la Bahari) halitazuiwa na nguvu ya makaratasi eti mashitaka dhidi ya binadamu are you foxes really serious or you are just ridiculing to decieve teh elites funding the evil inetnt-it won't make it, we are strong in all cycles be it on international levels, locally, socially, economically etc.
So,, immediately denounce these malicious threats or risk teh dead corpse
TANZANIA JITIOENI HARAKA
Nani akuhujumu wakati mpaka leo raia wako wanaishi kwenye nyumba za tope acha kujitekenya mwenyewe kisha ucheke mwenyeWakuu,

Tulia Bomba likuingie vizuriWakuu,

ET WEWE UNAIAMBIA MAREKANI ITAJUTAAAA.....KICHAA CHA WAP HIKIWakuu,

Hv Tanzania kuna uhuru tena wa kupata maoni ya watu!!!! Kama hatuongozwi kwa shuruti kwa nini mnatuma polisi wazuie maandamano ya amani na mikutano ya siasa, kutishia,kufunga na kupiga kila anayetoa maoni yake tofauti na CCM. no freedom of speech wala freedom of expression iliyopo ni kiini macho kifupi no tolerance at all.We jamaa bana, hivi huwa unazuguka mitaani na kupata maoni ya watu? Au huwa unashinda JF ukiandika porojo? Wewe na nani ambao mnaongozwa kwa shurti? Au unadhani siasa ni kama footbal,kwamba ukiwa Simba hata kama Yanga ipo vizuri unaiponda?
Hiyo 90% umeitoa wapi?Mbona 90% ya watanzania wanakubali kuwa JPM amepita kihalali na wanakubali uongozi wake. Hawasemi kuwa kuna shuruti, habari za kushurutishwa unazitoa wapi?
Upuuzi.Wakuu,
Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa kutumia mamluki, wasaliti na vibaraka wao.
Mataifa tajwa hapo juu hawana maslahi yoyote na madai ya 'Purported Crimes Against Humanity' ila wanalenga kutufarakanisha wapate upenyo kuingia kwa nia ya kusaidia ila ni kwa ajili ya kuvuna maliasili zetu bila kizuizi.
Kwa kuwa mgombea mmojawapo wa Urais aliyepoteza ushindi kwenda huko ughaibuni na kujiunga na wanyonyaji wakubwa kutaka kuanzishisha mashitaka dhidi ya Rais na Serikali yake amechagua njia mbaya ambayo kwa vyovyote vile hana hadhi tena ya kurudi Tanzania kwa sababu ya kugombania madaraka ya kuongoza huyo sio ndugu yetu wala sehemu ya WaTanzania tena.
Ni bora Tanzania ijitoe sasa hivi uanachama na mahakama hiyo ya ICC kwa kuwa inaonekana ipo kwa ajili ya kulipiza visasi sio kurekebisha makosa ya kiutawala. That guy is a curse to be entertained anymore including his hypocite allies.
Wapambe wote na watoa taarifa kwa hao watu wakitokea hapa Tanzania kuanzia sasa wanaombwa wajiondoe nchini haraka ili mapambano yafanyike mkiwa nje ya Tanzania.
Tanzania ni huru, ni ya Haki, in mahusiano mazuri na nchi waungwana lakini yeyote inayejiunga na wahuni walioamua kubadilisha Taswira ya nchi kwa maslahi binafsi na visasi.
Hiyo vita mnayotaka kuianzisha dhidi ya Tanzania kupitia uchochezi kwenye mitandao, vitisho vya kufungua kesi ICC, Dunia tatambua kwamba walifanya makosa kuiweka kwenye kundi la nchi za dunia ya tatu. Hakuna wa kuwagawanya WaTanzania kwa chochote wako tayari kwa chochote na mashitaka wanatakiwa kuorodhesha majina ya raia milioni 60 sio hao mnaopigia kelele Tsu-nami (Tetemeko la Bahari) halitazuiwa na nguvu ya makaratasi eti mashitaka dhidi ya binadamu are you foxes really serious or you are just ridiculing to decieve teh elites funding the evil inetnt-it won't make it, we are strong in all cycles be it on international levels, locally, socially, economically etc.
So,, immediately denounce these malicious threats or risk teh dead corpse
TANZANIA JITIOENI HARAKA
Muwe mnatumia akili,kweli mtu umesoma halafu unakuwa na fikra za kipuuzi namna hii?shameWivu wa Kwa nini Corona haijatusumbua ndio kinachotia wivu, Kama Mungu aiishivyo na Kwa kuwa ndiye aliyetuhuruku Sisi, Yeye anajua pia kututetea!
Kwel ww utopolo izo 90% na ww umezitoa wapi?Mbona 90% ya watanzania wanakubali kuwa JPM amepita kihalali na wanakubali uongozi wake. Hawasemi kuwa kuna shuruti, habari za kushurutishwa unazitoa wapi?