Tetesi: Matajiri kuhama Bongo..

Tetesi: Matajiri kuhama Bongo..

Mkuu wa nchi kesha sema, wafanyabiashara wasio lipa kodi hawataki huku.
bora waende tu hawana faida hao.
Ukweli ni kwamba waliokuwa wanakwepa kodi ni wachache na kwa sasa hawapo,,sasa hawa wa akina ZAKAYO...TRA..hasira zao wanahamishia kwa mfanyabiashara yeyote.
Na ki uhalisia ni kwamba TRA walikuwa wanashirikiana na baadhi ya wafanya biashara kula kodi
 
Do you know the meaning of citing examples?kuna mmachinga peke yake hapo katajwa?!mind you am not moved by politics,so speak the reality
Post yako ya kwanza uliandika kwa kiswahili safi kabisa, nikakujibu kwa kiswahili. Sasa umerukia kingereza, una hakika gani nimeelewa ulichoandika?

Citing example?? Politics?? Mjasiriamali mdogo ni yule anayechepukia, Mjasiriamali mdogo haina maana ya udogo wa mtaji. Bakhressa unamwona pale juu si kwamba hakuna wanaofanya shughuli kama azifanyazo, wapo lakini hawajafanikiwa kama yeye. SSB wakiondoka hiyo itakuwa loophole kwa wajasiriamali aliowazibia upenyo kukua na kuziba pengo lake.. Hicho ndicho alichomaanisha huyo uliyem'quote
 
Kama kweli inanikumbusha Enzi ya mzee wetu alivyoanzisha operation ya wahujumu uchumi matajiri walitupa hela kuogopa ushahidi na hao wanaondoka ni wale wakwepa kodi wanatoroka hao wapigwe stop kuondoka.
 
Ni hakika hamjakula, na kama mmekula basi hamjashiba.

Ni taarifa kutoka ktk kijiwe kongwe kati ya jiji la Dar es salaam kwamba kutokana na sinto
fahamu ya kiuchumi ndani ya uchumi wa ndani na nje.

Jeuri ya decision makers,kila mtu kutafuta sifa aonekane ni mfanyaji kazi,pia mamlaka kujizidishia mamlaka na kuwa kero kwa wafanyi baashara;Zim jini lake haliko mbali..

TRA ni kero namba 1..hata kama una haki hakuna atakaye kusikiliza wanakusingizia mchana kweupe ulipe kitu ambacho si stahili yao...na pia hawana muda wa kusikiliza kilio chako,tena kwa sasa wamepewa fursa ya kuchukua rushwa pasi na hofu na mifano ippo wazi.utalipa mil 20 manake tumekupunguzia toka mil.80....lakini kimsingi unatakiwa kulipa mil7.matha fantaaa.

Mangi anafungasha...tena kwa sasa hayupo Bongo....Mpemba nae hayupo bongo kesha fungasha kitambo ila machine zanguruma kumalizia material na msimu...kina mangi haooo nchumbiji.

wakinga wanaenda kwa papaa.

Uchunguu.

..mfanyabiashara anayefanya biashara HALISI hawezi kukimbia, hata kama kwa namna fulani alizoea kubebwa. Kibiashara ukibebwa na kitakachopatikana kutokana na kubebwa usihesabu kama ni faida, sababu faida ni MAUZO toa (MANUNUZI + GHARAMA ZOTE ZA UENDESHAJI) hata kama baadhi ya gharama huzilipii. Gharama za uendeshaji ikiwemo KODI ni lazima iingie katika hesabu za biashara kikamilifu hata kama umefanikiwa kukwepa, TAX LIABILITY iko pale pale. Ndiyo maana TRA wanapogundua umekwepa kodi wanakudai kuanzia pale ulipoanza kukwepa. Hata kama hulipi kodi au hulipii kodi ya pango, ni LAZIMA gharama halisi ziingie katika hesabu zako ili ujue faida halisi.. UKIJUA GHARAMA HALISI NA FAIDA HALISI YA BIASHARA YAKO, HUWEZI KUKIMBIA HATA KAMA ALIYEKUWA ANA KUBEBA KATUMBULIWA
 
umesoma mpaka darasa la ngapi?am sorry ila am doupting na uwezo wako wakufikili?unageneralize,thats no good way of reasoning,haya wewe unafanya biashara gani?naniambie sera ya nchi kuhusiana na hicho unachokifanya?
I'm sorry
I'm doubting
wa kufikiri
that's not a good way of reasoning.

Na wewe umesoma mpaka la ngapi?
 
