INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

matairi tunayouza zote zimetengenezwa 2016. kuhusu swali lako la pili, kama gari yako imekuja na matairi kipara, ni bora uvue, uvalishe upya. lakini kama matairi bado yanaonekana mapya hamna haja ya kuyatoa. endelea kuyatumia
Kuhusu mwaka nilitaka unielekeze pale kwenye tairi mwaka huonyeshwa vp ili niangalie maana ki muonekano zipo na kashata nzuri kabisa isipokuwa tairi moja inakuwa kama imetengeneza nundu ndogo kama ngumi ya mtoto hv ndipo nikapata hof ila nikafurah nilipoona huu uzi
 
Tofauti ni nini hapo hzo 65R na 55R, je zinafaa kwa toyota wish? Another ting nahitaj gar inyanyuke kidogo maana niliweka spencer ila naona bado iko chini je size ipi itafaa? Kwa sasa tairi nayotumia ni hyo 65R, nitashukuru kama utanijibu
tofauti kati ya 65R na 55R ni urefu wa tairi kutoka chini kwenda juu. na urefu zimepishana kwa milimita na R maana yake ni Radial tyre. ukitaka tairi size ambayo itanyanyua gari yako. chukua 205/65R15. hizo zitanyanyua gari yako haitakuwa chini.
 
Asante Joki kwa ushauri
 
Kuhusu mwaka nilitaka unielekeze pale kwenye tairi mwaka huonyeshwa vp ili niangalie maana ki muonekano zipo na kashata nzuri kabisa isipokuwa tairi moja inakuwa kama imetengeneza nundu ndogo kama ngumi ya mtoto hv ndipo nikapata hof ila nikafurah nilipoona huu uzi
mwaka wa matengenezo unakuwa umepigwa chata kwenye tairi. kwa mfano ukiona namba kama hizi 0216 basi ujue 02 ni mwezi wa pili na 16 ni mwaka 2016. wakati unaenda kununua matairi muulize muuzaji akuonyeshe tarehe ya mwaka kwenye tairi atakuonyesha.
 
MABADILIKO YA BEI ZA MATAIRI YA BRIDGESTONE KATIKA DUKA LETU KWASASA
BEI NI YA TAIRI MOJA.

155R12C - 185,000/
175/70R13- 190,000/
175/70R14- 185,000/
185/65R14- 222,000/
195R14C- 300,000/
195R15C- 365,000/
195/65R15- 230,000/
195/55R15 - 220,000/
205/65R15- 220,000/
205/70R15- 260,000/
215/65R15- 265,000/
215/75R15- 340,000/
31X105015 R15 - D673- 530,000/
31X1050R15 - D697 - 530,000/
205R16- 384,000/
205/50R16- 270,000/
225/70R16- 360,000/
225/55R16- 350,000/
215/70R16- 300,000/
215/80R16- 436,000/
235/80R16- 420,000/
235/85R16- 530,000/
245/70R16- 410,000/
265/70R16- 480,000/
225/70R16- 380,000/
265/65R17- 490,000/
275/65R17- 600,000/
245/75R17- 450000/
225/65R17- 350,000/
255/60R18- 580,000/
285/60R18- 600,000/

OFA KWA TAIRI ZA LAND CRUISER MKONGE -

750R16 - D697- 520,000/

OFA KWA TAIRI ZA CANTER
700R16 - 450,000/
750R16 - M857- 690,000/

TAIRI ZA EICHER NA TATA
825R16- 770,000/

TAIRI ZA FUSO NDOGO -
1100 R20- 1,350,000/

TAIRI ZA FUSO KUBWA
1200 R20- 1,500,000/

TAIRI KUBWA ZA KICHINA RHINO KWA AJILI YA SCANIA

SIZE- 315/80R22.5 - 500,000

SUPER SINGLE SIZE - 385/65R22.5 - 610,000

TUPO MSASANI, KITUO CHA MACHO, DAR. SIMU- 0689866100
 
Naomba kujua gari aina ya escudo new model unazo bei gani
 
Naomba kujua gari aina ya escudo new model unazo bei gani
Hatuuzi magari mkuu, kama unaulizia magari, kuna mayadi ya magari kibao yapo kinondoni, msasani, Magomeni, mikocheni nk.
 
No nilikuwa na maana tairi za gari ya aina ya escudo new model inaendaje hapo ?
 
Nimeangalia yangu nimeshindwa kusoma namba ya tairi
 
Nimeangalia yangu nimeshindwa kusoma namba ya tairi

cheki tairi za gari yako ni size ipi kati hizi:
Bridgestone:
225/65R17- 350,000 kwa moja (escudo 2010)
225/70R16- 360,000 kwa moja (escudo 2005)
215/70R16- 300,000 Kwa moja.( escudo 2002)

kama una muda unaweza kuja ofisini na gari yako tukacheki size ya tairi inayovaa.
 
Tairi yangu hii sijui namba gani hapo wataalam
 
Attachments

  • 1476163817157.jpg
    1476163817157.jpg
    65 KB · Views: 109
Kumbe kuna watu karne hii tunatumia tu gari bila kujua size ya tyre?
 
Made in Japan?? Ndio nataka kama Thailand basi jibu

kuna size za matairi za bridgestone zinatengenezwa viwanda tofauti lakini ubora ni ule ule kwasababu utengenezaji wake unasimamiwa na wajapan wenyewe. tunaletewa matairi kutoka japan, indonesia na Thailand.
size ya tairi unayohitaji ni ipi? niambie nikuchekie.
 
Back
Top Bottom