Mataifa yaliyojianika hovyoo bila usalama kwenye mitandao

Mataifa yaliyojianika hovyoo bila usalama kwenye mitandao

Kwa hii list, Kenya tuko wa kwanza barani Afrika. Tumeshinda hata Afrika kusini ndio maana Wabongo wanatokwa povu

Wao huwa wamejianika vibaya sana, halafu ripoti yenyewe ni ya ITU, sio kitu cha kubishia kizembe....wenyewe wavivu hata wa kusoma.
 
Tanzania kwa sasa ni kichwa cha mwendawazimu.Wako busy kupambana na kigogo yaani!
 
Sasa kama wewe unayo akili timamu mtu kama anaweza kudukuliwa kwa urahisi anawezaje kuangusha ndege ya kipelelezi, kwasababu haiwezekani unaenda kwaajili ya kupata taarifa za siri halafu kumdukua ni rahisi Sana inakuaje ushindwe kuvuruga mitambo ya ulinzi wa anga Kwanza mpaka unadunguliwa nina wacwac unawaza kwa kutumia tope la matakoni.
Achana na hiyo ya juzi, mwaka 2011 kuna moja walii-hack na kuchukua control, wakaiongoza na ikatua kama vile yao. Halafu mtu anaandika eti jamaa hawako secured?
Kunyastan iko kwenye list ya failed state
Leo mumetokwa na povu kishenzi. Hamuwezi kukubali kuwa Kenya mnayoidharau ndio ya kwanza barani Afrika katika cyber security.
 
Kwa hii list, Kenya tuko wa kwanza barani Afrika. Tumeshinda hata Afrika kusini ndio maana Wabongo wanatokwa povu
Hahahaha halafu kwa akili hiyo ndio nawe unajiita mwana uchumi! Maana kwa sifa kama hizo hata kama unaisifia Tanzania kuifananisha na A. Kusini
 
Si ndo napomuona huyu mpumbavu tena hiyo dron kwa maneno ya wamarekani ndio ghari zaidi duniani na inateknolojia zote za marekani za ulinz na za kisasa na imeshushwa kwa kombora moja tu kuonyesha watu hawabahatishi .unajua wakenya akili zao akija mzungu akipaka dawa kidole chake cha Kati halafu akawaambia hii chanjo ndivyo inatumika hivi kwahiyo vueni nguo niwaingizie huyu mk 254 atakuwa wakwanza sababu tu kasema mzungu wala hafikirii. Mzungu akisema chochote kwa wakenya wao sawa akili za wakenya ndio zinafanana na mbo eeee na tundu yani hazina tofauti hata kidogo.
Kuna ambazo walizihack wakaanza kuziongoza wenyewe..wakazipeleka jagwani wakaziripua..na Kuna ambazo walizihack wakazitumia kuspy warships za US..Alaf Wakikuyu wa Kibera wanasema wamewazidi wa Iran
 
Unapotezea kisa uzembe tu, hii ripoti imeandaliwa na ITU, nitakushangaa sana ukipuuza ripoti ya taasisi kama hiyo, hehehe nyie watu yaani wazembe hadi raha.
Haijalishi nani kaiandaa hiyo ripoti, kwa akili yako ya kujua kutumia bitwise shift operator unafikiri unawazidi wa Iran kweli kwenye ulinzi wa mitandao?

Akili za kuku hizi.
 
Leo mumetokwa na povu kishenzi. Hamuwezi kukubali kuwa Kenya mnayoidharau ndio ya kwanza barani Afrika katika cyber security.
Sikulaumu wewe kuamini haya, kwa kuwa ni wazi hujui jinsi computers zinavyofanya kazi at machine level lakini namshangaa ndugu yako MK254 kuwashwa washwa na hii taarifa.
 
Hahahaha halafu kwa akili hiyo ndio nawe unajiita mwana uchumi!! Maana kwa sifa kama hizo hata kama unaisifia Tanzania kuifananisha na A. Kusini
Haya sio mambo ya uchumi. Haya ni mambo ya cyber security. Hata nchi masikini inaweza kuwa na cyber security kali na nchi tajiri iwe na mbovu. Hayana uhusiano na mambo ya uchumi. Usilete siasa hapa.
 