..mfanyabiashara anayefanya biashara HALISI hawezi kukimbia, hata kama kwa namna fulani alizoea kubebwa. Kibiashara ukibebwa na kitakachopatikana kutokana na kubebwa usihesabu kama ni faida, sababu faida ni MAUZO toa (MANUNUZI + GHARAMA ZOTE ZA UENDESHAJI) hata kama baadhi ya gharama huzilipii. Gharama za uendeshaji ikiwemo KODI ni lazima iingie katika hesabu za biashara kikamilifu hata kama umefanikiwa kukwepa, TAX LIABILITY iko pale pale. Ndiyo maana TRA wanapogundua umekwepa kodi wanakudai kuanzia pale ulipoanza kukwepa. Hata kama hulipi kodi au hulipii kodi ya pango, ni LAZIMA gharama halisi ziingie katika hesabu zako ili ujue faida halisi.. UKIJUA GHARAMA HALISI NA FAIDA HALISI YA BIASHARA YAKO, HUWEZI KUKIMBIA HATA KAMA ALIYEKUWA ANA KUBEBA KATUMBULIWA
Mkuu sina la kusema
January 2017..Cheki kitakacho patikana.
 
Hii inaweza ikawa perfect opportunity kwetu sisi wajasiriamali wenye njaa tunaoibukia
Wakisepa hao wataacha vacuum kubwa sokoni ambalo sisi ndio tutakuja kujaza, mambo yakienda vizuri....
Dah..Nawaza kwa sauti...Mifisidi imejimwaga yenyewe...Halafu wazalendo tunaingia..tunauza ile kitu kwa nusu bei...😀😀😀
 
wanaweza kuhama wangapi?
Wengi wamefunga halafu wanamuangalieni.
1.Cheki mahoteli
2.Cheki bandari kavu
3.Cheki kariakoo asubuhi,kulikuwa watu kibao kutoka nchi jirani na za mbali na mikoani.
4.Cheki kwenye ma Bar
5.Cheki masokoni kulivyo nyauka,vyakula vyaharibika kwa kiwango cha juu.
 
Huko wanakoenda nahisi haiuna kulipa kodi ila kama ipo watarudi tu kuisifia Tz maana angalau unaweza ukakwepa
 
Ni hakika hamjakula, na kama mmekula basi hamjashiba.

Ni taarifa kutoka ktk kijiwe kongwe kati ya jiji la Dar es salaam kwamba kutokana na sinto
fahamu ya kiuchumi ndani ya uchumi wa ndani na nje.

Jeuri ya decision makers,kila mtu kutafuta sifa aonekane ni mfanyaji kazi,pia mamlaka kujizidishia mamlaka na kuwa kero kwa wafanyi baashara;Zim jini lake haliko mbali..

TRA ni kero namba 1..hata kama una haki hakuna atakaye kusikiliza wanakusingizia mchana kweupe ulipe kitu ambacho si stahili yao...na pia hawana muda wa kusikiliza kilio chako,tena kwa sasa wamepewa fursa ya kuchukua rushwa pasi na hofu na mifano ippo wazi.utalipa mil 20 manake tumekupunguzia toka mil.80....lakini kimsingi unatakiwa kulipa mil7.matha fantaaa.

Mangi anafungasha...tena kwa sasa hayupo Bongo....Mpemba nae hayupo bongo kesha fungasha kitambo ila machine zanguruma kumalizia material na msimu...kina mangi haooo nchumbiji.

wakinga wanaenda kwa papaa.

Uchunguu.

Kama huna topiki ya maana. Nyamaza kimya kabisa. Soma michango ya wenzako.
 
Huko wanakoenda nahisi haiuna kulipa kodi ila kama ipo watarudi tu kuisifia Tz maana angalau unaweza ukakwepa
Mitaji ndio iliya hamishwa
Wao wako hapa wanamuangalieni jinsi mnavyo suffer.
 
kweli kabisa kaka mm mwenyewe nafikiria kuamia dar nakuja na plan ya kufungua flame wilaya zote tatu ..flame za mazao ya chakula like.mchele,sembe,magarage coz nazalisha mm mwenyewe
Dah...hapo pekundu nakupa big up sana..Tuache ujinga wa kununua juu ya lori na kupanga pembeni ya matairi ya lori....Bora ununue nyanya na vitunguu uuze kachumbari....Ulanguzi hauna tija kwa wazalendo😎😎
 
Sanasana tunarudi nyuma tu, term ijayo tunarejea mfumo ule ule uliopita
 
Back
Top Bottom