INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

IMG_20170118_154113.jpg
 
Mkuu mkweche wangu unatumia size 195/80R16. Je unazo? Moja bei gani, na nikichukua nne utaniuziaje?
 
Mkuu mkweche wangu unatumia size 195/80R16. Je unazo? Moja bei gani, na nikichukua nne utaniuziaje?
hizo sina mkuu zimeniishia. kama huna haraka ya kununua nitafute baada ya wiki mbili. simu 0689866100.
 
Unatoa warranty ya miaka 5 wakati tyre inaexpire miaka 4 tangu kutengenezwa kwake! How?
Bridgestone zinakaa miaka mitano hata kama expiry date imefika, kwani wewe hujawahi kununua tairi ukakaa nayo miaka 5 hadi 7 ?? kama umewahi sasa turudi kwenye swali lako ya how?? jibu ni ubora wa tairi. mimi nina jamaa nimemuuzia matairi amerudi ofisini kwetu baada ya miaka 6 na anataka kubadilisha tairi na hizo tairi nilizomuuzia miaka 6 iliyopita na hizo tairi zinaonekana bado hazijaisha na amezitoa, amefanya spea ya akiba. Warranti yetu ina cover time performance ya tairi na kms
 
Poa nitakuja. Vipi pia kuhusu 205/75R16
205/75R16 Hio size ni kweli unatumia?? hebu cheki vizuri hio size namba, kama ni kweli unatumia hio size basi kwetu hamna hizo na wala Bridgestone hawatengenezi namba hizo.
 
Mkuu 195/70R13 tsh ngapi mkuu. Nipe bei mkuu nione kama naweza ili nije nibadilishe tyre. Nataka kubadilisha tyre week hii so nipe bei nijue.
ntakuuzia kwa 170,000. kwa 4 itakuwa 680,000. njoo bosi tupo msasani, Kituo cha macho.
 
Back
Top Bottom