Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Wacha janja janja we jamaa
Hao unaowataja wametajirika kwa kupitia elimu, je unayajua maisha yao behind the carpet?.
Unayajua maisha yao nje ya media?.
Je labda walikuwa ndio wale wa kuuza ngada before and other illegal business?.
Kama huyajui maisha yao basi si vema kuleta shuhuda zao humu.
Wengi wa hawa matajir, maisha yao yamejawa ushenz na ushetan wa hali ya juu, na wanafanya haya yote ili kumantain ushindani wa masoko na wateja wao, pia kuweka stability ya ushawishi wao, ni lazima njama haramu zenye kuwapa Nguvu zitumike.
Kama hujui intelligensia ya biashara kamwe huwezi kuelewa kipi namaanisha hapa.
Hao wote mpka kufikia level hizo kuna mengi wameyapitia na mengi wanayafunika kupitia wanaharamia wao ambao ndio hubeba madhaifu yao na makosa yao kwa niaba.
Ktk dunia hiii hakuna kinyonge na chema kinachoweza kuwaongoza mamilioni ya watu ambao ndani yao kuna kila aina ya tabia chafu na mashindikanaa.
Tutafuteni pesa maana si kila pesa ni chafu lkn mujuwe kila pesa uionayo imepitia aina zote za utafutaji, iwe biashara ndogo ndogo za halali ama ujambazi, uuuzaji madawa ya kulevya, human trafficking, madawa ya kufunga vizazi&akili, na mengineyo mengi.
Pesa upatayo na kuishika iheshimu sana, maana imepita kila aina za biashara
Nikipata time naweza kuweka Short stories kuwahusu hao mabilionea mnaotamba nao, ni jinsi gani waliweza kufikia level hizo mpka wanaheshimika, kuna janja janja nying sana zmefanyika ambazo kuzihusisha na Elimu uo ni Upumbavu maana ktk elimu jambo la utu&ushindani limebase katika Haki tu,
mfano ebu jiulize huyo mmiliki wa mitandao ya kijamii ya Facebook, Instagram&Whatsapp Si yeye aliyegundua hii mitandao , lkn unajuwa kwanini mpaka sas hizi social media zote zipo chini yake na umiliki wake halali?
.