Kuna ambazo walizihack wakaanza kuziongoza wenyewe..wakazipeleka jagwani wakaziripua..na Kuna ambazo walizihack wakazitumia kuspy warships za US..Alaf Wakikuyu wa Kibera wanasema wamewazidi wa Iran
Leta evidence. Hapa sio mahali pa stori za vijiweni
 
Leo mumetokwa na povu kishenzi. Hamuwezi kukubali kuwa Kenya mnayoidharau ndio ya kwanza barani Afrika katika cyber security.
Kenya is actually a technology leader in africa. That is why majority of funding for technology companies goes to
i) Kenya at number 1
ii) Nigeria at number 2
iii) south africa
The rest are after thoughts for investors . These three countries account for 60% of startup funding in Africa. With an annual growth rate of 9-10% ,Technology is now contributing $7.4 billion to the Kenyan economy yearly. Projected to reach 20% of the economy by 2030.
News Bytes:
" Goldman Sachs, a Top American investment bank is the latest to acquire a stake in Kenyan start-up Twiga Foods following an Sh2. 44 billion ( $23.75 million) deal that will help the agro-based firm spread across the country and Africa. This new investment marks Goldman Sachs's first major deal in a Kenyan firm. "

"Kenyan start up Market force secure $400,000 funding from crunchbase"

"Cellulant raises $47.5 million in series C funding"

" Another of Fintech’s most funded in Africa is Nairobi-headquartered CarePay, an e-health enterprise with an ambition to drive healthcare inclusion across Africa. From a Series A round, the company raised $45M with PharmAccess Group and ELMA Investments as the notable investors. In a bid to improve the M-TIBA platform, the company is looking into implementing blockchain, AI and Machine Learning technologies. Carepay was launched in 2015"
 
Africa’s Talking ($8.6M)
Co-founders Sam Gikandi and Eston Kimani started Africa’s Talking in 2010, which is now a go-to platform that simplifies access to telco infrastructure that allows developers to use their SMS, USSD, Voice, Airtime and Payments API’s to bring their ideas to life. In Seed and Series A rounds, the company has raised funding amounting to $8.6M with IFC, Orange Digital Ventures, Social Capital and Better Ventures as their investors.

Copia Global ($6M)
Nairobi-headquartered Copia has raised $6M across 2 rounds with DOB Equity as their lead investor. With a team led by founder Tracy Turner, the company provides a “state-of-the-art” shopping experience that brings goods and services to your doorstep all with advanced levels of customer service.

Sendy ($12M)
Sendy was launched in 2014 and has built partnerships and unlocked opportunities for Kenyans through its delivery platform that connects businesses and drivers of all vehicle types for deliveries. Across 4 rounds, this e-logistics platform has raised a total of $12M in funding, the latest being a Series B a few days ago. DOB Equity, Safaricom and Goodwell Investments are some of its notable investors.

A tip of the iceberg in the Kenyan technology sector.
 
Yes. We are tech leaders in Africa.
 
Hii ni orodha ya mataifa yalivyojiandaa kiusalama kwenye masuala ya mitandao, sasa kuna baadhi ambayo yamekaa hovyo yaani wataalam huko wamelala usingizi kwamba udukuaji huko unaweza kufanyika kizembe tu bila kutumia nguvu nyingi, yamejianika na kuachia kila kitu, mataifa yenyewe haya hapa Tajikistan, Turkmenistan, Syria, Iran, Indonesia, Vietnam, Tanzania, and Uzbekistan.
Tuondolee tafiti za kuokoteza hapa
Kama Iran ingekuwa weak hivyo,wamarekani na Israel wangeshafumua mifumo yao ya kiulinzi
Uchaguzi wa kenya,matokeo yalidukuliwa mtandao uliporudi tu,kura milioni tano zimeingizwa kwa mpigo,tukaenda nazo mpaka mwisho wa zoezi
Uchaguziuliofuata alitokea mjumbe wa tume ya uchaguzi akasema safari nitatumia mkono wangu kuhakikisha kura hazidukuliwi,kesho yake wakamuua na kumkata kiganja,uchaguzi ulipofanyika udukuzi kama kawaida
 
MK254, Naona Kenya haipo ipo Iran kwahiyo nawe unaamin kua Iran rahisi kudukuliwa kuliko Kenya wakati Irani kila kitu anatengeneza mwenyewe wewe mpaka umlipe mzungu akakutengezee huko ulaya halafu unasema unajilinda, upunguze upumbavu mda mwengine
Wacha nikupatie siri moja yenye mtu kama wewe na wengine hamjui.. Bidhaa mingi zinazotumika hapa Kenya utaona na utasikia ati zimetoka America na uchina. Lakini hiyo ni siri moja ya matajiri ya kujificha kulipia ushuru
 
Haijalishi nani kaiandaa hiyo ripoti, kwa akili yako ya kujua kutumia bitwise shift operator unafikiri unawazidi wa Iran kweli kwenye ulinzi wa mitandao?

Akili za kuku hizi.

Hizi ripoti haziandaliwi na wanywa uji wa ulezi kama wewe, hukaliwa na kufayiwa kazi, nitakuelewa maana kwenu suala la uandaaji wa ripoti au utafiti au hata kusoma huw mwiko. ITU sio CCM.....
 
Back
Top Bottom