Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
pointKwhy ukiambiwa GSM tajiri au Bakhresa kumbe roho inakuuma,..mbn una roho ya ajabu sanaa kamwe uislam hutokuja kuujua vzr
Ndo mana'ke mwenyezimungu anajinasibu ktk Quran suala la riziki lipo juu yake na habagui wa kumpa..
Asa iweje uhoji utajiri wa mtu kwa misingi ya dini?..hebu nenda hapo Zimbabwe ukaone wakristo wenzio wanavyoishi.
Si wana mwamini kristo?...kwa nini wapate shida na kudhalilika?..na mwenyezimungu huyu tunaye mwamini sie waislam habagui pakuleta dhiki na maradhi na majanga yanii shari