Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Unaonaje na wewe ukafanya angalau vya nchi hii?Muda mwingine unajiuliza umekuja kusindikiza maana watu wanafanya vitu sio vya nchi hii
Una idea yoyote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonaje na wewe ukafanya angalau vya nchi hii?Muda mwingine unajiuliza umekuja kusindikiza maana watu wanafanya vitu sio vya nchi hii
Hv list ya watu maskini duniani tuanze hapo
Ni kweli mkuu ndo maana nimemuuliza kama ana idea yoyote.Kwa nchi yetu kuna ubunifu ambazo zinagonga mwamba kwa kuwa nchi yetu maskini (kielimu, kipato, kitechnogy, kiutandawazi nk)
Kweli mkuu nchi yetu ni masikini.Kwa nchi yetu kuna ubunifu ambazo zinagonga mwamba kwa kuwa nchi yetu maskini
Ni kweli mkuu mfumo wetu wa elimu inabidi ubadilishwe ili kuandaa next generation kuendana na kasi ya dunia. Ila siku hizi mambo mengi yapo online unaweza kujifunza mambo mengi ambayo shule zetu hizi hayapo, ni kuchangamsha akili.(kielimu
Kuna idea nyingine sio ghali sana kuanza ni sawasawa na pesa ya chips ukiwa na computer yenye nguvu kiasi basi unaweza kuanza mwenyewe.kipato
kitechnogy
Ni kweli Ila ubunifu, kujiamini, uthubutu na mipango imara ndo kikwazo namba moja.kiutandawazi
Kweli Ila hiyo ni copy and paste bila kuwa na nyongeza yoyote tofauti na company za kwanza zilizoanzisha hiyo idea. Wamekurupuka.Kwa mfano wapo walianzisha mauzo ya vitu mtandaoni kama Jumia, kupatana zimekuwa kimya.
Ni kweli ila huwezi kukimbia bila kuanza kutembea.Nchi yetu hapa ilipo matumizi ya technology bado yako chini sana,
Ni kweli ila hata hizo ukikosa ubunifu utabaki palepale ulipo. Angalia mamantilie na wapangishaji walivyo.Biashara zinazolipa kwa sasa ni chakula, maji, nishati, makazi (nyumba za kupanga).
Hapa kuna kitu kidogo kinatakiwa kumbuka nilisema kitu "mipango imara".Mavazi, viatu na vitu vya thamani (jeweries) bado ni optional kwa Mtanzania sio vitu vya lazima
Ili tufike mbali itabidi tusiwe tunajijali mmoja ili kuwa tajiri.Kuwa tajiri Tanzania ni kufanya biashara wanazofanya mapatel (Bakressa, dewji).
Jeff Bezos kaachana na mkewe na huyo mwanamke hadi sasa ana $30 billion kutokana na talaka.Bill Gates kama sio kutoa pesa zake kwenda Melinda&Gatea Foundation angekua na mipesa zaidi ya hio.
Dogo alileta ubishi kwenye mali za baba yao. Baada ya bifu kali la miaka, mama yao akaamuru wagawane mali. Hiyo ilikuwa 2006 baada ya hapo dogo akawa na group la mastar wa Bollywood na makanjibai wenye pesa tu. Kaka yake akawa ni kazini na nyumbani jioni, alipangiwa mke akamkubali. Dogo alipangiwa mke akamkataa, aliyeomuoa dada wa mjini wazazi hawakumtaka (Wahindi ni tamaduni zao kupangia wa kuoa au kuolewa).Huyu mdogo wake kazingua sana
Tesla ni technology ambayo muda wowote inakua au kufa. Uzuri wa Musk anategemea start ups zake nyingi. Anayo Telsa, Neurolink, SpaceX, Open AI na The Boring Company.Elon musk atakuja kuwa namba 1 mwakani trust me....hata bezo kufikisha 200 ni kwa influences za upepo wa stocks za tesla kwa amazon.
