Matajiri halali wa dunia wanaotumia elimu za darasani kujitajirisha

Januari Makamba fuvu la Scania ubongo wa TOYO miguu mitatu...!
Kwa wasiojua lugha ya picha: huwa mwonekano wake wa nje kama akina Obama, ila ndani kabisa ya ubongo wake bora Kingwendu mara 1000
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Jamaa anazingua sana katika umbile ambalo hutegemei
 
2.Daimond platinumz chibudee waaah-saffiiiiih
Elimu dunia Mtaalam wa kuimba ifinyie kwa ndani, huo mnazi unakatika & napiga yope
 
kuwa umesoma ama hujasoma kuwa tajiri ni bahati na siyo mchezo. Wachumi wanasema tajiri ni yule ana dollars million moja kuendelea ukiwa na hizo una financial freedom na security ni wewe tu kuziongeza na kuwa tajiri ama kuzitumbua zikaisha ikawa maskini.

Lakini kuwa na maisha bora middle class yani iyo kuanzia dollars za Marekani elfu 60 kwa mwaka siyo bahati inawezekana tu.

Kwa iyo yoyote tajiri mwenye dollar m1 kuendelea ni wakuheshimiwa siyo rahis aise. Awe jambazi, punda,Malaya, fisadi, mwizi kaishia la saba aishimiwe tu . Jiulize kuna Malaya, fisadi,wezi, siyo mamillione?
 
Matajiri halali wadunia wanaotumia elimu za darasani kujitajirisha.

1. ELON MUSK
Bachelor of Physics
Bachelor of Economics.
Utajiri wake aliupata baada ya kuuza program aliyobuni wakati anasoma
2.
3.
4.
5.

Tuendelee kuwataja.
1. Mtume na Nabii Boniface Mwamposa (BA Degree in Co-ops, SUA Ushirika-Campus-Moshi). He is Makonda's class/room mate. He also holds PhD Honorary Causa in Theology.

2. Mtume na Nabii Geo Davie. PhD in Theology.

3. Bishop Getrude Pangalile Rwakatare BA Degree and PhD Honorary Causa in Social Infrastructure.
2.Daimond platinumz chibudee waaah-saffiiiiih
Elimu dunia Mtaalam wa kuimba ifinyie kwa ndani, huo mnazi unakatika & napiga yope
Ana digrii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…