Mataifa ya Marekani, Umoja wa Ulaya, Japan na Mamluki wote msithubutu kuishitaki, kuweka vikwazo na kupandikiza magaidi Tanzania mtajuta

Labda hizo nchi za nje wasichukue hatua, lakini wakichukua tutawaunga mkono, hatuko tayari kuongozwa na ccm kwa shuruti.

Hakuna nchi ya kuchukua hatua japo kuna mambo yamefanyika yasiyowaridhisha. Mahusiano yanakwenda kuimarishwa miezi kadhaa kuanzia sasa.
 
???
 
Kunywa maji mwana Chanzo Cha Matatizo.
Spana mtakazopigwa ni kujitakia msilaumu popote.
 
We jamaa bana, hivi huwa unazuguka mitaani na kupata maoni ya watu? Au huwa unashinda JF ukiandika porojo? Wewe na nani ambao mnaongozwa kwa shurti? Au unadhani siasa ni kama footbal,kwamba ukiwa Simba hata kama Yanga ipo vizuri unaiponda?
Wewe unavyosema (unavyouliza) ndivyo hasa ulivyo. Yaani unaandika porojo ukidhani siasa ni kama ushabiki wa mpira.
 
Mbona 90% ya watanzania wanakubali kuwa JPM amepita kihalali na wanakubali uongozi wake. Hawasemi kuwa kuna shuruti, habari za kushurutishwa unazitoa wapi?
Sidhani kama ni 90% ya waTz wanamkubali jpm amepita kihalali. Ni 100% ya wanafiki na wasiojitambua.
 
Rubbish! ndo maana mmatandikwa namagaidi huko mtwara
 
haya nusa hicho kidole ulichojichomeka,kinanuka au?
 
🤣🤣
 
Alivyoiba kura hawakuwaza yote hayo?? Recession inakuja na kibano cha mabeberu akikusanya kodi 500B nakunya mapokezi kituo cha polisi
 
Mbona 90% ya watanzania wanakubali kuwa JPM amepita kihalali na wanakubali uongozi wake. Hawasemi kuwa kuna shuruti, habari za kushurutishwa unazitoa wapi?
mkuu dunia ni kijiji sasa. habari zipo kila kona; au wewe na jiwe mlifikiri mmejificha?!!!! subirini mziki unakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…