Bezo kwa kujua hilo ameanza kuinvest kwenye electronic vehicles kama tesla
Mkulima ana hadi details za wakuu was dunia siyo mkulima wa kawaidaNaomba nikurekebishe kidogo boss latest data hizi apa bezos ana $B200View attachment 1551200
Muda mwingine unajiuliza umekuja kusindikiza maana watu wanafanya vitu sio vya nchi hii
[/QUOTE
Siyo vya nchi hii kweli ,nchi zao hizo balaa saporter kubwa
Vya nchi hii viko jikoni lazima vitokee nakwambiaUnaonaje na wewe ukafanya angalau vya nchi hii?
Una idea yoyote?
Mpk kufikia 2018 Bill gates ameshachangia total ya $36bil kwny M&B foundation.Jeff Bezos kaachana na mkewe na huyo mwanamke hadi sasa ana $30 billion kutokana na talaka.
hahahaKwa nchi yetu kuna ubunifu ambazo zinagonga mwamba kwa kuwa nchi yetu maskini (kielimu, kipato, kitechnogy, kiutandawazi nk).
Kwa mfano wapo walianzisha mauzo ya vitu mtandaoni kama Jumia, kupatana zimekuwa kimya.
Nchi yetu hapa ilipo matumizi ya technology bado yako chini sana, Biashara zinazolipa kwa sasa ni chakula, maji, nishati, makazi (nyumba za kupanga).
Mavazi, viatu na vitu vya thamani (jeweries) bado ni optional kwa Mtanzania sio vitu vya lazima.
Kuwa tajiri Tanzania ni kufanya biashara wanazofanya mapatel (Bakressa, dewji).
Hapana mimi sio lecturer wa chuo kikuu ila ni mwanafunzi na Jamiiforums rules hazituruhusu sijui sababu.Dah we jamaa ni lecturer wa chuo kikuu nini? Ulivyonijibu hoja baada ya hoja umenifurahisha
Ni kweli tunaanza kuingia kwenye uchumi wa viwanda Ila pia tunaweza kuanzisha viwanda vya kuzalisha new technology kwa kutumia rasilimali zetu kwa kutegemea watu wengi wa kiafrika wenye idea ambazo hawawezi kuzikuza, kuziendeleza wala kuziboresha ambao wapo mitaani.Ila mkuu nadhani nchi yetu ndio tumeanza kuingia ingia kwenye uchumi wa viwanda. Huko kwenye technology bado sana maybe miaka 100
Ni kweli mkuu pia tuna uhitaji mkubwa wa waafrika vijana ambao wana jitambua wenye vision zisizo binafsi, akili na uzalendo wa kweli juu ya kuendeleza TZ na Africa kwa ujumla.Tuna uhitaji mkubwa sana viwanda, tuna rasilimali nyingi sana (za bei ya kutupwa) za kwenda viwandani. Hapa ndipo mapatel wenye mitaji wanatumia fursa ya mitaji kujitajirisha hapa nchini.
Ni kweli ila nchi zilizoendelea na zinazo endelea kuendelea.Tanzania hii kama unamtaji mzuri ingia kwenye uwekezaji wa viwanda ndio utajiri ulipolala kwa sasa, baada ya miaka kadhaa huko mbele matajiri wengi watakuwa wa uzalishaji viwanda
Ni sawa na kusema ili Samsung ishuke inabidi simu zao zizidi kulipukaIli Musk ashuke nadhani inabidi rocket za SpaceX zikirishwa zifeli na kupata ajari, itokee kampuni ya magari ya umeme ya kushindana maana zilizopo haziko serious, magari yake yawe mabovu na yapate ajari ovyo au yawe na AI mbaya kiasi kuwa ratings yashuke.
