Mataifa yatahadharisha watu wao kwenda Marekani

Mataifa yatahadharisha watu wao kwenda Marekani

Wewe waza kukaa nyumbani kwanza.Tumia akili na juhudi utumie rasilimali zinazofuatwa na mabeberu.
Kuhusu kutembea kwa kweli ni nchi nyingi si chini ya 10 mpaka Vatican nimepitia.
Ami umepitia hujakaa!!!!Kakae kwanza afu ndio uje utuambie!!!Ami marekani unaijua tu au unaiona youtube!!!!
 
Kila mwaka zaidi ya watu milioni mia moja wanaomba visa ya kwenda Marekani huku wengi wao wakilenga kwenda kuzamia kabisa.

Pesa wanayopata kwenye maombi ya visa tu kwa mwaka, inakaribia nusu ya bajeti nzima ya Tanzania. Hiyo ndio nchi ambayo kila moja duniani anatamani walau akapigepo hata chabo.

Pesa wanayopata kwenye maombi ya visa kwa mwaka inaendesha State Department na kubaki. Ungejua usingeleta huu uzi, hao jamaa ni balaa.

Warusi zaidi ya milioni nne wamezamia huko na Wairan zaidi ya milioni tatu wachina ndio usiseme na tangazo la kipumbavu kama hilo litapuuzwa na watu dunia nzima.
Na wewe utazamia lini? Kasumba ya kijinga tu. Nenda ukafagie choo huko maana inaonekana huwezi kua na issue kubwa. Mtu katoa ukweli uliyozagaa kote duniani eti asingetoa uzi wake🤔
 
Imezoeleka kusikia tahadhari za usafiri kwa raia wa Marekani kwamba wasiende nchi fulani na fulani kwa vitisho tofauti na mara nyingi ni kile wanachokiita ugaidi.Tahadhari hizo zilitiliwa maanani sana na mataifa madogo yalillalamika kwa kunyimwa fursa ya kutemmbelewa na wamarekani.

Hiyo ilikuwa enzi hizo Marekani ilipokuwa taifa kubwa na linaloheshimika. Sasa mambo yamebadilika mataifa kadhaa yamekuwa yakitahadharisha watu wao kutokwenda Marekani bila sababu.

Jambo kubwa ni ukosefu wa amani katika taifa hilo.Watu wake wamekosa nidhamu na ubinadamu kiasi kwamba kuuwana kwa risasi popote utakapokuwa ni jambo la kawaida,JInaweza kutokea barabarani au hata ndani maduka makubwa.

Marekani issue nyingine “dream of opportunity”
Hakuna nchi ya kufanana nayo. Kumbuka Ndio nchi ya kikristo ina mbunge Muislam kutoka Somalia Ilhan Omar.
 
Kumbe na wewe hujakaa huko Ami!!!Mimi nilijua umekaa ukapata uzoefu na ndio ukatuletea uzi!!!!Kumbe na wewe unaleta story za YouTube kaka!!!!
Kwa kujua wewe umeishi ndio nikakwambia umeishi wapi ili tufuatane.Mmoja kati yetu inaonekana hajaishi huko.Kwa ukali uliokuja nao kuitetea Marekani na kama ni wewe ndio hujjaishi huko unatetea tu basi bora kaa kimya.
Wanaoishi huko ni wengi ila wanaotafuta pa kwenda kukimbia fujo akina mimi wako wengi.
 
Na wewe utazamia lini? Kasumba ya kijinga tu. Nenda ukafagie choo huko maana inaonekana huwezi kua na issue kubwa. Mtu katoa ukweli uliyozagaa kote duniani eti asingetoa uzi wake🤔
Ami kwahiyo unatuambia tuchane viza zetu tuende saudia au Oman?????Wakati mahomie,z wametupa ramani tukapige hela!!!!Kaka wewe utakua una ajenda nyuma ya pazia kama za waafidhina wa answar sunni jumuiyat!!!!Nimeshakuelewa yakhee Ami
Kwa kujua wewe umeishi ndio nikakwambia umeishi wapi ili tufuatane.Mmoja kati yetu inaonekana hajaishi huko.Kwa ukali uliokuja nao kuitetea Marekani na kama ni wewe ndio hujjaishi huko unatetea tu basi bora kaa kimya.
Wanaoishi huko ni wengi ila wanaotafuta pa kwenda kukimbia fujo akina mimi wako wengi.
 
Kwa kujua wewe umeishi ndio nikakwambia umeishi wapi ili tufuatane.Mmoja kati yetu inaonekana hajaishi huko.Kwa ukali uliokuja nao kuitetea Marekani na kama ni wewe ndio hujjaishi huko unatetea tu basi bora kaa kimya.
Wanaoishi huko ni wengi ila wanaotafuta pa kwenda kukimbia fujo akina mimi wako wengi.
Kaka Ami twende mimi niwe crisp afu wewe bloods tukafanye fujo vizuri wakitukamata tuwe deportation bongo!!!!🤣🤣🤣😂😂😂
 
Back
Top Bottom