Mataifa yaliyojianika hovyoo bila usalama kwenye mitandao

Mataifa yaliyojianika hovyoo bila usalama kwenye mitandao

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti taluma labda ya uchizi, unazani taluma inatua ktk kichwa chochote hata cha mwendawazimu? Elezea ndege ya kipelelezi walivyoidungua huku wakiiona toka inavyotoka uwanja wa Imarat mpaka kwenye mipaka ya Iran na kushushwa kwa kombora 1 tu ingeingia Kenya mungeishusha kwa kutumia makombora ya Kenya au ya marekani?
Mara ndege ilishushwa kwa kuhackiwa mara ilidunguliwa na missile. Wacheni uchizi. Kama ilidunguliwa na missile basi hata sio lazima uwe na ujuzi wa computer science ili kurusha missile. Hio inahitaji wanajeshi wa kawaida tu wala haihitaji computer scientists.
 
Mimi na Mk254 hatuwezi kukuelezea hayo mambo kwa sababu sio sisi tulioandika hio report. Kama inakuuma sana basi waandikie hao watu barua watakupa majibu ya kigezo walichotumia.
Bc ndio usifurahie kitu unachosifiwa wakati hata we mwenyewe hujui na huna uhakika kama kilichoandikwa ni kweli, huo ni uzezeta kitendo cha kukosa akili ya kuelewa hata kama mnapumbazwa kwa maslai yao binafsi ninyi munashangilia tu
 
kenya ndo nchi pekee EA inayowashobokea sana wazungu hivo hata msiishangae kwa huu upumbavu wanaojisifia
 
Weka evidence kwamba Iran walishusha drone kabla hatujaendelea na mjadala. Unaweza kuwa unadanganya.
Google RQ-170 Sentinel 2011.
Mara ndege ilishushwa kwa kuhackiwa mara ilidunguliwa na missile. Wacheni uchizi. Kama ilidunguliwa na missile basi hata sio lazima uwe na ujuzi wa computer science ili kurusha missile. Hio inahitaji wanajeshi wa kawaida tu wala haihitaji computer scientists.
Unachanganya vitu viwili, hiyo ya kupigwa na bomu ni ya 2020, ile ya kuhakiwa ni ya 2011.
 
Google RQ-170 Sentinel 2011.
Unachanganya vitu viwili, hiyo ya kupigwa na bomu ni ya 2020, ile ya kuhakiwa ni ya 2011.

Adjustments.jpg
 
Back
Top Bottom