Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Imezoeleka kusikia tahadhari za usafiri kwa raia wa Marekani kwamba wasiende nchi fulani na fulani kwa vitisho tofauti na mara nyingi ni kile wanachokiita ugaidi.Tahadhari hizo zilitiliwa maanani sana na mataifa madogo yalillalamika kwa kunyimwa fursa ya kutemmbelewa na wamarekani.
Hiyo ilikuwa enzi hizo Marekani ilipokuwa taifa kubwa na linaloheshimika. Sasa mambo yamebadilika mataifa kadhaa yamekuwa yakitahadharisha watu wao kutokwenda Marekani bila sababu.
Jambo kubwa ni ukosefu wa amani katika taifa hilo.Watu wake wamekosa nidhamu na ubinadamu kiasi kwamba kuuwana kwa risasi popote utakapokuwa ni jambo la kawaida,JInaweza kutokea barabarani au hata ndani maduka makubwa.