Technology simply ni advancement of the existing processes. Kwa hiyo kwa mataifa mengi ya Afrika yamedandia Treni kwa mbele.. huwezi kufocus kwenye tech wakati Hata hizo processes zenyewe huna to begin with..Kwa nchi yetu kuna ubunifu ambazo zinagonga mwamba kwa kuwa nchi yetu maskini (kielimu, kipato, kitechnogy, kiutandawazi nk).
Kwa mfano wapo walianzisha mauzo ya vitu mtandaoni kama Jumia, kupatana zimekuwa kimya.
Nchi yetu hapa ilipo matumizi ya technology bado yako chini sana, Biashara zinazolipa kwa sasa ni chakula, maji, nishati, makazi (nyumba za kupanga).
Mavazi, viatu na vitu vya thamani (jeweries) bado ni optional kwa Mtanzania sio vitu vya lazima.
Kuwa tajiri Tanzania ni kufanya biashara wanazofanya mapatel (Bakressa, dewji).
kukoma ni lazima we unafikiri mpaka mke ameomba talaka si jambo dogo..Jeff hakomai chochote tena. Ni upepo wa mahitaji unamfanya ale. Yani hakuna breakthrough ya maana amefanya, huyu ndo billionaire kwenye list ambaye hana pressure sana.
Hawa kina wamiliki wa Tesla lazima wakomae sana kutoa product innovative kila mwaka. Imagine mtu kama Page au Sergei Brin, lazima watoe matoleo kibao ya Google wahangaike. Ila Amazon inafanya changes na ofa ambazo si za kuumiza kichwa kabisa.
Matajiri hawapo romantic au hawana muda sana na mapenzi. Tafuta mke wa Mark Zuckeberg kisha tazama mpenzi wa Elon Musk uone. Huyo Musk mwenyewe ana talaka kama tatu na watoto watano tofauti.kukoma ni lazima we unafikiri mpaka mke ameomba talaka si jambo dogo..
Mkuu nimekupata ila nkwambie , hiuluze ukaja na solution ya tech ya kufanya jambo ambalolimeshidikana kwa jamii yetu unadhani hizo sababu ulizohainisha zitakuwa applied ndo maana nkasema nimekuelewa ila , ningeshauri uiwekee Conditions , mfano provided that haujagundua kitu kipya kwenye tech basi utatakiwa .... HivyoTechnology simply ni advancement of the existing processes. Kwa hiyo kwa mataifa mengi ya Afrika yamedandia Treni kwa mbele.. huwezi kufocus kwenye tech wakati Hata hizo processes zenyewe huna to begin with..
Ukiangalia sehemu kubwa ya matajiri wakubwa Duniani wamekaa sehemu tatu.. moja Money supply (Banking, Insurance,no) pili Assets (Viwanda, Mashamba, Real estate) na Tatu Facilitation (Aviation, Shipping, Online markets etc)
Ukitoa nje ya hayo makundi matatu hakuna unafanya.. unatafuta tu ule ..ufe uende. Maana Wanaocontrol pesa (money flow) wanataka assets zinazozalisha wakawekeze huko...na wenye assets wataka namna ya kufikia Masoko kwa haraka. NA wingi. Ukiwa nje ya mlinganyo wewe unakuwepo tu.
So tech huku kwetu ni mpaka mifumo ya trade isimame haswa na ufocus kwenye makundi hayo matatu au at least long term goal iwe Kati ya hayo ndio utafanikisha.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa wengi ni choleric wanathamini money,power and status wanawake wanaoendana nao ni wa kutoka kundi la phlegmatic.Matajiri hawapo romantic au hawana muda sana na mapenzi. Tafuta mke wa Mark Zuckeberg kisha tazama mpenzi wa Elon Musk uone. Huyo Musk mwenyewe ana talaka kama tatu na watoto watano tofauti.
Mke wa Jeff kuomba talaka inaweza tokea kwa yeyote yule. Kwanza $30 billion alizopata zinamtosha sana kuamua kuishi mwenyewe.