Unatafuta kakisingizio ka kukuhalalisha kuwa masikini kwa kushindwa kuwa tajiri.Baada ya kuangalia hii list nimejiuliza
Je hawa inawezakuwa ndio watu wenye furaha kuliko wote Duniani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu kama MARK, BEZOS, MA, wana ukiritimba gani ?Usiniambie wamefanyakazi kwa bidii ndio wamepata hizo hela. Ni ukilitimba tu.
Furaha na pesa ni vitu viwili tofauti....ni uchaguzi wako utafute furaha ama utafute pesa.Baada ya kuangalia hii list nimejiuliza
Je hawa inawezakuwa ndio watu wenye furaha kuliko wote Duniani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jeff Bezos ndio anaongoza kwa sasa ni CEO wa Amazon kwa kusahihisha tu.
Pesa sio kila kitu, unaweza kuwa na fedha nyingi lakini ukakosa vingine kama afya
Huyu jamaa chini alikuwa tajiri mkubwa wa kampuni ya vifaa vya michezo JJB sports
Noted bossbill gate alisharudi kwenye nafasi yake alipitwa kwa masaa machache tu
Umekatwa Mkuu?
Duh naona hajazitoa kwenye acc alizotupa hahahabill gate alisharudi kwenye nafasi yake alipitwa kwa masaa machache tu
na unaweza kutafuta pesa na furaha pia.. ...hivi nani aliwadanya watanzania ukiwa na pesa unakuwa huna furaha?Furaha na pesa ni vitu viwili tofauti....ni uchaguzi wako utafute furaha ama utafute pesa.
Sent from myself