MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #41
Sikulaumu wewe kuamini haya, kwa kuwa ni wazi hujui jinsi computers zinavyofanya kazi at machine level lakini namshangaa ndugu yako MK254 kuwashwa washwa na hii taarifa.
Huyo Iran ambaye naona Watanzania mnajificha nyuma yake kuficha udhaifu na uzembe wenu aliwahi kupigwa cyber attack ya kishenzi, kinu cha nyuklia cha Natanz kilipigwa na cyber-worm 'Stuxnet' na kuharibu 1,000 nuclear centrifuges na kuwarudisha nyuma miaka kadhaa, huo mdudu alipiga computers 60,000