R15 kwa gari gani?? kuna 205/70R15, 205/65R15, 215/75R15, 215/80R15, 235/75R15. Ipi kati ya hizo Unatumia??? Nipe jibu nikupe bei.R15 ni bei gani
R15 kwa gari gani?? kuna 205/70R15, 205/65R15, 215/75R15, 215/80R15, 235/75R15. Ipi kati ya hizo Unatumia??? Nipe jibu nikupe bei.
Tuna 175/70R13 bei 155000/ kwa moja.185/70/R13 bei gani mkuu?
215/70R15 hizo size hatuna. tuna 205/70R15 Hio inaingia na kufit kabisa kwenye gari yako bila shida. Bei 280,000/ kwa moja.215/70R15
2.8d R15 - hio size inanipa shida kuiona kwenye stock. niambie hio tairi unalitumia kwenye gari gani?? ili iwe rahisi kwangu kujua tyre size.2.8 D na nipe tu bei mkuu ntachagua niipendayo
700/R16- 430,000/ kwa moja.700/R16
Hizo hatuna.235/40r18 sh ngapi?
175/70R14- 165000/ kwa moja175/70R/14 sh ngapi?
225/70R17- 360,000/ kwa moja225/R70/17 bei gani?
Poah. Kituo cha macho ndio kiko wapi?225/70R17- 360,000/ kwa moja