Mataifa yaliyojianika hovyoo bila usalama kwenye mitandao

Mara ndege ilishushwa kwa kuhackiwa mara ilidunguliwa na missile. Wacheni uchizi. Kama ilidunguliwa na missile basi hata sio lazima uwe na ujuzi wa computer science ili kurusha missile. Hio inahitaji wanajeshi wa kawaida tu wala haihitaji computer scientists.
 
Mimi na Mk254 hatuwezi kukuelezea hayo mambo kwa sababu sio sisi tulioandika hio report. Kama inakuuma sana basi waandikie hao watu barua watakupa majibu ya kigezo walichotumia.
Bc ndio usifurahie kitu unachosifiwa wakati hata we mwenyewe hujui na huna uhakika kama kilichoandikwa ni kweli, huo ni uzezeta kitendo cha kukosa akili ya kuelewa hata kama mnapumbazwa kwa maslai yao binafsi ninyi munashangilia tu
 
kenya ndo nchi pekee EA inayowashobokea sana wazungu hivo hata msiishangae kwa huu upumbavu wanaojisifia
 
Weka evidence kwamba Iran walishusha drone kabla hatujaendelea na mjadala. Unaweza kuwa unadanganya.
Google RQ-170 Sentinel 2011.
Unachanganya vitu viwili, hiyo ya kupigwa na bomu ni ya 2020, ile ya kuhakiwa ni ya 2011.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…