Matajiri 10 wa dunia, 9 ni wa Marekani mmoja Mfaransa

Matajiri 10 wa dunia, 9 ni wa Marekani mmoja Mfaransa

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Matajiri kumi wa dunia, 9 ni wa MAREKANI mmoja MFARANSA

Products zao zinajulikana. Hapo kuna google, Microsoft, Tesla, space x, Apple nk.

Je, na wao wanachapisha mi dollar. Tuache kushupaza shingo, eti USA wana print dollar.

Screenshot_20240617-102520.jpg
 
Halafu humo kuna Wayahudi kadhaa... hii itwauma sana watu wa makobaz brazaj
Kwhy ukiambiwa GSM tajiri au Bakhresa kumbe roho inakuuma,..mbn una roho ya ajabu sanaa kamwe uislam hutokuja kuujua vzr
Ndo mana'ke mwenyezimungu anajinasibu ktk Quran suala la riziki lipo juu yake na habagui wa kumpa..
Asa iweje uhoji utajiri wa mtu kwa misingi ya dini?..hebu nenda hapo Zimbabwe ukaone wakristo wenzio wanavyoishi.
Si wana mwamini kristo?...kwa nini wapate shida na kudhalilika?..na mwenyezimungu huyu tunaye mwamini sie waislam habagui pakuleta dhiki na maradhi na majanga yanii shari
 
Back
Top Bottom