INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

size 275/70R16 bei gani na zimetengenezwa mwaka gani?
 
Mi napenda kujua bei ya size 256/70R 16, 112S kwa nne kama zinakuwa na discount.
zipo mkuu, bei yake ni 468,000 kwa moja. ntakufanyia discount 400,000 kwa moja kama unachukua nne.
 
Mkuu, Hizi tairi bado zipo? Na X TRAIL INATUMIA SIZE GANI? MAX NA MIN SIZE? KAMA NIKINUNUA NNE KUNA DISCOUNT?
1468485127855.jpg


Hiyo ndo tyre size yangu mkuu
 
Hizo zipo mkuu, bei yake ni 370,000 kwa moja. ntakufanyia discount 330,000 kwa moja kama unachukua nne.
Njoo ofisini msasani tumalize biashara.
Mkuu,
Mbona kwenye list ya bei zako umeandika 340,000????Siwezi pata kwa 280,000 kwa moja? Nataka nne
 
Mkuu,
Mbona kwenye list ya bei zako umeandika 340,000????Siwezi pata kwa 280,000 kwa moja? Nataka nne
280,000 haiwezekani Mkuu, Fanya 300,000 kamili kwa moja kama unachukua zote nne. hio ndio bei ya mwisho.
 
MATAIRI YA RAV 4 YANAPATIKANA SIZE 215/70R16 . BEI 320,000 KWA MOJA. UKICHUKUA NNE NAKUFANYIA DISCOUNT 290,000 KWA MOJA. HIZO N BRIDGESTONE TYRES. KARIBU DUKA LETU LA MSASANI. DAR.
IMG_20160715_122340.jpg


IMG_20160715_122356.jpg
 
Sawa Mkuu, ntakucheki soon... Hizi tairi hazipigi kelele?
Hazipigi kelele hizo, hayo matairi ni Bridgestone origino ni imara, ukifunga hizo zinakaa vizuri na zinatulia.
Mimi kila siku nauza matairi ya bridgestone na hakuna mteja hata mmoja aliyewahi kuja kwangu na kulalamika.
Tunauza product imara na zinaaminika na wadau wengi.
 
Back
Top Bottom