nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
- Thread starter
- #21
Ukweli ni kwamba waliokuwa wanakwepa kodi ni wachache na kwa sasa hawapo,,sasa hawa wa akina ZAKAYO...TRA..hasira zao wanahamishia kwa mfanyabiashara yeyote.Mkuu wa nchi kesha sema, wafanyabiashara wasio lipa kodi hawataki huku.
bora waende tu hawana faida hao.
Na ki uhalisia ni kwamba TRA walikuwa wanashirikiana na baadhi ya wafanya biashara kula kodi