INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

Habari wadau, tunauza matairi mapya ya magari aina ya bridgestone.

Bridgestone ni matairi imara na origino kutoka japan. Tunauza kwa bei inayoeleweka. Tunatoa warranti ya miaka mitano tu.

Mteja anatakiwa ajue size ya tairi anayotumia kabla hajauliza bei.

Wadau wa mikoani tunawasafirishia matairi (gharama utalipia)

Tunapatikana dar es salaam katika duka la msasani, kituo cha macho.
Piga simu - 0717518359, 0689866100.

Afsa mauzo. Quality motors ltd.

View attachment 355188
R16 RAV 4 Old model bei gani?
 
naomba picha tafadhali mkuu

IMG_20160715_122340.jpg
 
Duh kweli kama kumiliki gari ndio inahitaji kadhia hio hapana. Ni bora kununua na kuuza kabla halijaisha ndula.
Sikuwahi kujua kama bei ya tairi moja tu ni kichefuchefu hivyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duh kweli kama kumiliki gari ndio inahitaji kadhia hio hapana. Ni bora kununua na kuuza kabla halijaisha ndul tu za beia.
Sikuwahi kujua kama bei ya tairi moja tu ni kichefuchefu hivyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Bosi, zipo matairi mengi ya kichina ambayo ni bei rahisi na inaendana na bajeti yako. fika kariakoo pale au kwa wakala yeyote wa matairi aliyekaribu yako.
Bridgestone ni brand kubwa waachie wadau wengine wanaozijua.
 
Kindly how much size 255/70/16 how much
255/70R16 , we don't have,
but we have 245/70R16 and 265/70R16 both they will fit and perform comfortable on the road.
the price of each;
(Bridgestone tires)

245/70R16- 427,000 per tyre
265/70R16- 492,000 per tyre.

and we provide free service for changing the tires of your vehicle.

we are located in msasani, ccbrt bus stand.
 
MABADILIKO YA BEI ZA MATAIRI YA BRIDGESTONE KATIKA DUKA LETU KWASASA
BEI NI YA TAIRI MOJA.

155R12C - 185,000/
175/70R13- 190,000/
175/70R14- 185,000/
185/65R14- 222,000/
195R14C- 300,000/
195R15C- 365,000/
195/65R15- 230,000/
195/55R15 - 220,000/
205/65R15- 220,000/
205/70R15- 260,000/
215/65R15- 265,000/
215/75R15- 340,000/
31X105015 R15 - D673- 530,000/
31X1050R15 - D697 - 530,000/
205R16- 384,000/
205/50R16- 270,000/
225/70R16- 360,000/
225/55R16- 350,000/
215/70R16- 300,000/
215/80R16- 436,000/
235/80R16- 420,000/
235/85R16- 530,000/
245/70R16- 410,000/
265/70R16- 480,000/
225/70R16- 380,000/
265/65R17- 490,000/
275/65R17- 600,000/
245/75R17- 450000/
225/65R17- 350,000/
255/60R18- 580,000/
285/60R18- 600,000/



OFA KWA TAIRI ZA LAND CRUISER MKONGE -

750R16 - D697- 520,000/

OFA KWA TAIRI ZA CANTER
700R16 - 450,000/
750R16 - M857- 690,000/


TAIRI ZA EICHER NA TATA
825R16- 770,000/

TAIRI ZA FUSO NDOGO -
1100 R20- 1,350,000/

TAIRI ZA FUSO KUBWA
1200 R20- 1,500,000/

TAIRI KUBWA ZA KICHINA RHINO KWA AJILI YA SCANIA

SIZE- 315/80R22.5 - 500,000

SUPER SINGLE SIZE - 385/65R22.5 - 610,000

TUPO MSASANI, KITUO CHA MACHO, DAR. SIMU- 0689866100
 
Back
Top Bottom