nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Ni hakika hamjakula, na kama mmekula basi hamjashiba.
Ni taarifa kutoka ktk kijiwe kongwe kati ya jiji la Dar es salaam kwamba kutokana na sinto
fahamu ya kiuchumi ndani ya uchumi wa ndani na nje.
Jeuri ya decision makers,kila mtu kutafuta sifa aonekane ni mfanyaji kazi,pia mamlaka kujizidishia mamlaka na kuwa kero kwa wafanyi baashara;Zim jini lake haliko mbali..
TRA ni kero namba 1..hata kama una haki hakuna atakaye kusikiliza wanakusingizia mchana kweupe ulipe kitu ambacho si stahili yao...na pia hawana muda wa kusikiliza kilio chako,tena kwa sasa wamepewa fursa ya kuchukua rushwa pasi na hofu na mifano ippo wazi.utalipa mil 20 manake tumekupunguzia toka mil.80....lakini kimsingi unatakiwa kulipa mil7.matha fantaaa.
Mangi anafungasha...tena kwa sasa hayupo Bongo....Mpemba nae hayupo bongo kesha fungasha kitambo ila machine zanguruma kumalizia material na msimu...kina mangi haooo nchumbiji.
wakinga wanaenda kwa papaa.
Uchunguu.