INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

Nataka tyre size 15 natumia kwenye passo yangu izo specification nyingine sijui ila nnachojua passo yangu natumia matyre makubwa kuliko yale ya passo niambie ni sh ngapi?
 
Nataka tyre size 15 natumia kwenye passo yangu izo specification nyingine sijui ila nnachojua passo yangu natumia matyre makubwa kuliko yale ya passo niambie ni sh ngapi?
mi najua kwa Passo 175/70R14 au 165/70R14 ndio inafunga.
passo zingine zote zinatumia Rim size 13. Nazo 175/70R14- Bei 165000 kwa moja.
Kama kweli Unatumia Rim size 15 kwenye passo basi itakuwa 195/50R15, 195/55R15 au 195/65R15 na hizo tairi hatuna stock.
 
MABADILIKO YA BEI ZA MATAIRI YA BRIDGESTONE KATIKA DUKA LETU KWASASA
BEI NI YA TAIRI MOJA.

155R12C - 185,000/
175/70R13- 190,000/
175/70R14- 185,000/
185/65R14- 222,000/
195R14C- 300,000/
195R15C- 365,000/
195/65R15- 230,000/
195/55R15 - 220,000/
205/65R15- 220,000/
205/70R15- 260,000/
215/65R15- 265,000/
215/75R15- 340,000/
31X105015 R15 - D673- 530,000/
31X1050R15 - D697 - 530,000/
205R16- 384,000/
205/50R16- 270,000/
225/70R16- 360,000/
225/55R16- 350,000/
215/70R16- 300,000/
215/80R16- 436,000/
235/80R16- 420,000/
235/85R16- 530,000/
245/70R16- 410,000/
265/70R16- 480,000/
225/70R16- 380,000/
265/65R17- 490,000/
275/65R17- 600,000/
245/75R17- 450000/
225/65R17- 350,000/
255/60R18- 580,000/
285/60R18- 600,000/



OFA KWA TAIRI ZA LAND CRUISER MKONGE -

750R16 - D697- 520,000/

OFA KWA TAIRI ZA CANTER
700R16 - 450,000/
750R16 - M857- 690,000/


TAIRI ZA EICHER NA TATA
825R16- 770,000/

TAIRI ZA FUSO NDOGO -
1100 R20- 1,350,000/

TAIRI ZA FUSO KUBWA
1200 R20- 1,500,000/

TAIRI KUBWA ZA KICHINA RHINO KWA AJILI YA SCANIA

SIZE- 315/80R22.5 - 500,000

SUPER SINGLE SIZE - 385/65R22.5 - 610,000

TUPO MSASANI, KITUO CHA MACHO, DAR. SIMU- 0689866100
 
2.8d R15 - hio size inanipa shida kuiona kwenye stock. niambie hio tairi unalitumia kwenye gari gani?? ili iwe rahisi kwangu kujua tyre size.


Uliuliza aina ya gari ninalotumia nikakujibu ni 2.8 D na saizi ya rim ni 15 nikakuambia nipe bei ya zote ulizo nazo nami nitajipima kutokana na kiu yangu ya upana wake. Rim zangu ni Sports.
 
Uliuliza aina ya gari ninalotumia nikakujibu ni 2.8 D na saizi ya rim ni 15 nikakuambia nipe bei ya zote ulizo nazo nami nitajipima kutokana na kiu yangu ya upana wake. Rim zangu ni Sports.
Ok kwa gari yako 2.8D. Umesema Rim size 15. Aya Nakuupa size ambazo tunazo stock na bei zake kwa rim size 15 tu.


195/65R15- 210,000 Kwa moja
205/65R15- 220,000 kwa moja
205/70/R15- 280,000 kwa moja
215/75R15- 340,000 kwa moja
215/65R15- 360,000 kwa moja
235/75R15- 390,000 kwa moja
265/70R15- 430,000 Kwa moja.
 
D

za pikipiki unazo??
hapa tunauza matairi ya magari. kama unatafuta matairi ya pikipiki, njoo ofisini kwetu Quality Motors ltd Tazara au nenda kariakoo maduka ya mchina wanapouza spea za pikipiki utapata.
 
Mkuu, Hizi tairi bado zipo? Na X TRAIL INATUMIA SIZE GANI? MAX NA MIN SIZE? KAMA NIKINUNUA NNE KUNA DISCOUNT?
 
Mkuu, Hizi tairi bado zipo? Na X TRAIL INATUMIA SIZE GANI? MAX NA MIN SIZE? KAMA NIKINUNUA NNE KUNA DISCOUNT?
Nissan xtrail inatumia size tofauti tofauti, kuna nissan xtrail zinatumia matairi ya size 215/70R15, 215/65R16, 215/60R17 225/55R17. Sasa ungeniambia kwa gari yako inatumia size gani ya tairi, naona ingekuwa vyema zaidi nipe namba yako simu ili nikutafute nikupe bei za tairi au nipigie 0689866100, 0717518359.
 

Mkuu tairi size (235/55R18) hiyo hapo juu inapatikana?

Bei gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…